Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
[emoji23][emoji23][emoji23] niletee walau copy and Paste ya maneno yako ukim'qoute Putin alichoksema na alichokibadilisha...Nimesoma ulicho andika na nimebaki nikitikisa kichwa, kwa akili hizi Africa bado tunasafari ndefu sana.
Nilidhania huu muda mwingi umetumia kabla kunijibu utarudi na hoja za maana kumbe ni Yale yale matusi.
Umejaribu sana kukwepa maswali yangu lakini ukateleza na umeshajifunga mwenyewe.
Umetoa mfano kwamba nitume hela kwa ksh mpaka Uganda. Tukifikia hapo tu itakuwa hela niliyoitumia Mimi kama medium ya biashara itakua ksh sindio?
Je unafahamu msimamo wa Putin awali ilikua kinyume na hivyo. Kile alitaka ni benki za EU zinunue rubo moja kwa moja kutoka gazprom na waziifadhi kwa Benki zao ulaya. Alafu baade wachomoe hizi rubo wazitume benki kuu ya urussi kupitia gazprom.
Hapo Putin amelegeza msimamo wake na EU wanaweza jigamba kwamba wamelipia mafuta/gesi ya sarafu yao yeye akaigeuza mwenyewe kwa gharama yake na Benki take. Kuna kitu gani huelewi hapa.
Kwasababu ukigongwa vikwazo automatically sarafu yako inaanza kupoteza mwelekeoNieleze kwanini unaona sanctions hazifanyi kazi, ukitumia hio logic ya ruble kupanda thamani.
Leo ndo tutajua kama ulisoma ama ni shabiki maandazi
Kabisaa jamaa kawaje cjui!!!!?Umekuwa mshabiki siku hizi badala ya kuwa mchambuzi
Na kingine cha ajab kila mda nazidi kukwambia jifunze kuelewa hutaki [emoji23][emoji23][emoji23]... Apo nimesema kwamba umetuma ela ya biashara? Kabla haijaja hii mifumo ya sasa ambapo unafanya exchange Online.Nimesoma ulicho andika na nimebaki nikitikisa kichwa, kwa akili hizi Africa bado tunasafari ndefu sana.
Nilidhania huu muda mwingi umetumia kabla kunijibu utarudi na hoja za maana kumbe ni Yale yale matusi.
Umejaribu sana kukwepa maswali yangu lakini ukateleza na umeshajifunga mwenyewe.
Umetoa mfano kwamba nitume hela kwa ksh mpaka Uganda. Tukifikia hapo tu itakuwa hela niliyoitumia Mimi kama medium ya biashara itakua ksh sindio?
Je unafahamu msimamo wa Putin awali ilikua kinyume na hivyo. Kile alitaka ni benki za EU zinunue rubo moja kwa moja kutoka gazprom na waziifadhi kwa Benki zao ulaya. Alafu baade wachomoe hizi rubo wazitume benki kuu ya urussi kupitia gazprom.
Hapo Putin amelegeza msimamo wake na EU wanaweza jigamba kwamba wamelipia mafuta/gesi ya sarafu yao yeye akaigeuza mwenyewe kwa gharama yake na Benki take. Kuna kitu gani huelewi hapa.
Nimekuja leo nisome nione kama bado mishipa ya shingo imesimama kwa update za vita na wengine walikuwa wanatuletea update za captured areas,nimeambulia patupu.Wakali hao, kwa sasa wamehamia swala la ruble na mafuta, vita kama wameisahau, wamesahau walivyoaibishwa
Mungu Ibariki UrusiKwasababu ukigongwa vikwazo automatically sarafu yako inaanza kupoteza mwelekeo
Kama ilivyopoteza mwelekeo RUBLE katika week mbili mpaka tatu za awali wakati wa hii OP
Ila mwamba PUT IN baada ya kukaa akawanyoosha unaona jamaa wameanza kuimarika kwenye RUBLE
Ukibisha nakupa namba ya PM wa POLISH akueleweshe mwenyewe
RUSSIA sio ZIMBABWE
Yaani US na Wachumba zake wakiruhusu hili litokee basi nakuhakikishia hawatakaa warejeshe tena USD POUND na EURO zao kama awaliHuyu jamaa asicheze na US na watu wa Magharibi...wata m fix tu ndani ya miaka 5 Urusi itakuwa taifa maskini sana. Ni ujinga kama si upumbavu kufikiri kwamba dunia hasa ulaya itaendelea kutegemea gesi ya Urusi in next 5 to 10 yrs.
Kusema watu wanunue gasi na mafuta kwa sijui rupiiie yake ni ujinga mtupu... ni useless.
Ni mtu aliyeingia ndani ya box alilolitengeneza mwenyewe na amepoteza funguo za kutokea...ni mhamaniko...poor Putin.
Time....
Daaah 🤣🤣🤣🤣🤣, mkuu elimu ya wapi hii??????Wewe hujielewi, sio benki zote za urussi zimepigwa sanction, kuna zile zimeachwa kwa madhumuni ya kufanya biashara ya mafuta/gesi.
Sasa Putin alipoona ulaya imedinda kununua kwa rubo, akabadili msimamo na kuwarusu kulipa kwa dollar/euro alafu benki ya gazprom iigeuze kwa rubo.
Sasa hapo Putin kazidiwa maarifa na jeuri ya kufunga mifereji hana kwa sababu anahitaji pesa kwa uchumi wake uliokua dhaifu.
Ulaya wananunua mafuta kwa dollars/euros. Period
Jamaa anadhani Dunia yote ni kama Russia anaweza kuiendesha apendavyo,mikwara ya kuwa balckmail na gesi yake imekwama.Hawajalipa kwa madafu yake na hajakata hiyo gesi,kama kweli yeye ni kidume akate sasa.Putin in mpumbavu alifikiri ataiendesha dunia sababu ya hiyo gesi yake tu...
Ameshakwama.
Vipi amekata supply ya gesi tayari,au ndiyo anasikilizia kwanza?Nchi yenye malighafi Kama Russia sahau uchumi kuteremka Kama inauza kwa fedha yake. Mtangoja Sana.
Kwasababu ukigongwa vikwazo automatically sarafu yako inaanza kupoteza mwelekeo
Kama ilivyopoteza mwelekeo RUBLE katika week mbili mpaka tatu za awali wakati wa hii OP
Ila mwamba PUT IN baada ya kukaa akawanyoosha unaona jamaa wameanza kuimarika kwenye RUBLE
Ukibisha nakupa namba ya PM wa POLISH akueleweshe mwenyewe
RUSSIA sio ZIMBABWE
Huyo jamaa mweupe sana kichwaniMkuu hiyo inaitwa 'Elephant walk' ilifanywa na US airforce nchini South Korea
Huyo nae wakupuuzaKipindi Urusi anavamia Georgia unajua Rais alikuwa nani?