Toa mihemko isiyo kuwa na maana hapa kwa hiyo ww mla mihogo kutoka sumba wanga una uchungu na Ukraine kuliko viongozi wake walio fikia makubaliano na Urusi?Acha propaganda wewe sema vita imekushinda yaani Ukrain wakubali kutojiunga na Nato alafu Nato hao hao mpka sasa ivi wawe wanaendelea kuisaidia Ukrain shirikisha bongo yako Mzigo umejuwa mzito sana kwa Urusi ni kwamva vita imemshinda urusi sasa anatafuta mlango wa kutokea
Sio rahisi .Raisi wa Ukraine anataka apatiwe access ya $ b.400 za assets zinazoshikiliwa na nchi za magharibi.
Source; RT
Si walikuwa wanapewa silaha wapambane?Makaburi ya halaiki yameanza kugundulika Ukraine katika miji ambayo wanajeshi wa Urusi walikuwa wameikalia na sasa wameichia na kurudi nyuma.
Katika mji wa Bucha makaburi ya halaiki ya raia 300 waliouwa na majeshi ya Urusi yamegunduliwa.
Hali ya mauji ya halaiki ya raia Ukraine katika miji iliyokaliwa na majeshi ya Urusi inahofiwa huenda ikafanana na yale yaliyotokea katika vita vya pili vya dunia katika miji iliyokaliwa na majeshi ya Kinazi ya Ujerumani.
Ungekua unawakoti babu, ili tucheke zaidi...Wewe mpumbavu GDP inahusiana vipi na consumer purchasing power (CPP) , idiot ,ujuaji mwingi akili mavI
🤣🤣😂😂Propaganda hizi tokea vita imeanza RUSSIA alikua anapigwa hii halaiki kaifanya muda gani
Majeshi ya RUSSIA wameshiba mafunzo hawawezi kufanya huo unyama
Achaneni na PROPAGANDA
Chinese Foreign Ministry spokesman Zhao Lijian is again trolling the United States.
“When the US forces others to take sides, it really means… take (my) side!” he tweeted, attaching a cartoon to the post. Galip SV Liwagu
Previously, Lijian showed how the West imagines the "international community."View attachment 2173838
Ume ulizwa swali badala ujibu umetoa maelezo marefu yasiyo kuwa na kichwa na miguu.Kumbe. Imara? Tangu miaka 40 serikali inaita wananchi waandamane na kupiga kelele "Marg bar Amrika" na "Marg bar Israel" (kifo kwa Marekani, kifo kwa Israel). Vifo hivi havikutokea bado. Nchini Syria wanajeshi wa Iran wanapigwa mara kwa mara na ndegevita za Israeli. (binafsi nasikitika wote wawili, maana hawana kazi kuzurua Syria)
Lakini serikali ya Iran ilifauli kuharibu sifa za nchi yake kimataifa. Hata imefaulu kupeleka mawaziri wa nchi za Kiarabu watembelee Israeli na kushika mikono na waziri mkuu wa huko.
Mafanikio kweli!! (miaka 10 iliyopita isingewezekana, sasa wanakuja kwa sababu wanaona Iran tishio)
Imara, eeh?
US ni superpower halisi, iko Ukraine, imepeleka majeshi yake na vifaa nchi za NATO, inapambana kuhakikisha Israel inakuwa salama kwa kuinyima Iran uwezo wa nyuklia, inaendesha vituo vya kijeshi Korea Kusini na Japan dhidi ya Kiduku, kwa ujumla ina vituo 700 vya kijeshi duniani na bado inaendelea kugawa misaada kwa nchi maskini.
Pakistan yenyewe inapokea msaada wa kijeshi wa 1Billion$ kila mwaka kutoka US.
Uwezo wote huo ndio unaoifanya kuwa superpower.
Duh....idiots....inaelekea na wewe umepanic Kama wao😂😂🤣🤣😁😁😀😀Wapuuzi hawa madogo wala usijiangaishe kujibizana nao , wao wanajua kucopy taarifa toka Kwa websites za kipuuzi huko Instagram wanaleta humu , idiots kabisa , hawajui Geopolitical issues zinavyokwenda duaniani humu
Huyu Zelensky vipi jamani?!?! Yeye ndiye aligawa silaha kwa wanachi huku akitamba kuwa Ukraine yote ni Askari...Sasa hao raia wametoka wapi?! Sasa hao Azov wa Zelensky wakawa wanawapiga risasi wananchi wanaokimbia Vita wanawataka wawe ngao kwa Azov....Sasa wewe raia una bunduki halafu umejigeuza ngao hapo Mrusi hakuachi aisee.Zaidi: Jinai ya vita
Kwahiyo na wew umeshauriana na kichwa Kuna putin watamkamata kabsaakuna mtu alinibishia humu mwanzoni kwamba putin sio war criminal imekuwaje sasa
wanataka wamfikishe huko ICC?
Germans will become poorer because of the events in Ukraine, said German Finance Minister Christian Lindner.
According to him, recent events "will make us all poorer, for example, due to the fact that we have to pay more for energy imports. Even the state will not be able to stop this decline in welfare," Lindner said in an interview with Bild.
By the way, anti-Russian sanctions, and not "events in Ukraine," are forcing the Germans to pay more for energy. For some reason, Lindner did not mention this.
Dah...Vita Ina mengi dogo...Ina propaganda, Ina vitimbwi na kadhalika...hayo ya Askari wa Russia kufanya uhalifu baadhi yao inawezekana kabisa lakini sehemu kubwa ni propaganda...pengine hujasikia uhalifu wanaofanya Askari wa Ukraine kwa kuwapiga risasi raia wanaotaka kuondoka Ukraine...wengine wenu mnaangalia BBC, Aljazeera, CNN na Skynews ambazo ni propaganda tupu...Acha tu halafu anatoka mtu na koment yako putin mwanaume kwa kutuma jeshi kuua raia na kubaka mabint/wanawake?
hatari, km ni kiev tu hvyo je miji ilioshuhudia mapigano zaidi hali sijui itakuwaje, mariupol huko ndo wanasema kuna makaburi zaidi km hayo ,Makaburi ya halaiki yameanza kugundulika Ukraine katika miji ambayo wanajeshi
Putin kashindwa vibaya, inawezekana taarifa za kijasusi alizopewa kabla ya kuvamia Ukraine zilikuwa za uongo tu
Hivi Fertilizers kumbe ni gesi pia ..... Kichwa kikubwa kama jina lako Fuso akili ULEZI... Marekani mwenye SI aweke ban kwenye fertilizers na inputs za kilimo mbona karuhusu !!??
Russia’s Gazprom Stops Deliveries Of Russian Gas To Germany
kwani bomu la nyuklia huko japan lilipigwa hivi hivi bwana kubwa jinga wao japan si walianza wenyewe uchokoziDah...Vita Ina mengi dogo...Ina propaganda, Ina vitimbwi na kadhalika...hayo ya Askari wa Russia kufanya uhalifu baadhi yao inawezekana kabisa lakini sehemu kubwa ni propaganda...pengine hujasikia uhalifu wanaofanya Askari wa Ukraine kwa kuwapiga risasi raia wanaotaka kuondoka Ukraine...wengine wenu mnaangalia BBC, Aljazeera, CNN na Skynews ambazo ni propaganda tupu...
Je umewahi kusikia uhalifu waliofanya Marekani huko Irak, Vietnam na Nicaragua na Grenada ...ni balaa nakwambia...Marekani ndio taifa pekee lilowahi kuua watu au raia kwa maelfu kwa you la nyuklia huko Japan...pia Marekani ndio iliyotumia sumu za kemikali..napalm boms. Huko Vietnam...