Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Nahisi mara roketi kutoka Uingereza zinafika, tutaona manowari nyingine kufuata, sivyo? Ni kweli, roketi ya Neptune ya Ukraine ilibuniwa kwa manowari ndogo zaidi. Inaonekana walikuwa na bahati kugonga roketi iliyokuwa tayari stahani na mlipuko wake uliongeza nguvu..Fanya kujaribu kutoa scenario ambapo flagship ya USN flagship itapigwa na kombora la kizembe kama Neptune ambalo Warusi wenyewe walisisitiza haliwezi fanya lolote
Kama huna jibu, tulia tu!
Hahaha ila hizi kenge hizi.. eti vita sio sanaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unajua maana ya sanaa? (Art) kasome kitabu cha sanaa ya vita (art of war) itajifinza mengi. Ndio maana tunawaita *****.. sababu akili kichwani hamna.. hapo unabishana kwa experience ya movies za Tom Cruise na Arnold Schwarzenegger. StupidVita sio sanaa, vita ni uharibifu na mauaji. Hakuna kingine cha zaidi ya hayo.
Putin will never invade Finland?Kama idea ya kujiunga na NATO ni kitisho kwa nini ujiunge wakati unajua hutaruhusiwa kujiunga na ukilazimisha unageuzwa majivu.
Unafikir wazo la Ukrain kujiunga NATO limewasaidia au limewadidimiza?
Je Finland na Sweden wafuate njia ya Ukrain, unafikiri ni busara?
Je kujiunga NATO ni mawazo ya wananchi au viongozi, kama ni mawazo ya viongozi je Ulaya kuna demokrasia ?
🤣 🤣 🤣 🤣Russia sio nchi yenye kupenda ugomvi. Ndio sababu ukiangalia jeshi lake limekaa kujilinda zaidi. Ugomvi wake mkubwa ni kwanchi majirani zake kutaka kumkaribisha adui yake mkubwa. Marekani. Wamkaribishe karibu na mipaka yake.
Marekani anajulikana kwa unafiki,uchokozi na kutothamini wenzake. Akiwa karibu atalazimisha Russia muda mwingi awe vitani. Na kwakuwa ye Marekani atakuwa mbali,miji yake haitaathirika.
Hicho ndicho asichokitaka Russia. Ndio maana hamlazimishi yeyote kuwa upande wake. Na hataki jirani yake amkaribishe adui yake mlangoni kwake. Ndio sababu alimtaka Ukraine awe taifa lisilofungamana na upande wowote. Lakini raisi wa Ukraine akachagua upande. Akaanza kuwakaribisha maadui kuweka maabara za kutafiti silaha za kikemikali na kibaolojia,kabla hata hajapokelewa NATO. Hivyo Russia kaamua kumzuia
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Unataka nijibu nini!?Kama huna jibu, tulia tu!
Ukute wala hana bali ilikuwa mikwala tu ili aogopwe. Yaani uwezo aliouonyesha Russia kwenye hii Operation ni wa kawaida sana, hata nchi kama South Africa angeonyesha uwezo kuliko hivi. Tactics za Russia hadi unawaza hivi hili ni lile Taifa tunalopewa Sifa zake au wengine. Imagine ile Convoy ndeeeeefu tena imesongana karibu sana yaani ni rahisi sana Kuteketezwa. Meli inazamishwa kirahisirahisi tu utadhani ni jeshi la Congo .POOR TACTICS, POOR INTELLIGENCE, POOR PLANNING & TOO LOCAL.Nahisi kufikia mpaka mwezi dec 2022 kama urusi itakuwa bado inasumbuliwa kufikia maleng yake watauwasha mji mmmoja na kile kiberiti kikuu, Shwaa!! Halafu marekani ataitisha kikao chake na UN hapo ndio vita itakua inaanza rasmi.
Putini nakushauri washa kiberiti mji mmoja adabu irudi naona kuna watu wamejisahau kuwa una kiberiti cha hatari, nawaona wengine wamo humu JF.
Busara zako Putini xinaleta dharau angekuwa USA angeshawasha shwaa!!.
Kwa hiyo ni jambo ambalo huwa analifanya pale anapohitaji.Russia imeshazivamia Finland na Poland mwaka 1939, Iliivamia Afghanistan 1979, iliivamia Chechnya na kuichukua kabisa mwaka 1999.
Kumbe Ukraine uwezo anaoIla mkuu siku Marekani ikija kuingia vitani na nchi yenye uwezo wa kushambulia hizo meli utakuja kukubaliana na maoni yangu.
Hutoamini ni jinsi ambavyo meli za Marekani zitavyo kuwa zinazimishwa hovyo.
Mtazamo wangu wa jambo aiza ni sahihi au sio sahihi unategemea. Naomba usifikiri nafanya siasa (kukimbia swali lako) ila nipe muda utanielewa.Sawa. Sasa nikuulize, ukiachana na suala la kusapoti urusi au ukraine. Wewe unazungumziaje suala la nchi moja kuivamia nchi nyingine yenye uwezo dhaifu kijeshi? Unaona ni sahihi?
Sasa nakuuliza uliwahiona wapi marekani wanapigana Vita katikati ya mapigano anasimamisha Vita anaondoa raia na kuwapa msaada wa kibinadamu???? Unaweza amevamia lakini ukweli yeye ndiyo kavunja mkataba wa mwaka 1992Eti lengo ni kuonesha yeye siyo adui .....yaani unavamia nchi ya mwingine unaua hadi watoto halafu wanaojisalimisha unawapatia uji na kamkate unasema yeye July mwema duuuuh hatar ....hiv hii ni akili ya mtz kweli???
Sasa nakuuliza uliwahiona wapi marekani wanapigana Vita katikati ya mapigano anasimamisha Vita anaondoa raia na kuwapa msaada wa kibinadamu???? Unaweza amevamia lakini ukweli yeye ndiyo kavunja mkataba wa mwaka 1992
By saying in theory you mean what!? I would urge you to be morw careful with your words.Do you believe Russia can fight two fronts?
In theory Sweden has much power than Ukraine...