Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dunia nzima inatakiwa majeshi yote yawe defensive. Jeshi liwe kwa ajili ya kujilinda na kulinda mipaka ya nchi. Kulifanya jeshi lako liwe offensive ni dalili za uchokozi na ndicho kinachotishia amani duniani maana nchi hasimu nazo zitashawishika kujiimarisha kijeshi kuhofia kushambuliwa siku moja.



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ila Kuna watu akili zenu ni ndogo sana... Yaani nchi ambayo ukisema tu kuhusu vita unaenda jela miaka 15 ndio umseme Putin 🤣🤣🤣🤣
 
hii vipi [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji116][emoji116][emoji116]
Hivyo vituko vya Ukraine wanajifariji wanaosema Defeated Russian forces ndio hao wametolewa mariupol na maeneo mengine via humanitarian corridor.

Ukishaona twitter account iko na bendera ya ukraine jiandae kukutana na vituko tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K
Hao Wayukraine wa nanyumbu mpaka uwatwange kama mpunga ndio unaweza kuwatenganisha na upumbafu wao kama utenganishapo makapi na mchele
Kwa mawazo haya hats Vietnam na Taliban wangesalimu amri maana walizidiwa firepower na US!
Luna kitu kinaitwa determination ukiondoa hivyo vingine ....
 
Haswaaa na kingine ukiangalia na naamin unaeza kubali tuko mbioni kushuhudia utawala wa magharibi ukifa ingawa vijana wa US tawi la JF watanishambulia.

Miaka 22 iliyopita yani mwaka 2000.

Total world GDP ilikuwa about dollar trillion 33.65 huku US pekee akiwa na share ya takriban 30%, wakati huo China alikuwa na GDP ndogo tu ya dollar trillion 1.21 akiwa na share ya takriban 4% of world total GDP kiasi kwamba hadi Japan alikuwa na GDP kubwa mara 4 ya ile aliyoku nayo China wakat huo.

Sasa 2022.
Kwa data za mwaka jana total world GDP ipo around dollar 94 trillion. Uku US akiwa na around 24% percent ilhal mchina akiwa na around 19.9% of world total GDP.

Ndani ya hiki kipindi cha miaka 21 utaona uchumi wa US ukitumia kigezo cha GDP nominal uneongezeka mara 2.3 yani kutoka Dollar Trillion 10 hadi dollar trillion 23.

Ilhal China kwa kigezo cha GDP ndani ya hii miaka 21 kaweza kukua mara takriban 15 au 16 hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... ie kutoka dollar trillion 1.2 hadi dollar trillion 17.7...

Hapa wenye macho tunaona na kuelewa kua tatizo la china sio Udikteta wala figisu wanazotueleza... Shida ni kua US anapumuliwa kisogoni kwenye uchumi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukija kwenye millitary power hivo hivo upande wa Russia. Sasa hii Combo ukiiweka kwenye mkeka lazima US apige kelele kila nukta.

Wakati yeye anatumia mabillions ku'sponsor vita, kulisha majeshi nje ya mipaka. Wenzao wanatumia fedha zao kufanya biashara nje ya mipaka ya nchi zao...
 
mkumbushe marekani kuna raia walifungwa kwa kukataa kupigana vita ya vietnam. Hadi mohamed ali alivuliwa ubingwa wa dunia
 
Ni kweli ,point ya msingi kila nchi ilotakiwa iwe na jeshi LA kujilinda..maana madhara ya kuwa na jeshi LA kushambulia ni kama Tunavyoona Leo Ukraine na vamizi nyingine kama za Georgia, Vietnam, Afghanistan, Iraq,Syria na (middle East)
 
Mbuzi wa Putin hajui kwamba madikteta ndo wanasifa za kua na umaarufu mkubwa. Mfano mzuri kagame jiulize alipita kwa kura ngapi
 
❗️South Ossetia will soon take legal steps to become part of Russia - President Bibilov.

Unification with the Russian Federation is the strategic goal of the republic, @SputnikOssetia quotes Bibilov.
Wale wale vibaraka wa Vladimir Putin wanaokwenda kinyume na matarajio na mategemeo ya wananchi.
 

Hakuna nchi inayotangaza bajeti yake kamili ya kijeshi hio 60bn ni yaku wahadaa wajinga kama wewe.
Point yako ilikua ni utuonyeshe eti vile urussi inabajeti ndogo lakini ni namba 3 duniani ambapo nimekufunza Leo hio bajeti ni uongo.
Upende usipende urussi bado yaijafika hadhi yakuitwa developed country. Indexes zote zamaana kama HDI na Gdp per capita zinaonyeshe wako category ya medium developed.
 
Popularity ya madikteta infaa kuchezea 90%, sasa ya Putin ni 70%. Hio inamaana amepoteza umaaru mwingi sana.
Imepanda kutoka 60%s kabla ya vita mpaka 70%s kama hiyo kwako inamaanisha kushuka basi mambo yanastaajabisha zaidi huko kwenye 'perspective' yako.

Russia chini ya VVP imeheshimika sana duniani. Kuanzia kumkingia kifua Assad huko syria, maduro Venezuela, Crimea, na sasa Zelensky. Si umewahi kusikia influence za Urusi kuwin host ya WC mpk kina Blatter wanajiuzulu. Umesahau operation Lakhta iliyoamriwa na VVP mwenyewe kuinterfere uchaguzi wa marekani na kumuweka raisi wanayemtaka hahaha.

Undisputed Putin [emoji91]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…