Okey mkuu.Ukiachana na hilo la kuingilia watafanywaje hayo mengine nahisi hatuwezi kuyafikia hitimisho
Kwasababu bado yanaendelea ila ukiangalia kwakiasi fulani hili la demilitarize limefanikiwa pakubwa sana nadhani ukimfatilia KOMEDIAN unaweza ukanielewa ama ukaelewa
Mimi nilichomujibu muuliza swali ni jinsi gani vikwazo vinafanya kazi, wewe umekurupuka ulipotoka na swali la kipumbavu kwa sababu ya mahaba yako kwa Putin nami nimekujibu kipumbavu kadri ulivyouliza.Mwnzo nlijua wewe ni mtu mstaarabu unyeweza kutoa hoja na kujibu hoja kma mtu mzima. Kumbe nilikosea. Mara nyingi nimekuwa nikikuuliza maswali kuhusu taarifa zako na uchambuzi wako lkn aiza haujibu au unajibu vibaya (lugha mbaya) kitu kinachonionesha kuwa taarifa zako na uchambuzi wako ni wa uongo/uzushi ndio maana huwezi kuutetea.
Anyway umeshinda mkuu
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwahiyo mmeacha kumdharau Zelensky mliyekuwa mnamuita Joti?Unataka Urusi waiteke Ukraine hata kama wenyewe hawana malengo ya kuiteka Ukraine!?
Lets be objective here!
Unafikiri lengo la Urusi lilikuwa kuiteka Ukraine, ok fine. Hebu tuambie projection yako inakuambia what would be next kama ukraine 'ingetekwa'!?
Yaani With all the facts on the table ingekuwa wewe ndio Putin 'ungeiteka' Ukraine kwa dhumuni lipi. Ni dhumuni lipi ambalo unahisi litafikiwa tu kwa kuiteka ukraine!
Kama kiongozi wa nchi unafkiri ni sahihi kuchimba shimo kubwa ili ufukie shimo dogo!? Kuiteka nchi ni jambo moja kuitawala baada ya kuiteka je!?
Putin kamshindwa Zelensky kivipi!? Au ilitakiwa mpaka amkamate amuue/amnyonge km alivyouliwa Saddam ndio tuseme hajamshindwa!? Jaribu kuwa specific utusaidie. Yaani huko kumshindwa wewe umekupimapimaje!?
Mimi kwa upande wangu ninaweza kusema Putin hajamshindwa Zelensky. Ukiniuliza km nilivyokuuliza nitakujibu pia ni vigezo gani nimetumia na ushahidi nitakuwekea ila mpk uniulize.
Karibu
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hiki ndicho kile kizazi ukiingia FB kwenye 'About'... Utakuta hivi...nimebishana nao sana kule, atleast mkuu umenifungua kuwa ni watu wa aina gani nilikua najaribu kuwaelesha juu ya hii vita......
The complex is designed to jam short-wave radio communication lines at a range of up to 5 thousand kilometers, which blinds enemy command posts. Murmansk can also conduct radio reconnaissance and intercept enemy signals.
Hahah Kule Ni lile kundi la raibow ndio wamejaa kwny ule uzi,usipoteze nao Muda.nimebishana nao sana kule, atleast mkuu umenifungua kuwa ni watu wa aina gani nilikua najaribu kuwaelesha juu ya hii vita......
[emoji1][emoji1][emoji1] aisee.Vladimir kwa kupenda kiki hajambo,Judo,Newyork marathon, horseriding. Ila "adventure" ya Ukraine mtu mzima ameanguka flat on face .
[emoji1][emoji1] wazungu wamerudishwa kwny enzi za ujima.The German Economy Minister called on citizens to save electricity and gave several recommendations.
Robert Habek advised the Germans to save on space heating and use cars less, giving preference to bicycles and trains.
“I ask everyone to contribute to energy conservation now. We can become more independent of Russian imports only if we see this as a big joint project,” he said in an interview with the Funke media group.
Focus magazine previously advised Germans to drink tap water, shop locally and keep an eye out for discounts in order to survive the price increase.
Galip S-22 View attachment 2188435
Kabisa MKUU hizo media kupitia huu mgogoro zimedharaulika sanaaWest kwny propaganda wame-invest heavily,Ila kitu kimoja nilichokipenda khs hii Vita mainstream media zote/sijui hizo CNN,BNC,SKYNEWS etc/Twitter/FB/YouTube etc watu wameshazijua Ni propaganda machines na baada ya hii Vita vinaenda kupoteza mashabiki Sana.
Wazungu walitumia akili Sana kwny propaganda,fikiria mtanzania wa kawaida anaesikilia Radio Free Africa(RFA):
Ile ameamka tu saa 6:00 asubuhi anasikiliza DW Swahili/BBC idhaa ya kiswahili.
Mchana saa 1:00 kamili mpk -2:00 kamili anasikiliza DW Swahili.
Jioni saa 6:00 anaanza kusikiliza Dw Swahili mpk saa 6:30 jioni ,then from hiohio saa 6:30-Mpk saa 7:30 usiku anasikiliza BBC Swahili na from hio 7:30-8:00 usiku anaunganishwa na VOA(Voice of America) ya kiswahili (ya wale watangazaji wakina Vincent makori) after hapo saa 9:00-9:30 usiku anaangalia wakina Salim kikeke kwny BBC Swahili (kupitia Star tv).
Siku nzima mtu anashinda anamezeshwa uongo wa wazungu, kiukweli tulichelewa Sana kuwafahamu wazungu lkn hizi propaganda zao kwa generation ya Sasa hivi zinaenda zinakufa/kufifia maana watu kwa sasa wana njia nyingi za kupata habari from independently sources.
Kumbuka wale Ni member wale lile kundi la raibow,kwa hio ndivyo wanavyowasilisha ujumbe wao hivyo.Wajitahidi kuandika kwa ufasaha . Hata kama ni propaganda inaweza hata ikatumika kwenye news room . Sio emoji na ushabiki wa kwenye kanga kama uswahilini means kusutana.
.Kwa mujibu wa Putin mwenyewe kwa mdomo wake malengo yalikuwa mtatu kam sio manne. Refer hotuba yake akitangaza kuanzisha operesheni y kijeshi Ukraine.
1. Demilitarize ukr
2. Denazify ukr
3. Russian speaking Ukrainians kwenye eneo la donbass
Kushindwa ni kupi mpaka sasa kama malengo yalikuwa hayo.
Watu (Pronato) hawataki kuanalyze achievement za urusi kwa kuzingatia malengo hayo bali wao wanasema lengo ilikuwa kuiteka ukr. Sijui wamepata wapi lengo hilo ukiwauliza hawakupi majibu makini. Kwa sababu hawana majibu. Na hawana majibu kwa sababu hilo sio lengo.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Shukrani, twende sawaOkey boss, ngoja niweke alichosema.
“We will seek to demilitarise and denazify Ukraine, as well as bring to trial those who perpetrated numerous bloody crimes against civilians, including against citizens of the Russian Federation,”
"I have a few words for those who could feel tempted to interfere with ongoing developments: whoever tries to impede us, let alone create threats for our country and its people must know that the Russian response will be immediate and lead to the consequences you have never seen in history,"
Hichi ndicho anachokifanya Urusi pale Ukraine. Sasa kama ni kumpima tunampima kwa haya matamshi yake na si mbwembwe nyingine zozote zinazopostiwa humu wala kejeli.
Sasa cha kujiuliza ni:
Puttin tayari kaweza kuidemilitarize na kuidenazify Ukraine na kuna aliyepelekwa kwa trial kama alivyotamka? Kama bado ni kwanini? Kama tayari kwanini bado OP inaendelea?
Swali la pili ni kweli hakuna walioingilia Operation yake na je kama wapo walioingilia amefanya kama alivyoahidi atafanya kwa yoyote atakayeingilia? Kama hajaingiliwa Ukraine inastahili pongezi kumzuia mpaka sasa?
Haya mambo mengine yooooooote ni changamsha kijiwe tu na kugombana kusiko na maana yoyote kati ya wanaosapoti na wasiosapoti.
Russia sio nchi yenye kupenda ugomvi. Ndio sababu ukiangalia jeshi lake limekaa kujilinda zaidi. Ugomvi wake mkubwa ni kwanchi majirani zake kutaka kumkaribisha adui yake mkubwa. Marekani. Wamkaribishe karibu na mipaka yake.Tuachane na Urusi na USA sijui u NATO twende katika wanachotenda field.
Urusi anaziheshimu nchi mwanachama wa NATO au nchi yenye uwezo mkubwa kivita na humuoni akizishambulia badala yake inaishambulia Ukraine sababu anajua haina uwezo mkubwa wa kudhuru raia wa Urusi ndani ya Urusi.
USA na NATO wanaiheshimu Urusi na hawajathubutu kuishambulia Urusi moja kwa moja ingawa wanampa silaha Ukraine ili kumpa uhai na uwezo wa kuendeleza mapigano huku Urusi akijua hilo na bado hapeleki mashambulizi kule kwenye kisababishi kikuu yeye anaendelea kuipiga Ukraine.
Sasa hii tafsiri yake ni kwamba hawa wawili Urusi na USA ni giants katika vita na ni bullies kwa nchi ndogo zisizo na uwezo wa kivita na wanashambulia nchi zenye uwezo mdogo kivita sababu raia wao watabaki kuwa salama nchini kwao wakati vita ikiendelea.
Hili ndilo ninalolipinga mimi. Kuwa bully kwa nchi zenye uwezo mdogo kwa sababu hazina uwezo wa kutuma bomu lenye madhara nchini kwako.
Huwa nina swali nauliza, China ingepata raisi wakafikiria kuungana na Ulaya kijeshi na USA je Urusi angeivamia? Au angetaka diplomacy itumike?
Yes yes umenena vyema na maswali ulouliza mazuri hayajakaa kiushabiki kama asili ya uzi ulivo.Okey boss, ngoja niweke alichosema.
“We will seek to demilitarise and denazify Ukraine, as well as bring to trial those who perpetrated numerous bloody crimes against civilians, including against citizens of the Russian Federation,”
"I have a few words for those who could feel tempted to interfere with ongoing developments: whoever tries to impede us, let alone create threats for our country and its people must know that the Russian response will be immediate and lead to the consequences you have never seen in history,"
Hichi ndicho anachokifanya Urusi pale Ukraine. Sasa kama ni kumpima tunampima kwa haya matamshi yake na si mbwembwe nyingine zozote zinazopostiwa humu wala kejeli.
Sasa cha kujiuliza ni:
Puttin tayari kaweza kuidemilitarize na kuidenazify Ukraine na kuna aliyepelekwa kwa trial kama alivyotamka? Kama bado ni kwanini? Kama tayari kwanini bado OP inaendelea?
Swali la pili ni kweli hakuna walioingilia Operation yake na je kama wapo walioingilia amefanya kama alivyoahidi atafanya kwa yoyote atakayeingilia? Kama hajaingiliwa Ukraine inastahili pongezi kumzuia mpaka sasa?
Haya mambo mengine yooooooote ni changamsha kijiwe tu na kugombana kusiko na maana yoyote kati ya wanaosapoti na wasiosapoti.