Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

BS.
Kwa ni Russia haikumpa Zelenskyy nguvu za kupambana na NAZI kama ilivyompa dikteta Lukashenko wa Belarus nguvu za kuendelea kubaki madarakani yalipoanza maandamano kupinga uporoji na uchafuzi katika uchaguzi wa Belarus?
 
Tokea Vita imeanza serikali Ya Kremlin imekumbwa Na tatizo la tovuti zake kudukuliwa mara 4 na Muda mwingine kukuta kwenye tovuti umeandikwa Putin Killer , war criminal


Baada ya Urusi kuona wazuie taarifa kwa wananchi zisiwafikie juu ya kinachoendelea wadukuzi nguli Duniani wakaingilia mfumo wa RT (Russia Today na kusambaza video inayoonesha Mauaji yanayofanywa na Putin huko UKRAINE Mbaya zaidi wakaja kuona hata video Za warusi wanaokufa vitani,


Walidukua mfumo wa Treni wa Belarusi na kumislocate route ya Treni Za vifaa vya kijeshi vya Kwenda kusaidia Urusi kuiangamiza UKRAINE


Kipindi Putin anafanya maonesho ya nia yake juu ya Donbas Crimea na Operation ya UKRAINE wakati wa Hotuba yake uwanjani matangazo yaliingiliwa na wadukuzi na kusababisha mwishoni kukatika kwa matangazo

Leo hao wadukuzi (Anonymous hackers ) wame leakisha personal data za Siri Za wapiganaji wa Urusi 120,000 . Kuanzia familia zao zilipo,vitambulisho vyao na mali walizonazo kitu anbacho kimezua taharuki Kremlin

Jana wamelikisha utaalamu wa Ma vifaru ya Urusi ambayo imekuwa jambo si zuri sana Kwa Urusi, taarifa Hizi anapozipata adui


Makampuni yaliyokuwa yamebaki Urusi kufanya biashara kwa Kuficho Nayo yamewekwa wazi

Britanicca
 
Putin angeweza kuigawanya Ukraine kama angevamia eneo la Mashariki kuongeza himaya yake ya uvamizi alioufanya 2014 eneo hilo. Aliharibu vibaya alipovamia nchi nzima ya Ukraine. Sasa Marekani, Ulaya na Ukraine wameanza kuuona mkakati wake sawa na wa Hitler aliyekuwa anavamia na kupewa sehemu za nchi nyingine kidogo kidogo huku wakimchekea(appeasement) mpaka akasababisha vita vikuu vya pili vya dunia.

Putin akiendelea kung'ang'ania Ukraine Mashariki Zelenskyy hatakubali na Eneo hilo litageuka kuwa eneo la vita vya Guerilla huku vikwazo vikiendelea kuaharibu uchumi wake.
UKRAINE tayari washagawanywa nisuala la MUDA tuuu
Halaf kuna watu watasema RUSSIA kashindwa hii OP
Halaf kibaya zaidi kwa UKRAINE majimbo yao yatakayobebwa niyale yamaana sana kuliko huo upande watakao achiwa
VIVA PUT IN
 
BS.
Kwa ni Russia haikumpa Zelenskyy nguvu za kupambana na NAZI kama ilivyompa dikteta Lukashenko wa Belarus nguvu za kuendelea kubaki madarakani yalipoanza maandamano kupinga uporoji na uchafuzi katika uchaguzi wa Belarus?
Unaambiwa hao NAZI ndio wenye nguvu ndani ya Ukrane na huenda ndio waliochangia kwa kiasi kikubwa kumuweka madarakani Zelenskyy, na ndio ambao wanatumiwa na US/NATO kumvuruga Urusi.

Sasa Zelenskyy atapata wapi nguvu za kupambana na waliomuweka madarakani...

Na kiukweli hata NATO hawawakubali hao jamaa kulingana na historia yao.. ila kwa sababu wanapigana dhidi ya Urussi NATO wapo tayari kuwaunga mkono kwa namna yoyote ile..
 
Na ukiziangalia vizuri hizo picha zinazodaiwa ni maiti za Raia zimetapakaa barabarani unajiuliza maswali haya.

1. Picha ya hizo maiti hazina dam, hazijaharibika, kamba zilizofungwa mkononi ziko safi ajab zaidi zimepangwa katika mpangilio mzuri utafikiri show Off.

2. Kama Russia kweli wangefanya hilo tukio wangekimbia kuzificha hizo maiti kwa kuziteketeza mbaali zisionekane kukwepa uhalifu wa kivita.

3. Kuna video apa nilikuwa nazitizama za eneo hilo, no close up ya Camera wala hata ile kuigusa maiti ambayo wanadai kuigeuza kuthibitisha ka mtu amefariki au Laa... kitu ambacho kwe video za nyuma tulikiona wakifanya.

4. Bodies without blood can be done with Radiation. Sasa unajiuliza if that's true ilikuaje hizo radiation zikawa selective kwao tu peke yao na sio Jeshi la Russia lililokua apo.

5. Kingine when someone is shooting people 200m down the road from you, unaweza kuendelea kutembea kwenye barabara hiyo hiyo? Jibu ni Hapana. Sasa unajiuliza Inakuwaje miili yote iko kando ya barabara, hakuna hata mmoja aliyejaribu kukimbia.

6. Maiti tunazooneshwa ni jinsia moja tu ya kiume [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa inakupa alert ya nyuma walee tuloambiwa wanazuiwa kuondoka nchini apo wakitakiwa wapigane.

7. Also do you honestly believe the Ukrainians would just drive into these previously occupied places for the first time with journalists so calmly? Ofcourse not. Why? Kwasababu huenda kukawa na Russians Force Army wemejificha hivo wakafall kwenye trap yao...

So it's obvious they've been there before and made sure the Russians have indeed pulled out. na huenda they could have easily used that time kutengeneza scenes we see and then come in with journalists.

8. Sasa ukiyafikria haya yooote kisha ukarejea nyuma kuona matukio y kutengeneza ambayo wamekuwa wakiyafanya bado haingii akilini kua kitendo hicho kimefanywa na aliyetoka eneo hilo.

Tukumbushane tu All democracies in the world work for CIA and US, not for their own people who voted them, wako tayari kuumiza raia wao kukidhi matakwa ya US.

Ajab zaidi the same people who are funding this mess are the same people who fund the Transgender Movement. Na hii iko noted kila kona kwa label yao ya upinde wa mvua. [emoji2380]

Globalists with enormous cultural influence, billionaires via their own organizations, including corporations kubwa kama Alphabet kupitia Youtube and Google, Meta kupitia Insta na FB, Taasisi za kifedha na wengineo.

Hey nyie Western supporters na washabiki kindaki ndaki... Are those staff not enough to alarm your sleepy mind what's going on kwenye hiki kidunia cha duara?
 
Anaujua ukweli ila kichwa chake kimejaa umagharibi.
 
Unaambiwa na nani??
Hayo na maneno na propaganda za Putin kuhalalisha uvamizi wake.

1.Zelenskyy ni Myahudi, Babu yake na ndugu zake wengi waliuwa na Wanazi anawezaje kuwa sehemu ya Wanazi?

2.Wanazi wa Ukraine wanaithiri vipi Urusi?Hata kama kweli wangekuwepo.

3.US/NATO wameivuruga vipi Urusi ? Kitu gani walichokifanya US/NATO ambacho unahesabu ni kuivuruga Urusi?
 
Ana jeshi bora huku anatolewa jasho na Bwana mdogo Zelensiky 😀
 
Aweze marangapi ODESSA na majimbo yaupande ule mwengine yanayopakana na CRIMEA yapo Under RUSSIA
Au kwako unataka mpaka kitokee nini mpaka useme kwamba UKRAINE imegawanywa!!?
Kwampaka sasa ilipo UKRAINE imeisha gawanywa na kilichotokea UKRAINE nikwamba haiwezi ikawa tena kama ya mwezi mmoja ama miwili kabla ya hii OP haijaanza
Pia kuhusiana na kutawalika UKRAINE haitatawalika tena kama awali yaani itakua kama SYRIA kuna baadhi ya majimbo watakayoachiwa hao mabwana hayatakalika ama haytakua naamani tena tena yatakua kama hayo ya DON BAS baada ya kukwapuliwa CRIMEA nahayo ynaachwa yasikalike nakutawalika kimkakati zaidi ikatokea huko mbeleni UKRAINE akazingua basi hayo majimbo yatatumika kama yalivyotumika LUHANSK na DONESTK kama mzizi wa hii OP
Kiufupi UKRAINE imeishakua SYRIA ilokua ndani ya EUROPE kwamaana ukiiangalia UKRAINE yakabla ya mapinduzi ya 2014 na yabaada unaona utofauti mkubwa kabisa
UKRAINE ya kabla ya hii OP nayabaada ya hii OP pia utaiona nautofauti kabisa silaha zimezagaa mikononi mwa RAIA
Kuhusiana na eneo la mashariki kua na GUERILLA sio mbaya sababu ndio malengo ya RUSSIA wanataka UKRAINE aloiacha swahiba wao mwaka 2014 isitawalike ili hata mambo yakiwa hayaendi wanapata sababu yakuingia kufanya OP nyengine
Kuhusiana na masuala ya VIKWAZO hivi sitaki kuviongelea maana najua sana kama utaleta ushabiki namapenzi sana kuliko uhalisia sababu RUSSIA alikua anajua kama VIKWAZO vitaekwa naliisha jiandaa kwa hilo
VIKWAZO kwa GIANT kama RUSSIA kujipotezea muda vina athari hasi sawa ila sio kama mnavyodhania
 
Duh...aisee yaani hujui kuwa Zelensky aligawa silaha kwa wananchi wake?! Wananchi waligawiwa silaha hizo hadharani na mahojiano na baadhi yao kufanywa na baadhi na vyombo vya habari vya kubeberukama Alja zeera, BBC, CNN na kadhalika?! Zelensky alionywa mapema na baadhi ya taasisi kuwa utratibu huo no kinyume na sheria za kimataifa lakini yeye akaona kuwa ni Comedian halisi?! Halafu kuhusu hoja yako ya vyombo vya habari vya Urusi ni afadhali Mara elfu kuliko propaganda inayofanywa na BBC, Alja Zeera na wengineo wa magharibi...yaani kutwa kucha wanaokufa ni warusi tu yaani Ukraine hawafi...Mara utasikia majenerali wa Russia wamekufa lakini siku mbili baadaye unaona jenerali huyo anaonekana....yaani wanachonesha hao sijui BBC na wenzao ni kurudia mipicha kwa wiki nzima ya kinachodaiwa ni ubomoaji wa majengo, hospitali kuua watoto na kadhalika...Askari na hasa idadi yao wa ukraine waliokufa hatuambiwi...tunaambiwa tu warusi wamekufa 17,000 na zaidi...stupid media...this is outright biased reporting ..it is news spinning...it is propaganda...na walivyo washenzi Hawa West eti wanavifungia vyombo vya Russia
Wenzio wanasema lengo limetimia kwa asilimia 100 na kazi imekwisha
Wenzangu akina Nani?! Acha kunipangia makundi...wewe wenzio akina Nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…