Hiyo ni kwa upande wenu nyie mashabiki ila Rais wenu alikua anaona yanayoendelea na alishafikia hatua anatamani kuongea na Putin View attachment 2173767
Sent using Jamii Forums mobile app
"Russia will not cut supply of gas to Unfriendly Countries despite demand of payment in Ruble not implemented after the deadline " mengine utajazia hapo 😀Hivi Ulaya ilinunua gesi kwa pesa ya Urusi? Maana deadline kama sijakosea imepita.
Gharama zimepanda wadau wanazidi kusomba silaha kupeleka Ukraine...
😀😀😀😀😀😀mpaka muda huu ukraine haina tena bahari View attachment 2173667
Wamebaki wanatatarika kama mahindi ya bisi kikaangoni,nacheka sana wanavyojitahidi kutoa maelezo marefu ya kwa nini ule mkwara wa kukata gesi haujatekelezwa na Baba yao Putin hata baada kugomewa kulipwa kwa Rublewarusi wa bonyokwa watakwambia hiyo ni edited, watakwambia anaongea akiwa USA ukraine alishaondoka
The West wametangaza vita na Putin ni lazima a-fight back,he just can't sit down and watch his country being destroyed and torn apart.Wamemuwekea vikwazo na yeye lazima aweke vikwazo,and let me tell you,hii vita ni mbaya zaidi kwa the West,kwa kuwa hawana strategic commodities za kutosha, kwa hiyo they certainly will loose to Russia.And they are already are kwa kuwa the US wamesha-anza kulegeza vikwazo,na hakuna shaka yeyote kwamba Europe will follow suit.Mkuu with their luxury commodites,the Fiat USD and €, they cannot win the battle.Mpaka Sasa a week ago,the Ruble had gained 21% of it's value,while the dollar is being wiped out of it's status as a Petro-dollar currency.The Ruble will certainly replace it.Kaka ukipenda mantiki, anza kwa kusoma ninachoandika. Sijagusa swali la nchi rafiki au sirafiki, wala sijali.
Putin alitangaza mwanzoni, hao ambao anaita sirafiki wanapaswa kununua gesi kwa rubel.
Ukijaribu kuelewa mantiki yake (iko): wangeendelea kulipa kwa € na $ kwenye akaunti ya GAzprom Ujerumani, basi kuna hatari kwamba hela hizo zinakamatwa baada ya kulipa. Hivyo anataka malipo kwenye akaunti nchini Urusi.
Na kwa sababu pesa yake imeshuka, wametafuta njia za kuimarisha ruble. Pesa inaimarika wakati inatafutwa = kununuliwa. Hapa walitangulia kulazimisha makampuni yote ya Kirusi kubadilisha mapato yao (sehemu kubwa kabisa) kwa rubel. Pia walizuia wawekezaji wa nje kuuza hisia (maana kama wangeuza -ambayo inhekuwa kwa rubel- wangejaribu mara moja kupeleka pesa nyumbani kwa kununua dollar. Pia walibana kwa jumla nafasi za kununua dollar (kwa kuuza rubel). Kwa kusema wanunuzi wa je walipe kwa Rubel, alitaka kuwalazimisha kununua rubel.
Nimeshaandika siku kadhaa iliyopita kwamba kuna mlango wa nyuma katika mpango wake, maana mikataba inasema: gesi itanunuliwa kwa €$. Basi hapa hatumii "kampuni fulani"; malipo yaende kupitia Benki ya Gazprom nchini Urusi ambayo ni benki moja iliyosamehewa bado na EU; bado haiko chini ya vikwazo.
Hivyo mlango wa nyuma ni: makampuni ya EU wanalipa gesi kwenye benki hiyo kwa €$ (jinsi ilivyo kwenye mkataba, na jinsi wanasiasa wa EU wanasema), benki inalipa kampuni ya Gazprom (inayozalisha gesi) kwa rubel.
Kwa namna fulani ni unafiki kidogo pande zote mbili. Maana sasa ni GAzprom Bank inayonunua rubel, badala hao wa EU moja kwa moja.
EU inapata gesi, Putin anapata hela anayohitaji.
Hadi sasa gesi inaendelea, hadi sasa hakuna aliyepeleka rubel kwenye benki.
Putin akitaka kuwachokoza kweli (na kujiumiza) anaweza kukataza benki ya kirusi isipokee tena dollar. Hapa anaweza kujaribu hao wa EU kwenda BEnki Kuu ya Urusi (iliyopo chini ya vikwazo) kinyume cha sheria za EU.
Hatua hii hajachukua bado, Tuone.
Nilivyosema - unafiki kidogo pande zote mbili...
Mkuu anavyowaporomesha mnvua ya mabomu anaepusha vifo kumbe tena kwa makazi ya raia? Mtu mzima kavuliwa nguo hakuna cha super power kijeshi,kumbe ni mkate wa boflo mbele ya kikombe cha chai.Putin anaepusha vifo vingi vingeweza kutokea maana wametanguliza raia eti walinde nchi yao. Shame of them.
Putin is a real MonsterMakaburi ya halaiki yameanza kugundulika Ukraine katika miji ambayo wanajeshi wa Urusi walikuwa wameikalia na sasa wameichia na kurudi nyuma.
Katika mji wa Bucha makaburi ya halaiki ya raia 300 waliouwa na majeshi ya Urusi yamegunduliwa.
Hali ya mauji ya halaiki ya raia Ukraine katika miji iliyokaliwa na majeshi ya Urusi inahofiwa huenda ikafanana na yale yaliyotokea katika vita vya pili vya dunia katika miji iliyokaliwa na majeshi ya Kinazi ya Ujerumani.
Warussi wa JF ndiyo kabisa hawajui hata washike lipi waache lipi,Ukiwauliza alivyokuwa anaporomosha mnvua ya mabomu kwenye makazi ya watu alikuwa anaepusha vifo,hawana majibu.Nimeanza kuwaheshimu Wayahudi Rasmi, yaani Putin na ubabe wake ndio amesumbuliwa kiasi hiki na Mchekeshaji...
🤣🤣🤣 Pro Putia wameanza kusema Putin anapunguza Maafa kwa Binadamu wakati walikuwa wanashangilia alivokuwa anashambulia maeneo ya Kiraia...
Watu wanarudi kudai Mishahara Yao
Msafara wa KM 64 wote umefyekwa na kufarakana
🤣🤣🤣
Gharama zimepanda wadau wanazidi kusomba silaha kupeleka Ukraine... View attachment 2173772 Na apo Biden kaongeza tena $3.5B in weapons hadi sasa nahisi zitakuwa zinakaribia kama $17B hivi.
Ilhali anyeitwa mvamizi anafanya haya View attachment 2173773 So heart touching... [emoji635]
Kaka ukipendela staili ya Yanga-Simba, endelea tu. Niache watoto wacheze, waridhike.West wametangaza Vita na yeye ni lazima a-fight back.Wamemuwekea vikwazo na yeye lazima aweke vikwazo,and let me tell you,hii Vita ni mbaya kwa the West,kwa kuwa hawana strategic commodities za kutosha, kwa hiyo they certainly loose to Russia.And they are already are kwa kuwa the US wamesha-anza kulegeza vikwazo,na hakuna shaka yeyote kwamba Europe will follow suit.Mkuu with their luxury commodites,Fiat USD and € they cannot win the battle.Infact intelligence reports already show that the US Intelligence is planning to remove the smoky,dimentia,NWO minion,moron and hard core Marxist stooge Joe Biden from power.
Hapo mwisho nimekutana nayo pia mtaa flan. Wanasema hata hii ya Hunter Biden Laptop kuingia Congress ni moja katika ajenda. Ukumbuke mwanzo waliikataa ila sasa Media zinakiri Hunter Biden Laptop is real.West wametangaza Vita na yeye ni lazima a-fight back.Wamemuwekea vikwazo na yeye lazima aweke vikwazo,and let me tell you,hii Vita ni mbaya kwa the West,kwa kuwa hawana strategic commodities za kutosha, kwa hiyo they certainly loose to Russia.And they are already are kwa kuwa the US wamesha-anza kulegeza vikwazo,na hakuna shaka yeyote kwamba Europe will follow suit.Mkuu with their luxury commodites,Fiat USD and € they cannot win the battle.Infact intelligence reports already show that the US Intelligence is planning to remove the smoky,dimentia,NWO minion,moron and hard core Marxist stooge Joe Biden from power.
Hizo silaha zenyewe wanaletewa baada ya kuzidiwa wanavua gwanda wanavaa nguo za kiraia wanakimbia wanaziacha Russia wanazikusanyaGharama zimepanda wadau wanazidi kusomba silaha kupeleka Ukraine... View attachment 2173772 Na apo Biden kaongeza tena $3.5B in weapons hadi sasa nahisi zitakuwa zinakaribia kama $17B hivi.
Ilhali anyeitwa mvamizi anafanya haya View attachment 2173773 So heart touching... [emoji635]
Nimelifanya hilo... NawapuuzaUnazijua Trillion 30 za Tanzania ni sawa na Dollar ngapi? Ngoja tukusaidie ni around 13Billion Dollars. Je Pentagon anatumia 13Billion Dollars? Huo ni UONGO...
Hii inaonesha jinsi gani mlivo washamba na vichwa vyenu vilivyo vyeupe. Nimekoma na kuwa'Qoute [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Next nifanye kuwa'ignore tu.
Hii taarifa sijaiona, RT hawajaitangaza?"Russia will not cut supply of gas to Unfriendly Countries despite demand of payment in Ruble not implemented after the deadline " mengine utajazia hapo 😀