Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwanini unapost maudhui yanayokera hivyo bila kutoa tahadhari?
Ooh!
Samahani nimekosea kiukweli niwie radhi.

Ni ubinadamu nimeteleza. Lengo haswa lilikuwa ni kumuonyesha habari aliyopatiwa ina walakini!

Naifuta ndugu, ni kweli nimekosea samahani sana na nawataka radhi jukwaa kwa ujumla.

🙏
 
Mzee anasinzia Ovyo... View attachment 2173489 Na kwenye maelezo anajichanganya vile vile
Your browser is not able to display this video.
[emoji848][emoji848][emoji848]

Apo anasema ati “I’m deeply proud of the work she's doing as first lady with Joining Forces initiative she started with Michelle Obama when she was vice president and now carries on."

Sasa mkewe kawa Vice President lini. Kuna speculations zinazagaa uko kua Biden mwenyewe sio huyu [emoji849][emoji849][emoji849]
 
Ooh!
Samahani nimekosea kiukweli niwie radhi.

Ni ubinadamu nimeteleza. Lengo haswa lilikuwa ni kumuonyesha habari aliyopatiwa ina walakini!

Naifuta ndugu, ni kweli nimekosea samahani sana na nawataka radhi jukwaa kwa ujumla.

🙏
Itapendeza sana ukifuta. Kuna mtu akitizama hivyo basi siku yake imeharibika tayari. Shukran kwa kuitikia wito.
 
jamaa kakudanganya vibaya sana nahajakwambia ukweli
ila ukweli nikwamba toka hii vita imeanza mpaka sasa imefikia wamekufa WAUKRAINE watano (5) na majengo tisa (9) pekee ndio yameharibika
 


Western media wants you to believe in a lot of lies. Don't be a fool. Do some research before believing anything you read. Wa NATO kila wanachoona wanaleta humu wamelishwa sumu hawaambiliki vijana wanamihemuko sana
 
Mwanangu nasikitika kukwambia ivi wewe huna akili kabisa yaani ji sawa na empty set
 
Hawa jamaa wanaandika maneno mengi lakini nusu ni matusi, nusu nyingine ni kejeli. Tunaenda nao kistaarabu mpaka watatuelewa.
Ww mkenya una matatizo sana Marekani pamoja na kujifanya amepiga marufuku mafuta kutoka Urusi lakini mpaka sasa bado anaagiza mafuta ya Urusi, ndo ujue Urusi si kama kenya yenu inayo nuka njaa kila mahali.
 
Nilidhani mpaka sasa tungekuwa tunaona bendera za Russia pale Kyiv kumbe ni hizi ngonjera za tangu inaanza hii operation isiyo kuwa na kichwa wala miguu.Russia tuonyesheni nyinyi ni super power mbele ya Ukraine ndiyo nitaelewa.
Urusi ilitangaza kusitisha operation yake ya kijeshi kaskazini mwa Ukraine ikiwemo kwenye mji mkuu kiev baada ya mazungumzo ya amani kupiga hatua kubwa baada ya Ukraine kukubali takwa kubwa la Russia la Ukraine kutojiunga na NATO .
Kilicho baki ni kukubaliana kuhusu Cremea na mkoa wa Dombas na leo waziri wa mambo ya nje wa Urusi amesema wana karibia kukubaliana.
 

Labda kama wakija na options nyingine kama kutengeneza gari za umeme kwa bei nafuu ila kwa bei hizi mafuta,ges lazima viwe muhimu,na mafuta,ges havitumik tu Kwenye magari,kuzalisha umeme,kutumika majumbani,labda wablock anga lao wasipate barid au watumie kuni [emoji23][emoji1787]ila Mrusi bado yupo nao sana!
 
Hata hiyo mitambo ya kuzalisha umeme ina endeshwa kwa mafuta, hata vivyo viwanda vya kutengeneza hayo magari ya Umeme vinaendeshwa kwa mafuta.
 
Kaka ukipenda mantiki, anza kwa kusoma ninachoandika. Sijagusa swali la nchi rafiki au sirafiki, wala sijali.
Putin alitangaza mwanzoni, hao ambao anaita sirafiki wanapaswa kununua gesi kwa rubel.
Ukijaribu kuelewa mantiki yake (iko): wangeendelea kulipa kwa € na $ kwenye akaunti ya Gazprom Ujerumani, basi kuna hatari kwamba hela hizo zinakamatwa baada ya kulipa. Hivyo anataka malipo kwenye akaunti nchini Urusi.
Na kwa sababu pesa yake imeshuka, wametafuta njia za kuimarisha rubel. Pesa inaimarika wakati inatafutwa = kununuliwa. Hapa walitangulia kulazimisha makampuni yote ya Kirusi kubadilisha mapato yao (sehemu kubwa kabisa) kwa rubel. Pia walizuia wawekezaji wa nje kuuza hisia (maana kama wangeuza -ambayo inhekuwa kwa rubel- wangejaribu mara moja kupeleka pesa nyumbani kwa kununua dollar. Pia walibana kwa jumla nafasi za kununua dollar (kwa kuuza rubel). Kwa kusema wanunuzi wa nje walipe kwa Rubel, alitaka kuwalazimisha kununua rubel.
Nimeshaandika siku kadhaa iliyopita kwamba kuna mlango wa nyuma katika mpango wake, maana mikataba inasema: gesi itanunuliwa kwa €$. Basi hapa hatumii "kampuni fulani"; malipo yaende kupitia Benki ya Gazprom nchini Urusi ambayo ni benki moja iliyosamehewa bado na EU; bado haiko chini ya vikwazo.
Hivyo mlango wa nyuma ni: makampuni ya EU wanalipa gesi kwenye benki hiyo kwa €$ (jinsi ilivyo kwenye mkataba, na jinsi wanasiasa wa EU wanasema), benki inalipa kampuni ya Gazprom (inayozalisha gesi) kwa rubel.

Kwa namna fulani ni unafiki kidogo pande zote mbili. Maana sasa ni Gazprom Bank inayonunua rubel, badala hao wa EU moja kwa moja.
EU inapata gesi, hailipi rubel, Putin anapata hela anayohitaji.

Hadi sasa gesi inaendelea, hadi sasa hakuna aliyepeleka rubel kwenye benki.
Putin akitaka kuwachokoza kweli (na kujiumiza) anaweza kukataza benki ya kirusi isipokee tena dollar. Hapa anaweza kujaribu hao wa EU kwenda Benki Kuu ya Urusi (iliyopo chini ya vikwazo) kinyume cha sheria za EU.
Hatua hii hajachukua bado, Tuone.
Nilivyosema - unafiki kidogo pande zote mbili...
 
Raia wa Ukraine hawataki kibaraka wa Russia awe kiongozi wao wala hawavutiwi na Moscow wala hawataki taifa lao kuwa Belarus nyingine. Wanavutiwa zaidi na New York, London, Paris, Berlin
Beralus nao Hawaitaki Russia ni suala la Muda, Sasa sijui Russia akiwavamia nani atawasaidia 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…