Don't expect them to join Nato in less than 1yr period, tena jua nato can't risk kukaribisha nchi yenye hatari ya vita ata siku moja, hizo habari za kujiunga na Nato ni za media kumtest Public opinion ila sio leo au kesho, putin ni kichaa ata watandika tu,Do you believe Russia can fight two fronts?
In theory Sweden has much power than Ukraine...
Una maswali mazuri sana yanayomfungua mtu na kujua kuwa hili suala lina historia ndefu na kuna mambo yamejificha tangu huko miaka ya nyuma.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikiwa nasoma maelezo yako moyoni najisemea "The guy gotta pure and humble soul ila unfortunately the world is not in line as the way you look at it..."
Sitaki kukuonesha nani yuko sawa nani hayuko sawa... I don't want claim be for you kua my perspective is TRUTH, ila ngoja nikuongezee maswali mbadala ili uendelee kujiuliza why hiki why kile.
2014 kulipitishwa azimio wanaliita pale MINSK ila miaka 8 hilo azimio halikutekelezwa na hawa Ukraine? Ushajiuliza kwanini?
Kile kilichokuwa kinaendelea hapo Donbas dhidi ya raia wa Ukraine wenye ethnity ya Russia kimefichwa hakizungumzwi na hakikupewa nafasi kabisa na hizi media pa1 na hawa viongozi w magharibi... Unaeza kujiuliza Kwanini?
All EU leaders walikuwa wana chance ya kuisadia Ukraine miaka 8 iliyopita kwa kuwashinikiza Ukraine Regime kufata na kutekeleza adhimio la Minsk. Ila walifumba macho kabisa na leo hii wapo msitari wa mbele kutuma silaha na fedha Ukraine... Unaeza kutupa sababu?
Unaeza kujiuliza kwanini western wanafanya censorship ya taarifa, na wako so aggressive na kila chombo ama individuals anayejarib kuelezea perspective tofauti na yao kwenye huu mgogoro?
Kuhusu NATO, why NATO?? Hizi nchi zinaungana kujilinda na nani? What if the whole world join NATO. Then nini kitafata? Na kwanini expansion ya NATO iwe toward Russia? Kwani Brazil, Venezuela, Mexico, Panama, Argentina wasisogezwe kujiunga NATO iwe lazima kwa hizo nchi zinazozunguka Russia?
Je, una habari ka Russia, alishawah kutaka kujiunga NATO? It sound ka haiwezekani sio? Its true, katika term ya kwanza ya Urais huyu V. Putin, alipeleka Ombi la kujiunga NATO ila wakamtolea nje na kumpuuza. Je kwa hapa em jiulize kama lengo la NATO ni ulinzi kwanini against others, kwanini walimpuuza huyu huyu ambae kwa sasa wanadai wanaungana kujilinda dhidi yake?
Toka Mgogoro uanze, na kabla ya mgogoro kuanza, ni kua Russia hataki Silaha za US kibarazani kwake, ukumbuke US ndani ya NATO ana jeshi lake kwenye kila nchi. kama US aliamua kupigana na CUBA kisa Russia kuweka silaha zake pale ye kwanini atake kuweka Silaha zake jiran n border za Russia kwa mgongo w Ukraine ajiunge na NATO?
Comment itakuwa ndefu ngoja nikomee hapa.
Jarib tu kulitizama tu hili swala katika different angle utapata different observations na utaweza pata kwa utashi wako kuona nani yuko sawa na nani hayupo sawa.
Hapa umeongea umethibitisha tu tu kuwa binadamu na sisi tu wanyama kama fisi, mbwa na ngiri.Ki ulinzi hakuna nchi duniani anatamani jirani awe na nguvu sawa au kumzidi. Itakuwa uwendawazimu kumruhusu jirani unayemmudu akuletee adui mlangoni.
Hii ndio sababu Israeli inapambana kwakila njia nchi jrani yake asiwe na nguvu.
Marekani inapambana kwakutumia UN kuwazuia wengine kuwa na nguvu kama zake au kumkaribia. Yupo tayari aingie gharama kukulinda ili usiwe na nguvu
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Nimeshampiga ban,Simu ni ya kwake bando ni la kwake muda ni wa kwake sasa ww unaumia nn ?
Ww kama hutaki kusoma post zake mpige ban uache kuona post zake ila sio kumpangia.
Mkuu ulicho ni jibu ni tofauti kabisa na tulicho kuwa tuna jadiri.Urusi sio kitu cha ajabu kuiteka Ukraine, cha ajabu ni Urusi kushindwa kuiteka. Ukisoma comments zangu za mwanzo uzi huu sikuwa natarajia Urusi akae muda wote huu akiwa hana gains za maana.
Operation imefanyika as if Ukraine ni Al Shabaab kwamba unaleta vifaru unajipigia tu. Watu wana hasira 2014 walichukuliwa Crimea wakaamua isiwe ugomvi watapigwa wakajisalimisha, mara kidogo Donetsk na Luhansk zikachukuliwa kwa false allegations. Leo hii Kremlin na FSB yao eti wakashindwa kujua jinsi Ukraine ilivyofika hatua ya kujikataa itapigana vikali. Wakategemea mserereko wa "neo-nazis" na raia ambao ni friendly kwa Russia, mambo yakaja sio.
Huu uzi ulianza pro-Russians wanamuita Zelenskiy eti Joti hawezi kumkabili Putin ex-spy. Sasa umemshindwa Joti kwa muda wote huu utamuwezaje Nape au Lissu. Yani Zelensky mchekeshaji na unyonge wa Ukraine anafanya hivi je itakuwaje kwa Andrzej Duda wa Poland ambaye ni mwanasheria. Itakuwaje kwa Sauli Niinisto wa Finland na nchi zote hizo zina capabilities kubwa kuliko Ukraine
Mbona tuliambiwa vikwazo vitapelekea urusi kusanda ndani ya wiki,alafu tuliambiwa wameishiwa makombora, sasa Sisi Ukraine hatuelewi tushike lipi?
[emoji1][emoji1] WMD zilizopatikana huko Iraq ,[emoji1][emoji1][emoji1] tulichelewa Sana kuwafahamu Hawa washenzi.[emoji1787] Sana tena sana... Na sio kabla tu ya hii OP. Toka nyuma huko watu ila kwa wafatiliaji tu wanajua Media are lying, wanajua Western ni Empire of lies.
Wanafaham vizuri tu. Kuna kundi flan hivi nipo limejaa aina flan hv ya watu wanajiita "Patriots"... Hawa ndio huwa wanafunguka madudu ya nchi zao unayajua na kuelewa kiundani...
Mfano issue ka hii ya US uko Iraqi huezi kutwa imewekwa kwenye MS Medias yoyote View attachment 2188469
Hivi mashoga wa Marekani wanatumia mbinu gani kuuharibu ufahamu wenu kiasi hicho!!?Nchi nyingi duniani zina majirani yanayozidi nguvu. Botswana yenye watu 2.5 ifanye nini ikiwa jirani ya Afrika Kusini yenye milioni 60? Benin yenye milioni 11 ikiwa jirani ya Nigeria yenye milioni 211??
Tunachohitaji ni utaratibu unaokubalika kote ukiheshimu haki ya kila taifa. Utaratibu huu upo katika mapatano ya Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika.
Uko pamoja na mashariti kutumia kwanza kila uwezekano wa kuondoa matatizo kwa njia ya majadiliano na mbinu zisizo za mabavu.
Inawezekana ila ujue zikipigwa itakuwa ni vita kamili siyo OP tena kama Ukraine.Do you believe Russia can fight two fronts?
In theory Sweden has much power than Ukraine...
Mkuu na ww punguza mihemko Urusi ana umuhimu mkubwa kwenye maisha yako ya kila siku.Mimi Kuna vitu nimewapuuzia sana Pro Russia, yaani Kuna vitu wakisema unaweza ukazani Russia ana humuimu wa aina yake Duniani.. mfano ni trade Kati ya India na Russia yaani hata kabla ya Vita ukiangalia mataifa yanayofanya trade na India, Russia haipo hata top 20, ukija Africa ukitafuta mashirika ya Ndege ya yanayotumia Ndege zinazoundwa Russia utatafuta kwa tochi, Sasa uje kwenye magari, labda lugalo tu ndio utayakuta...
Russia anapewa humuimu usio wa lazima
Una uhakika unauweza mchezo wa maneno machafu!?Hembe rudia kusoma hapa uniambe ni wapi nimesema India amemuuzia au atamuuzia Russia teknolojia yenye mkono wa Marekani
Mimi nilichomujibu muuliza swali ni jinsi gani vikwazo vinafanya kazi, wewe umekurupuka ulipotoka na swali la kipumbavu kwa sababu ya mahaba yako kwa Putin nami nimekujibu kipumbavu kadri ulivyouliza.Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?
Hata me namkubali Sana huyu NYUNDO YA MOTO Ingependeza pro nato wangekuwa na aina hiyo ya news. Very brief na inaeleweka. Badala yake wamejaza vi emoji tuwww.jamiiforums.com
Ila mkuu siku Marekani ikija kuingia vitani na nchi yenye uwezo wa kushambulia hizo meli utakuja kukubaliana na maoni yangu.Hivi ndio ule uzi tulikuwa tunabishana hasa submarines za Russia na Marekani.
Meli za navies zenye umakini kama Japan, UK, Sweden, South Korea na US huwa haziendi blindly kiholela. Hii Moskva haikuwa na effective fire control radar, kuwa na radar ni kitu kingine na kuwa na fire control ni kingine. Unaweza kuona kombora hilo hapo kwa radar ila ukashindwa kulizuia kwa kuwa fire control capabilities zako ziko chini.
Hiyo Moskva pale si ina close in weapons systems (CIWS) i think itakuwa ni Kasthan, ila hazijatumika. Marekani wana Phalanx CIWS kwa ajili ya terminal phase ya missile, wana SeaRAM kabla missile haijaingia sea skimming, wana electronic countermeasures za kupoteza missile kabla haijalock-on ikiwa mbali. Wakiwa na aircraft carrier wana dedicated A2D- Advanced Hawkeye kwa ajili ya kukagua anga mbali zaidi na carrier group. Yani full package mpaka uje kuipata hiyo meli kwa anti ship missile sio kazi ndogo hivyo ila its possible.
Sio mambo ya Russia meli inapigwa na Neptune missile ambazo bahati nzuri Ukraine walizizindua last year. Sasa ukileta Harpoon, Exocet au LRASM ambayo extraordinary. Urusi wenyewe na India wana BrahMos ziko vizuri
Umenikumbusha hiiKabisa MKUU hapo Galip S-22 alinena sanaa
Kuhusiana na propaganda jamaa washafail hiki kizazi sio kama hivyo vilivyopita
Kizazi hiki wakiharibu kwalaana nyengine sio propaganda
Kama uliliona hili saga la mauaji ya BUCHA kule kwenye media zao kila wakiweka post watu wanakuja na fact IRAQ mlivamia kwauongo kama huo mara CONGO wanakufa zaidi ya hao hamsemi wengine wanaenda mbali zaidi wanasema kama kufa acha wafe hata wapi walikufa wanakufa hamsemi
Nahisi baad yamajamaa kuona kwenye angle ya propaganda wanafail wameamua kuwaramba BAN watu wanaokua against na PROPAGANDA zao huko kwenye social zao refer twita nk
Dunia lazima iwe na wababe zaidi ya mmoja ili ukiona US anakuzingua unamkimbilia UCHINA maana US hatakua nalakukufanya ama kuwafanya nawao ukiona huwaelewi unaenda kwa RUSSIA nae akiwa haeleweki unaelekea INDIA akizingua unaenda BRAZIL
Hii VITA watu wanakufa ila inafaida sana namabadiliko yaulimwengu kutoka kwenye ule mfumo wamtu mmoja mmoja kuelekea mfumo wa watu wengi wenye mamuzi ambayo watu watawakimbilia kwasera zao nasio ubabe wao kama wanavyofanya sasa US na WEST watu wanawaekea kabisa masharti siwapi misaada mpaka mukubali homosex si niupuuzi huuuu!!!??
Sijui habari zako unapata wapi?Russia sio nchi yenye kupenda ugomvi. Ndio sababu ukiangalia jeshi lake limekaa kujilinda zaidi. Ugomvi wake mkubwa ni kwanchi majirani zake kutaka kumkaribisha adui yake mkubwa. Marekani. Wamkaribishe karibu na mipaka yake.
Marekani anajulikana kwa unafiki,uchokozi na kutothamini wenzake. Akiwa karibu atalazimisha Russia muda mwingi awe vitani. Na kwakuwa ye Marekani atakuwa mbali,miji yake haitaathirika.
Hicho ndicho asichokitaka Russia. Ndio maana hamlazimishi yeyote kuwa upande wake. Na hataki jirani yake amkaribishe adui yake mlangoni kwake. Ndio sababu alimtaka Ukraine awe taifa lisilofungamana na upande wowote. Lakini raisi wa Ukraine akachagua upande. Akaanza kuwakaribisha maadui kuweka maabara za kutafiti silaha za kikemikali na kibaolojia,kabla hata hajapokelewa NATO. Hivyo Russia kaamua kumzuia
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Mimi nimetaja according to Putin mwenyewe. Hauwezi kuijua sababu kuu ya Urusi kufanya inachofanya kuliko raisi wa Urusi mwenyewehuwezi kuacha kuitaja sababu kubwa ya [emoji635][emoji635][emoji635] kuivamia [emoji1255][emoji1255][emoji1255] then ukataja minor reasons. Tena hizo sababu ndogo ameanza kuziibua wakati vita ikiendelea . labda nikuulize nikwanini [emoji635][emoji635][emoji635] ametishia kuwapiga Sweden na Finland?
RTI umenena vyema visible evidence.Mkuu na ww punguza mihemko Urusi ana umuhimu mkubwa kwenye maisha yako ya kila siku.
Na ushahidi tosha ni namna ya maisha yalivyo panda na kuwa magumu duniani kote baada ya Urusi kuingia vitani.
Ww hapo ulipo na nchi yako mnalindwa na silaha za kirusi maana asilimia 90 ya silaha zinazo kulinda wewe na taifa lako zinatoka nchini Urusi.
Ngano asilimia 56 inayo tumika nchi kwako inatoka ndani ya Urusi.
Mbolea inayo tumika ndani ya nchi yako kwa kiasi kikubwa inatoka Urusi.
Na mengine mengi kwa hiyo usiibeze.
Uzuri mm mchezo wa maneno ya kuboa nimefuzu. Na atayekuja na ajeKila swali unalotoa najarib kuzungukia kila reply nione ka nitakutana na majibu yake ila waaaapi. Nahisi kitakachofata utaanza kuulizwa na wewe like "unajua "kingereza" weye[emoji848]