Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Biden got confused again: he called Michelle Obama vice president.

Speaking at the commissioning ceremony for the new submarine, he said he was incredibly proud of the work that his wife did with Michelle Obama when she "was vice president."

On the website of the White House, this statement was published already with the edit: "... when I was vice president."
 
Aibu ya karne hii wanajeshi wa supa pawa kantre wanaiba masufuria πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mzee wangempumzisha tu, wanazidi kumvuruga tu.
 
Sababu za kuamini taarifa ya Russia ni ipi na ya kukataa hii ya Ukraine ni ipi?
Mwambie na pale Russia walipokataa kuwa hatavamia Ukraine badala yake Yale yalikuwa ni mazoezi tu ,aliwaamini ?
Na je anapata wapi uhalali wa kuwaamini ikiwa walishawahi kudanganya mwanzo!?
 
Njaa mbaya sana,hivi unakula vipi chakula ulichopewa na adui?πŸ€”
 
Huu mzozo umeonyesha kua US kapungua sana sana ama hana kabisa status alokua nayo miaka 20 nyuma
Jamaa POTUS kakataliwa mpaka kupokelewa simu
Mpaka mabalozi wanalazimisha nchi ziegemee wanapopataka wao
Kwahakika US ni PAPER TIGER
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…