πππ tatzo la proπ·πΊπ·πΊ ni kuwa mnapenda sana kumkadilia mtu . Mara utasikia πΊπ¦πΊπ¦ anapigwa na π·πΊπ·πΊ ndani ya saa 24 biashara inakuwa imeisha πππ.Huwa najiuliza kipi wanatumia WaUS mpaka wataiwan wawe na kiburi hivyo kwa china. Hata mtu asiyejua kiasi gani lkn anajua kbs kwa china Taiwan hawana hata asilimia 0% ya kushinda.
Sema China aende tu taratibu na hivyo vijamaa maana kuvipiga ni kujipiga mwenyewe. Atakiharibu alf apate kazi ya kukitengeneza upya. Endapo China itaivamia Taiwan hakuna atakaeingilia.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Huyo ni mwanetu soma vizuri hiyo tweet utamwelewa tu irudie kuisoma ....Unatype mapovu ukiwa Mbagala kwa nyoka
Mkuu tupe sababu ili tuelimikeYes yes, na hiyo Monopoly kuja kuisha si leo wala kesho labda Unipolar ya US ife... kwasabab wana Back up kwenye serikal yao... Angalia Competitors wanavopigwa pin kwa ban zisizo na mashiko....
Huawei hapo alim'overtake Apple kua wa pili katika Marketshare ya Mauzo ya Smartphones duniani na ndie aliyekuwa mbele kwenye mbio za 5G Technology alichofanywa nazan wakikumbuka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kisingizio ikawa ni madai kua kampuni lina mahusiano na Chinese Communist Party CCP...
Tiktok nae hakukawia akaingizwa kwenye blacklist ya Entity ambazo wanadai zinatishia usalama wao kiasi kwamba wakaanza kuiforce iuze biashara yake kwa soko la USA...
Ogopa kitu kinaitwa "Rumours" zinaenea kama moto wa petrol, nakuzikanusha sasa ndo shughul.
Kuna kiumbe mmoja aliwahi sema, Ukimiliki Food Supply unaweza kucontrol watu, Ukimiliki Oil na Nishati unaweza Control Bara, ila ukimiliki fedha unacontrol dunia.
That's how tunaendeshwa kila kona na hizi punguani ambazo zimekamata nyanja nyingi kwenye ulimwengu.
Ushawah kujiuliza why most of billionaires ndani ya US hawana asili ya hapo Marekani...
Mfano
Elon Musk wazazi wake ni mmoja kutoka South Africa na mwingine Canada ila sasa ni US citizen.
Jeff Bezo kazaliwa mexico wazaz wake wana asili ya Denmark nae sasa ni US citizen.
Sergey Brin, Co founder wa Google na 7th Richest person on the planet ni mzaliwa na ana asili ya Russia ila sa hvi ni Mmarekani... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na wengineo wengi tu na hapo hujaitaja list ya wayahudi... Kama Marc Zuckerberg wa FB, Larry Ellison wa Oracle, Larry Page huyu Co-Founder mwingine wa Google, Michael Bloomberg mwenyewe na utitiri mwingine kibao...
Unaeza kuotea kwanini?
Ndio dunia yetu lakini [emoji119]
Anasemaje mchinaView attachment 2186222 Mnamskia mchina uko [emoji849][emoji849][emoji849]
Kwani aliyepigwa ban ni yupi??Sidhani hata kama atakuelewa hapa,yeye alitaka muanze battle ya maneno ili aanze kutiririka ile lugha aliyozoea iliyojaa kejeli na maneno ya kuudhi.
[emoji23][emoji23]tumemsikia ila wajinga ndio waliwao yaani taiwani inamwona ukraine inanaswa makofi ya kichwa ...alafu bado wana kaza kende .....ila binadamu ni tuna roho ngumu asee..View attachment 2186222 Mnamskia mchina uko [emoji849][emoji849][emoji849]
Kushindwa kutofautisha kati ya 'kumkadilia' na 'kumkadiria' ni jambo linalonifanya nione tatizo linapoanzia ukashindwa kutofautisha kati ya 'literal' na 'figurative'[emoji23][emoji23][emoji23] tatzo la pro[emoji635][emoji635] ni kuwa mnapenda sana kumkadilia mtu . Mara utasikia [emoji1255][emoji1255] anapigwa na [emoji635][emoji635] ndani ya saa 24 biashara inakuwa imeisha [emoji23][emoji23][emoji23].
Sasa hivi mmeanza oohhh taiwan hawezi shinda hata 0% kwa China [emoji23][emoji23][emoji23].
Nakukumbusha tu . Dunia hii nchi ikishakuwa na jeshi tu. Usi pende kuikadilia . tujifunze kwa vita inayoendelea [emoji1255][emoji1255][emoji1255].
πππ mmepoteana .....!!!!.Huyo ni mwanetu soma vizuri hiyo tweet utamwelewa tu irudie kuisoma ....
Kuna watu ma pro west wanajifanya wana hekima humu kumbe kwq kichwani hamna kitu ...ni mashabiki tu ......namaanisha kuwa hawana hoja zenye maana ...hoja nzito ambayo hata pro russia tukisoma tunatafakari namna ya kujibu hekima zilizo mbele yako ........lakini kinyume chake ...pro west wana majibu mepesi sana ......[emoji22][emoji22][emoji53][emoji53]Sema sijui upewe elimu.
Poa nli reply kimakosa kuna Mmarekani wq Mbagala kwa nyoka ndio nilimlenga, [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Huyo ni mwanetu soma vizuri hiyo tweet utamwelewa tu irudie kuisoma ....
WatabishaHuyo hapo superpower wenu wa dunia anailaumu Urusi kwa kuyafanya maisha ya wamarekani kuwa magumu.
Alafu kuna dada mmoja ana itwa Nyamizi kutoka nchi ambayo raia wake wanaishi chini ya $moja ana kwambia Urusi ni nchi maskini na Marekani ni kila kitu ndani ya dunia.View attachment 2185954
Ishiiii..[emoji23][emoji23][emoji23]...huna hoja kaa kushoto kaka[emoji23][emoji23][emoji23] uzuri akili yenu pro[emoji635][emoji635] wa humu naijua [emoji23][emoji23][emoji23]. Nakupa siku 2 ntakuja kukukumbusha [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Nakuomba uelewe ndugu,nimesema hivi,Kuna vitu sisi hatuvijui na hata Warusi wengi Hawa ijui wanavijua wachache TU Rais na watu wake wa usalama..Yani kitu wasikujuwe Warusi wenyewe ila ukijuwe wewe mmatumbiwa wa Nyamisati?
Mbona Wabongo mna vituko sana?ππ
hata kwa πΊπ¦πΊπ¦ mlisema hivi . lakini wote tunajioneaππππKushindwa kutofautisha kati ya 'kumkadilia' na 'kumkadiria' ni jambo linalonifanya nione tatizo linapoanzia ukashindwa kutofautisha kati ya 'literal' na 'figurative'
Taiwan hawana hata 0% ya kushinda kwa china. Figuratively or literally.
Mtu akikuambia nipe dk 0 ntakuwa hapo we unahisi kweli atafika ndani ya dk 0.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kumbe huyu jamaa ni ticha ...[emoji51][emoji51][emoji51][emoji32][emoji32]...wantuharibia watoto kama ni ticha kweli...Sawa ticha tuko pamoja. Tulelee watoto wetu vzr huko
Mkuu huyu tunamuongelea ni member tofauti yuko hapa hapa,lugha yake inatufanya tumkwepe,hatupendi mtu anaeporomosha matusi non stop.Kwani aliyepigwa ban ni yupi??
Samahani mkuu nlikujibu kimakosa kuna yule Mmarekani wa Bonyokwa ndio nlimkusudia@green rajab hiyo post nahisi itakuwa hujaielewa...
Irudie kuisoma vizuri umuelewe aliyeileta kalenga wapi... Post yenyewe iliyopo kwenye link ni hii View attachment 2186322
Usipotoshe bana watu wenye akili zetu tumemuelewa.kutana na proπ·πΊπ·πΊπ·πΊ asiyeamini vyombo vya taarifa kutoka west . ila anaamini CIA ni chombo kinachokusanya data na chenye uhakika.ππππ