Ww mzee nimesha kwambia acha kushobokea coment zangu maana ww ni mpiga zumari wa kimagharibi humu ukiulizwa maswali linalo kubana una yakimbia haujibu unasubili tena mtu akoment tena urukie moment yake wakati huko nyuma amekuuliza swari umelikimbia kulijibu.Bwana unaanza ujumbe kwa kudai mara 2 yule unayemjibu ni "mpumbavu" / "Kipumbavu", unaendelea kudau anachukia URUSI:
Sitaki kutumia lugha yako hapa. Sioni Yoda anachukia Urusi. au China.
Huna msingi. Madai yako hayaonyeshi matumizi ya akili.
Ninaweza kuheshimu, hata kupenda nchi - lakini kukosoa serikali au uongozi wake. Tena ni lazima pale ambako kiongozi anatenda jinai au anaongoza watu wake kutenda jinai.
Hao viongozi wanapita. Nchi na taifa linaendelea.
Vip hapo kenya msio kuwa na vikwazo maisha yanaendaje maana nasikia mmepaki magari baada ya kukosa mafuta.Sanctions have started to bite,
inflation imefika 16.7%
Sukari imepanda na 44%
Vitunguu vimepanda kwa 50%
View attachment 2181994
Ebu tulia mkuu afu kaandae vizuri ili utuletee package ilio murua kabisa ...nondo safi ...habari ya huu mji hata sijaijua vizueri nasikiaga tu KALINGRADI ......jina la kibabe ubabeni ....SI nato wababe wajichanganye Hapo... Maana pale ni bandari ya magharibi ... Na ndio bandari ya kingdom zote za Urusi Kwa uchache ... Ntamaliza uhondo acha niandeke vizuri... Hakuna mwenye akili akavamia Hapo ..
Ww jamaa una kila dalili za kuwa shoga maana si kwa kujichekesha chekesha kama mtoto wa kike.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuh tunakumbushana tu
Jaribu kusoma kabla ya kujibu.Ww mzee nimesha kwambia acha kushobokea coment zangu maana ww ni mpiga zumari wa kimagharibi humu ukiulizwa maswali linalo kubana una yakimbia haujibu unasubili tena mtu akoment tena urukie moment yake wakati huko nyuma amekuuliza swari umelikimbia kulijibu.
Una chukia kumuita mpumbavu ila yy kuita wale wanao iunga mkono Russia kwamba hawana akili ndio sawa?
Huwezi nielewa utashia kutukana tu,umemtetea Russia kuivamia ukraine kwa sababu za kimaslahi na kisiasa kama hiyo unaona ni sababu nzuri ku-justify uvamizi basi nchi yoyote kwa sababu za kisiasa na kiusalama kwako ni halali kuvamiwa au kuvamia,mbona iko transparent sana.Love is my religion.Gadafi alifanya sabotage gani against the West,none.Kosa lake kubwa ni kuwapenda Walibya na kutaka kudhibiti mafuta yao,basi.Ni kama case ya Magufuli tu.Mbona unalinganisha vitu visivyo linganishika?Watanzania vipi,vichwa vimejaa makamasi?
Utumwa wa kifikra unamtesa huyo jamaa yaani yeye anajifanya anamjua sana Gaddafi kuliko walibya wenyewe!Labda unyoshe historia yako kidogo? Gaddafi alifidia magaidi, hadi bomu kwenye ndege ya Pan Am 103 ( Lockerbie bombing). -- Tena aliua watu wake, hadi alipata uasi mkubwa. Alipoendelea kuchinja watu hovyo, Baraza la Usalama liliamua kuzuia ndegevita zake kwa no-fly-zone. Mwishoni ni watu wake waliomwua.
Heri usimlinganishe na Magu. HAkuwa mbaya mbaya vile.
Du kuna watu wana muda wa kupoteza. Zikihujumiwa nchi za Kiafrika hamuandiki yote haya. Who cares kama Ukraine wanauawa au vinginevyo wakati ni wabaguzi wa kunuka. Bravo brother PUTIN VIVA VIVA MON FRERE GRACIAS AMIGOTake it from me, hakuna vita hapo!
Kwa watu wa dini wenye mioyo minyoofu, hiyo ni ishara kubwa sana kwamba sasa uovu wa wanadamu umefikia kikomo kama ilivyokuwa wakati wa Gharika na Sodoma na Gomora.
Mungu yule wa Gharika na Sodoma na Gomora ndiye yule yule ambaye tunaye sasa. Hajabadilika.
Amekuwa na subira kwa muda mrefu, sasa:"Enough is enough "
😂😂😂😂 tunakumbushana tu mkuu . usipaniki 😂😂😂😂Ww jamaa una kila dalili za kuwa shoga maana si kwa kujichekesha chekesha kama mtoto wa kike.
Msafara wa siafu huu.😂😂😂😂Msafara wa kijeshi wa Russia wa urefu wa kilomita 64 (maili 40, yaani ni sawa na umbali toka Dar esa Salaam hadi Mlandizi ) upo kaskazini mwa Kyiv kama inavyoonekana kwenye picha iliyochukuliwa na satellite (kwa mujibu wa chombo cha habari cha Reuters). Vita bado mbichiii, lazima Kyiv ichukuliwe.
View attachment 2134919
🤔🤔🤔🤔kumbe ilishakua vita tayari ?!!!!!Tuiombee UKRAINE, Urusi ameingia VITANI sasa na sio Opareshini kama ilivyokuwa mwanzo. Mauaji ni makubwa mno sasa. CHINA imetangaza wazi atafanya biashara na URUSI na hatambui vikwazo hivyo.
Pamoja mkuuShukran MKUU
Ila wengi ama wooote walokua wanatarajia kwamba OP ya UKRAINE inaweza ikachukua muda mchache nahisi walikua hawapo sahihi
RUSSIA ama hata US hata angeenda kupigana na SOMALIA isingekua wepesii hvyo maana ile sio kama unapiga huku unaempiga tulia tuuuu
Ila SHUKRAN sana MKUUU
Kweli kabisa mkuuKweli huyu zelensky ni comedian
Okey.Unafahamu Battle of Kilinigrad ... !!? Na Kilinigrad ipo wapi.. !!! Na ni eneo la Urusi!? .... Nawaambia msome mjue Geopolitics... Humu mtabishaaaaaaa tutabishanaaaaa.... Mjinga yeyote akapige pale Kilinigrad...
Vp mkuu mmemkamata Jew ?Yule ni Jew anayetumika na CIA..
Akikamatwa na Russia sijui watamfanya nini