The same us na nato without NUKE's hawana kitu ........ndo maana wanapiga kelele IRANI .....korea kask.....isiwe nazo .....na hawawezi kuzivamia kama walivofanya libya ...iraq ....afghanistan.......NUKES ndo nguvu zenyewe yaani unakuwa umeji EXTRA ....ndo maana unaona waoga waoga hqo us na nato ....mbuzi waleRussia bila nyuklia ni sawa na samaki nje ya maji, lazima akate pumzi.
Sasa Russia atumia US air space akiwa anapeleka abiria wapi?Mbona kiramani haiwezekani!Russian civilian aircraft in US airspace could be intercepted, US aviation authorities said.
Crews will be detained.
Earlier, the United States imposed a ban on the use of its airspace by Russian aviation.
Ukraine inapiga military targets , dhaifu mrusi anapiga makazi ya raia. Putin ni war criminal bila shaka ,huyu lazima atawaishwa ,The Hague sooner or later.Yaa ndo hivo mnalipia gharama za hiyo meli moja kwa mji mzima Msianze kulia lia sasa tulieni hivo hivo .....maana mmeya tafuta wenyewe .....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uligeuzwa vyuma chakavu,sasa hivi na Jimeli lao limepelekwa chini baharini yakawe makao ya samakihii vita ilikua na mambo sn, mnakumbuka ule msafara wa urusi wa vifaru na silaha zngine wa kilomita 64 kuelekea kiev?
Kwenye jeshi la ardhi kunakuwa na command vehicle. Ni kifaru au armoured infantry vehicle au armoured personnel carrier ila yenyewe ukitaka kuitambua kirahisi inakuwa na antenna nyingi na aerials kuliko magari mengine kama yenyewe. Hiyo inakuwa na kamanda ikiongoza magari mengine na wanajeshi.Flagship maana yake Nini? Tuanzie hapa Kwanza....maana wengi humu hatuelewi maana yake...
Afadhali umemkata pumzi shenzi huyo .....shule zimefungwa asa wamerukia humuKama Marekani alivyo kata pumzi kwa Japan aka kimbilia kutumia akatumia nyukilia kwa hiyo hakuna cha ajabu hapo.
Yule wa hot news mwanzoni nilivumilia lakini mwisho nilichoka unakuta mtu anapost comment 50 non stop,unaanza kuhangaika kutafuta comments za watu,ikabidi nimute comment zake.Wanajazaa ujinga pamoja na yule wa hot news
teh teh mbona nakuona. halafu leo nataka niwafungulie wote kwa heshima ya ijumaa kuu. nataka kumuona nyamizi.Mkuu mbona mie sio pro nato na nipo kwenye list rekebisha mkuu
Ooh, ookey.Wanafanya re-allocation ya bajeti kwenye mambo mengine na bajeti yenyewe sio kubwa sana. Kufanya maintenance ya meli kubwa ni gharama hata Marekani last month iliona iachane na baadhi ya Litoral Combat Ships ambazo zipo jumla 35 ifanye mambo mengine. Urusi wana tabia ya kuchukulia vitu juu juu ndio maana nuclear submarine kubwa kuwahi kupata ajari ni Kursk ilizama 2001, nuclear disaster ilitokea Soviet Union, miajali ya ovyo jeshini ni wao utasikia ammunition depot imeungua. Marekani ikitokea depot imeharibika kwa uzembe kuna kesi nyingi zinafunguliwa tofauti na Russia ambao wanalindana na hawana accountability nzuri.
Russia waliiuzia India aircraft carrier ya Vikramaditya wako wanateseka nayo. Kwanza wakati inatolewa Russia kwenda kuuzwa iliharibika boirels kabla hata Wahindi hawajaipokea. Baadae boirels zote nane zikaundwa mpya ila nazo mateso. Wakati waliojenga Sevmash ni shipyard kubwa ya ujenzi wa meli za kivita Urusi.
Nyie mnachekesha kwani russia aliwaambia anaenda kupiga NUKE's pale kama alivofanya marekani kule hiroshima ili vita iishe mapema ...[emoji15][emoji15]Leo hakuna kazi tunapumzika na shughuli za kulijenga taifa. Ni kutulia na kinywaji na kufuatilia OP part 2 ya Urusi. Kuna mtu alinieleza juzi humu kuwa tutakula pasaka OP ya Urusi ikiwa haijatimiza malengo. Nyamizi
I feel you,tulisema hapa huko nyuma na wengi wenu hamkukubali,sasa kiko wapi.Kama hii habari inaukweli PUT IN nawanaomshauri watakua WAPUUZI kweli kweli
Hawana misimamo inayoeleweka PUMBAVU zao
Cjui hata nahao wengne kama wanatoa hio RUBO[emoji48][emoji48][emoji48]
Kwani hii ilikuwaje mkuu hii taarifa nimeiona ila sijailewa .....alafu pro nato hawaiongelei kabisa wao wamekaza na moskav ya urusi..Vip kuhusu hii.View attachment 2187961
Ati amesema by FORCE hahaaaaaaa US haiwezi ingia vitani now. Huwezi ingia vitani wakati kuna viashiria vya three -four archenemies kukufight. Wacha tuone.The Joe Biden administration will take all possible measures to prevent "Taiwan's reunification with mainland China" by force, National Security Adviser Jake Sullivan said.
“Our public policy is that we will take all possible measures to ensure that this never happens,” he said.
Galip SV View attachment 2187494
Habari za asubuhi bibingi? Hapana Russia hakusema atapiga NUKE's na member wa JF Nyamizi alisema tutakula pasaka Urusi ikiendelea na Op. Sasa ni nn hapo kinachololeta hicho kichekesho?Nyie mnachekesha kwani russia aliwaambia anaenda kupiga NUKE's pale kama alivofanya marekani kule hiroshima ili vita iishe mapema ...[emoji15][emoji15]
Mkuu mpe mji tuu huyo najua hawezi kukujibuSwala si nimeshwahi kuiona wala kutoiona.
Fedha ya Japan tunajua value yake ni kubwa dhidi ya Tsh.japo siijui/hatuijui halikadhalika ya UAE,China,U.K,Canada n.k
Swali hao WEST hawalipi kwa ruble hayo mafuta na gas ya Russia,sawa. Je,inakuwaje Ruble inapanda thamani?
Jibu swali hilo tu.
Kitako cha bunduki hiko hahaaaaaHuyo jamaa sijui na wala sizani kama ataachwa hivi hivi as POW... Alikuwa na maneno ya kejeli Twitter kabla hajajisalimisha. View attachment 2187519 Hapo ukimtazama usoni ni kama kachezea kichapo hivi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama hii habari inaukweli PUT IN nawanaomshauri watakua WAPUUZI kweli kweli
Hawana misimamo inayoeleweka PUMBAVU zao
Cjui hata nahao wengne kama wanatoa hio RUBO[emoji48][emoji48][emoji48]
Kwahio mlitaka tuwaamini ninyi kuliko RUSSIA yenyewe...!!I feel you,tulisema hapa huko nyuma na wengi wenu hamkukubali,sasa kiko wapi.
Sasa kama mmejificha kwenye makazi ya raia mnategemea Nini?Ukraine inapiga military targets , dhaifu mrusi anapiga makazi ya raia. Putin ni war criminal bila shaka ,huyu lazima atawaishwa ,The Hague sooner or later.