Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wamebaki wanatatarika kama mahindi ya bisi kikaangoni,nacheka sana wanavyojitahidi kutoa maelezo marefu ya kwa nini ule mkwara wa kukata gesi haujatekelezwa na Baba yao Putin hata baada kugomewa kulipwa kwa Ruble
Yaan Putin, akisaidiwa na maombi ya kiothodox, warusi wa JF wpiganaji wa kukodiwa na wa kujitoa mhanga toka syria, chechen wameshindwa kabisa kabisa kuiteka kyiv na badala yake warusi wamesanda nao wamerudi nyuma, na hapo US/NATO hawakusema waingilie je wangeingilia hali ingekuwaje tukisema urusi supachawa warusi wa bonyokwa wanatoa mitusi
 
Ni aibu kubwa sana mpaka sasa Rashid Matumla anakwenda round ya 10 dhidi ya mshindani wake Tyson hayo mengine ni Mtu mzima anatafuta Exit plan baada ya the so called special operation kuflop.
Hayo umeyaongea ww unaye fananisha vita vinavyo poteza maisha ya watu na miundo mbinu na michezo ili kujifurahisha moyo wako.
Lakini mpaka Ukraine anafikia hatua ya kukubaliana na matakwa ya adui aliye mvamia basi jua anapitia wakati mgumu na machungu makubwa sana.

Kwa hiyo wame razimika kuacha kitu ambacho wame kiangahikia zaidi ya miaka 10 ili Urusi isiendelee kuharibu taifa lao.

Hilo sharti lilolo kubaliwa na Ukraine ingelikubali tangu mwanzo wala hii vita iliyo sababisha maafa isingekuwepo.

Ni zaidi ya miaka 8 Urusi inaionya Ukraine juu ya kujiunga na NATO jibu la Ukraine lili kuwa ni hata kama hampendi ni lazima Ukraine ijiunge na NATO kwa sababu ss ni taifa huru.
Una maana bila mtutu wa bunduki Ukraine isinge kubali matakwa ya Urusi.
 
Kwa kumuongezea

Wakati Russia anaipiga Georgia 2008 raisi wa Marekani alikuwa George w Bush. Akimbie akagoogle bush ni wa chama gani!

Republican govt ya kony0!!!



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Rudia tena kusoma bandiko langu..nimekwambia kwamba huwezi kutamba ki uchumi duniani kama utawekwa pembeni na US, EU, UK na washirika wake..

Nikakwambia tena kwamba hata kama unakumya almasi kila siku HUWEZIII.
Tz na Irani zipoje kiuchumi!?
Iran ametengwa na hao uliowataja kwa miaka mingapi na uchumi wake upoje dhidi ya nchi nyingi ambazo hazijatengwa ref. TZ!?

Mnaongea vitu vya ajabu sana



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ya kumwita Biden ni moron duh...afadhali ya tusi kwa Putin kuwa ni butcher
 
❗️Summary of the special operation in Ukraine from the Russian Ministry of Defense.

➖High-precision missiles destroyed an oil refinery and 3 fuel storage facilities in the Odessa region, from which fuel was supplied to a group of Ukrainian troops in the Nikolaev direction.

➖Air defense systems shot down two Ukrainian drones in the areas of the settlements of Kudryashovka and Shurovka in the air.

➖During the night, operational-tactical aviation of the Russian Aerospace Forces hit 51 military facilities of Ukraine.

➖In total, since the beginning of the special operation, 125 aircraft and 88 helicopters, 383 drones, 221 air defense systems, 1903 tanks, 207 MLRS installations, 805 field artillery pieces and mortars have been destroyed.
 
US ni superpower halisi, iko Ukraine, imepeleka majeshi yake na vifaa nchi za NATO, inapambana kuhakikisha Israel inakuwa salama kwa kuinyima Iran uwezo wa nyuklia, inaendesha vituo vya kijeshi Korea Kusini na Japan dhidi ya Kiduku, kwa ujumla ina vituo 700 vya kijeshi duniani na bado inaendelea kugawa misaada kwa nchi maskini.

Pakistan yenyewe inapokea msaada wa kijeshi wa 1Billion$ kila mwaka kutoka US.

Uwezo wote huo ndio unaoifanya kuwa superpower.
hivi US huwa wanapumua kweli yan Ukraine-Urusi hawajamaliza wanaingia Pakistan sasa.
 
Mpaka muda huu wanataman kuiondolea urusi vikwazo ila wanaona aibu tulisema hapa vikwazo vitawachapa wao wenyewe kuna wamarekani wa pale mabibo mwananchi walitubishia
Walikua wanadanganyana kwamba Putin kakurupuka, wengine wanasema Putin hakujua kama haya yatamkuta.

Kitu wanachosahau ni kwamba Putin ni Rais wa moja ya nchi zenye taasisi imara sana za kijasusi, hatujui ameichunguza Ukraine kwa muda gani kujua uwezo wake wa kijeshi na kila kitu, walikaa na kujadili madhara gani yanaweza kutokea wakiingia vitani na nini kifanyike kujikwamua.

Wenyewe wameanza kukubali kwamba vikwazo havifanyi kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu kuna watu wanakuambia hii siyo vita ni operation.
 
Duh ...wachumi wa Tanzania katika 'umahiri' na 'ubora' wao wa kujua mambo..but their country Tanzania is still languishing in poverty while we have experts in economic issues....
 
Mpaka muda huu wanataman kuiondolea urusi vikwazo ila wanaona aibu tulisema hapa vikwazo vitawachapa wao wenyewe kuna wamarekani wa pale mabibo mwananchi walitubishia
😀 Mkuu achana na hayo mengine kwanza,tupia ile ramani yetu ya jinsi majeshi ya Russia ynanvyosonga mbele kuelekea Kyiv.
 
Niliwahi kusema, tunachosikia kwenye media ni kidogo mno cha uhalisia. Watu wengi wamekufa Ukraine, maisha ya ukraine yamevurugika, kama watalii raia wa Ukraine wapo zanzibar wanashindwa kwenda kwao sio sababu ya kukosa nauli. Muda utasema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…