Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yaani mnamuwekea vikwazo na noti mnampa SI muache kutumia uchumi wake udorore halafu tuone nani anamtegemea nani.
 
Acha propaganda wewe sema vita imekushinda yaani Ukrain wakubali kutojiunga na Nato alafu Nato hao hao mpka sasa ivi wawe wanaendelea kuisaidia Ukrain shirikisha bongo yako Mzigo umejuwa mzito sana kwa Urusi ni kwamva vita imemshinda urusi sasa anatafuta mlango wa kutokea
 
duh hz picha zinatisha,hio ndio denazifcation aliosema putin, maiti za raia mitaani
Makaburi ya halaiki yameanza kugundulika Ukraine katika miji ambayo wanajeshi wa Urusi walikuwa wameikalia na sasa wameichia na kurudi nyuma.

Katika mji wa Bucha makaburi ya halaiki ya raia 300 waliouwa na majeshi ya Urusi yamegunduliwa.

Hali ya mauji ya halaiki ya raia Ukraine katika miji iliyokaliwa na majeshi ya Urusi inahofiwa huenda ikafanana na yale yaliyotokea katika vita vya pili vya dunia katika miji iliyokaliwa na majeshi ya Kinazi ya Ujerumani.
 
Kiev region: in a mass grave and in the sewer, the bodies of the headman of the village of Motyzhin Olga Sukhenko, her husband and son, who went missing on 23/03/22 ,
ndio urusi wanazibana independent media na social media pia, picha kama hizi zingeleta shida sana
 
Mi mbona nipo Bucha muda huu sijaona hata kaburi moja zaidi ya kuona mwendokasi tu
 
Utawala wa Sudan ulikwisha kubali kumpeleka Al-Bashir mahakama ya ICC, japo sio peke yake alihusika katika uhalifu na ukatili dhidi ya binadamu, majenerali wenzake waliamua kumtoa kafara wao wapone na mkono wa sheria ya kimataifa.
Kwisha kukubali ndio nn wakat bado jamaa hajafika ICC
Waache ubabaishaji
 
Unaongea nn
Jibu swali jengine kwakua hayo yajuu umeyakana kuyajibu
Nchi yako ambayo haijatengwa ama kuharibu sifa kimataifa imewazidi kipi IRAN iliopoteza sifa kimataifa
IRAN iliotengwa nikheri na bora kuliko mataifa yooote ya AFRICA na na baadhi ya EU na baadhi ya ASIA na baadhi ya AMERKA NORTH
kama IRAN ile nilioiona mie ndio imetengwa kimataifa ina vikwazo na ina matatizo mengi yakiuchumi basi ni bora AFRIKA yote ikiwemo inji yako itengwe kimataifa pia ili walau iikaribie IRAN
IRAN iliotengwa ni faaar faar faar better kuliko mataifa yenu yooote UCHWARA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…