MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,526
- 10,820
Mkuu mbona anayo Ile s 550Wakati Marekani yupo kwenye majaribio Urusi ameshalitumia tayari na dunia yote imeona.
Wakati huo kumbuka US,UK na Australia kwa pamoja wameungana kuliunda hilo dude ambalo Mrusi tayari analifanyia kazi.
Siku Marekani na kombinenga yake akifanikiwa kulitengeneza jua Urusi tayari atakuwa amepata rada yake.
Hii Vita ni mbaya sana ukiangalia miji ilivyo baki magofu unasikitika sana
kumbe hata watuts wanao lialia waliuawa sana basi walishindwa vita ?Endelea kuota na kujifariji...
Ungeamua kutumia kiasi kidogo cha akili uliyopewa bure na Mungu, ungejiuliza kwa nini Zelensky wa Ukraine alikuwa akilialia kila wakati na kila siku akiomba mazungumzo na Putin wakati Putin akiendelea na mishe yake ya kumchapa kimyakimya...
Kwenye ngumi, ukim-mudu na kumtwanga vyema adui yako huna haja ya kulialia kwa kuwa wewe ndiyo unashinda mechi hiyo...ila kama gemu limekuwa zito kwako na unapokea kichapo cha mbwa koko, ni lazima utakuwa walialia na kuomba kila mtu asaidie kuwaamua na kukuokoa na kichapo
mbona sio povu hilo , hapo anakupa shule tuWw jamaa nadhani una uchungu na Ukraine kuliko hata rais nchi hiyo maana si kwa povu hili bila shaka vita ikiisha utapewa na uraia kabisa.
jamaa katoa hoja yake , na ww hoja yako ni ipi ? kumbuka huu sio uwanja wa kutia hudhuni , weka content mezaniNafuu ungekuwa walau Kilaza ungejaribu kuficha Upumbavu wako.....lakini kwa bahati mbaya Ubongo wako umejaa kamasi na ndio maana unaleta hoja nyonge na dhifu zisio na mashiko
upo timamu kwel ? ushaleta thread mpya kweny thread ya mwenzio ? jikite kwenye mada pleaseHata ASSAD nirais mpaka muda huu
bang zinakupeleka pabaya , fuatilia ujue vituduh mahaba mabaya sana.
1.hivi russia ndo amemweka assad madarakani?
2.hivi umewahi sikia putin amesema anataka kuteka kiev na kumuondoa zelensky madarakani?sijui vyanzo vyako vya habari ni vya nchi gani.
3..Mbona zelensky ameshasema siku nyingi kuwa hatojiunga na NATO tena.
asifiwe kwa ujinga wake ?Russia hapigani na Ukraine bali anapigana na NATO & The US, bado tu huwezi kumsifia?!!
Maiti zenyewe za mchongo. Toka lini maiti isogeze mkono gari ikimkaribia?MKUU bado tu huelewi PROPAGANDA
JAMAA wameadhimia kuipaka matope RUSSIA yaani watafanya kila MABAYA ama kila UONGO halaf waitupie lawama RUSSIA na PUT IN
Wanachokifanya hao jamaa nikuipa jina baya RUSSIA ili ulimwengu uwaone RUSSIA wauaji wabaya nk lakini sivyo ilivyo
Mauaji ya BUCHA kuna mawili eidha wameyafanya wenyewe halaf wakaituhumu RUSSIA ama nimatukio tu yakutungwa nandio maana msemaji wa wizara yamambo ya nje ya UCHINA leo akasema picha zinaogofya ila hawawezi wakalaani ama wakalaumu bila kufanyika uchunguzi
Kwenye mgogoro wa SYRIA jamaa walikuja wakaibua shutma kama ASSAD alitumia silaha za kemikali ili wpate kisingizio na sababu yakumnyoosha walipoambiwa walete ushahidi kwamba ASSAD katumia silaha za SUMU jamaa mpaka leo hawajulikani walipokimbilia yaaani
Mwisho hata IRAQ walisema wana silaha za SUMU sijui NYUKLIA wakapata sababu yakuivamia kijeshi toka mwaka 2003 mpaka leo umeona ushahidi juu ya silaha walizodai zipo IRAQ
Ila kwakua hizi shutma zipo kwa GIANT kama RUSSIA upe muda nafasi yake utakupa majibu ila tukio la BUCHA ni uongo wawaaazi kabisaaaa
Nafurahi sana mtu anapobuni dini ya mtu. Mimi ni mkristo tena hai. Sasa mtu akidhani tunaounga mkono Russia ni waislamu tu kapotea tena mbali sana.mbna Venus Star ni mkristo tena umifatilia thread zake nyingi za nyuma ni za Kidini za kichrsto
mfano hii
Uhalisia wa Shetani (Utaifahamu kweli, na hiyo kweli itakuweka huru)
Nawasalimia wote JF. Nimeamua kuandika jumbe mbalimbali kwa lengo la kufundisha na kuwafumbua macho waliotayari. Leo hii nitaongelea suala la huyu anayeitwa shetani. Imetokea kuogopwa sana na kuonekana ni kiumbe hatari sana (Kiumbe wa kusadikika). Kwa kuwa nililelewa katika dini ya kikristo...www.jamiiforums.com
na hata hao wengine pia hvyhvyo
Au umekosa HOJA mzee
India tayari wamelaani mauaji ya Putin Bucha, wewe komaa hapo hapo.MKUU bado tu huelewi PROPAGANDA
JAMAA wameadhimia kuipaka matope RUSSIA yaani watafanya kila MABAYA ama kila UONGO halaf waitupie lawama RUSSIA na PUT IN
Wanachokifanya hao jamaa nikuipa jina baya RUSSIA ili ulimwengu uwaone RUSSIA wauaji wabaya nk lakini sivyo ilivyo
Mauaji ya BUCHA kuna mawili eidha wameyafanya wenyewe halaf wakaituhumu RUSSIA ama nimatukio tu yakutungwa nandio maana msemaji wa wizara yamambo ya nje ya UCHINA leo akasema picha zinaogofya ila hawawezi wakalaani ama wakalaumu bila kufanyika uchunguzi
Kwenye mgogoro wa SYRIA jamaa walikuja wakaibua shutma kama ASSAD alitumia silaha za kemikali ili wpate kisingizio na sababu yakumnyoosha walipoambiwa walete ushahidi kwamba ASSAD katumia silaha za SUMU jamaa mpaka leo hawajulikani walipokimbilia yaaani
Mwisho hata IRAQ walisema wana silaha za SUMU sijui NYUKLIA wakapata sababu yakuivamia kijeshi toka mwaka 2003 mpaka leo umeona ushahidi juu ya silaha walizodai zipo IRAQ
Ila kwakua hizi shutma zipo kwa GIANT kama RUSSIA upe muda nafasi yake utakupa majibu ila tukio la BUCHA ni uongo wawaaazi kabisaaaa
Marekani alisaidiwa na wachumba zake wote wa ulaya. Pia washirika wao wa kiarabu. Tena hao mashoga walivyokuwa waoga,walikuwa wakishambulia kupitia angani kwakuwa Iraq hakuwa na ulinzi imara wa anga. Ardhini waliingia kwanza waarabu na wa Iran. Ndipo mashoga wakaingia baada ya kusafishiwa njia.Wakati anaamrisha majeshi yake kuivamia Ukraine bwana Putin alidai anataka kuondoa Manazi wanaoiongoza serikali ya Ukraine, hiyo ilikuwa tarehe 24 March, leo ni zaidi ya mwezi hawajaweza kuondoa hata nazi moja pale Kyiv,
Tarehe 19 March mwaka 2003, majeshi ya marekani yalianza kuishambulia Iraq kwa lengo la kumuondoa Rais Sadamu madarakani eti kwa sababu alikuwa anamiliki siraha za maangamizi.
anyway, wote, USA na Russia walitoa sababu za kijinga sana kuvamilia mataifa hayo mawili, lakini wote walikuwa na objective moja, kuangusha tawala za mataifa hayo.
Tarehe 9 April 2003, serikali ya Sadamu ilianguka, ilichukua wiki tatu kwa wamerekani kutimiza lengo.
leo ni zaidi ya mwezi toka Russia waivamie Ukraine, walichofanikiwa ni kubadili malengo ya uvamizi wao
nadhani nimeeleweka nachozungumzia.
Safi sanaAn accumulation of foreign-made military equipment and weapons was destroyed at the Lozovaya railway station in the Kharkiv region, the Russian Defense Ministry saidView attachment 2178352