Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

WW2 Wanazi hawakupigwa bure from nowhere. Walivamia nchi kuanzia Poland, France, UK, USSR na kushambulia misafara ya meli za Marekani ndio maana walipigwa. The same way na Russia alivyovamia Ukraine.

Nazi waliua Wayahudi na watu wengine kibao. Walifanya atrocities wakajenga concentration camps na machafu mengi, ila mara nyingi hawakuwa wezi kwa vile nchi yao ilikuwa inajiweza kiuchumi na haikuwa inajibrag bure kwahiyo hawakuwa washamba na vitu vya kigeni tofauti na hawa wanaoiba hata washing machines na magari.

Nazi kilikuwa chama tawala cha Ujerumani chenye jeshi, makao makuu, ofisi, wafanyakazi, maofisa na sera. Ukivamia unajua unaenda kupigana na nani na yuko wapi na una sababu za msingi nilizotaja.

Hasira za Urusi ni Nazis hao kuleta upinzani mkali kwenye war on Donbass, ndio fighters wenye spirit kubwa na wala hawako incorporated kwenye jeshi la Ukraine na hawapandishwi vyeo wala maslahi kama wanajeshi. Na kingine ni sababu tu za kuvamia zisizo na msingi. Kwani Ukraine jeshi lake ni Nazi, kwahiyo Russia akitokea mamia wavuta bangi basi tuseme nchi nzima mamilioni ni wavuta bangi.

Nazi Germany ilikuwepo since early 1930s na ikaisha 1945 baada ya kuvuruga usalama wa dunia. Nazi wa Ukraine wamefanya nini? Hata Ujerumani wapo Nazi sympathizers huwa wanafungwa magerezani kwahiyo Russia ivamie Ujerumani?
 
Sawa. Sasa nikuulize, ukiachana na suala la kusapoti urusi au ukraine. Wewe unazungumziaje suala la nchi moja kuivamia nchi nyingine yenye uwezo dhaifu kijeshi? Unaona ni sahihi?
ndio ni sahihi, na ndivyo tulivyofanya mwaka 1979
 

Calls Inside Russia for "Formal Declaration of War"​


The destruction of Russia's Guided Missile Cruiser "Moskva" is prompting calls in Russia for the "special military operation" to be upgraded into a formal declaration of war with Ukraine.
Developing, check back.
 
msafara wa kwanza wenye urefu km zaidi ya 50. -hola 😂😂.
Msafara wa pili +kubadili na kamanda wa vita -hola 😂😂😂.
Bado mnatuambia tusubiri !!!?. Tusubiri Mara ngapi?
Subiri Ndugu yangu ....Zelensky atasalimu amri muda siyo mrefu...hivi Sasa kipigo kikali kinaendelea huko Kiev ...silaha zaidi zinazidi kumiminika huko mashariki mwa Ukraine....ikishamalizwa hiyo East Ukraine...Masha ulizoandaa kuelekea Kiev yataendelea...lakini mabomu mazito yanazidi kumiminika huko Kiev, Kharkiv na miji mingine...kazi iendelee..wewe Mambo ya misafara achana nayo...wewe fuatilia kipigo...
 
Kabla ya kuinanga Urusi kushindwa vita ambavyo havijamaliza hata miezi miwili na wala havijaisha, inange Marekani kwanza aliyo iliyopigana kwa zaidi ya miaka 8 na nchi maskini kuliko hata Tz kipindi hicho ya Vietnam na kushindwa vibaya sana.

Huitaji kuvaa miwani kujua ya kwamba vita inakuwa ngumu kutokana na Ukraine kupokea silaha kutoka nchi magharibi tofauti na hapo hii vita ingekuwa imeisha zamani.
Hata Marekani kushindwa kwake Vietnam ni kutokana na Usoviet kuingilia vita kwa kuipatia silaha Vietnam kama ambavyo Marekani anafanya sasa hivi ndani ya Ukraine, tofati na hapo Marekani angeshinda vita pengine ndani ya mwezi tu.

Urusi iliikimbia Afghanistan kwa sababu ya Marekani kuwapatia mjahidini silaha na Marekani kaikimbia Afghanistan kwa sababu ya Urusi kuwapa Taribali silaha.


Ukifuatilia vita ya Iraq Urusi haikuingilia kabisa kwa sababu ilikuwa dhaifu na ilikuwa na hali mbaya sana kiuchumi Marekani alifanikiwa kwa kiasi kikubwa kutokana na Iraq kutokuwa na msaada wowote kutoka nje.
Hata ukifuatilia vita ambavyo ameshinda Urusi ni ile ambayo Marekani haijaingilia.

Kwa hiyo msitake kuishusha sana Urusi maana kapigana vita nyingi na kashinda.
 
Kuna watu humu Bado hawakubali kama Meli ilishambuliwa bali ilipata hitilafu ikazama
 
Jeshi la Iraq mwaka 2001 lilikuwa na nguvu kubwa sana kuliko hili la Ukraine.
Una uhakika na unacho kisema?
Iraq ya mwaka 2001ilikuwa dhaifu mno ilikuwa imetoka kupigana vita ya muda mrefu sana na Iran na ilikuwa imetoka kupigana vita na kuwait ,ilikuwa na vikwazo vya kunua silaha na kiuchumi ambavyo Ukraine kwa sasa hana pia hakuwa na msaada wowote kutoka nje kama Ukraine inavyo pokea misaada ya silaha kutoka nchi za magharibi.
 
Putin alitaka regime change wapi!? Alikuambia!? Ushahidi!? Mbona mnapenda kuzusha!?
We unafikiri regime change ni mpaka uiteke nchi!? Yaani urisk maisha ya maelf ya wanajeshi wako na military infrastructures, eqps n tools kisa regime change, kweli!? Regime change inaweza kufanyika kirahisi tu kwa njia mbali mbali km coup, sabotaging elections, assassination, internal conflicts etc. etc. Sio lzm urisk vita huko ni kuua rungu kwa mende.

A matter of who outshines who is purely subjective. Kwako wewe putin amekuwa outshined na Zelensky. Your opinion. Kila mtu anajudge kivyake.
Kuzunguka kila mahali unaomba msaada, kuchapisha taarifa za uongo dhidi ya mpinzani wako, maelf ya wanajeshi wako kujisalimisha kwa adui, kupoteza sehemu ya ardhi ya nchi yako, etc. Etc. That doesn't sound like shining to me!

Kuweka kibaraka mahali/nchi fulani ni lazima kwanza uiteke hiyo nchi!? Bagosha!!

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Duh,si mchezo.
 
Endelea kuwaza hivyo hivyo,Putin akimaliza Operation yake ndio utaelewa!Mpaka Sasa military targets zilizoshambuliwa na Russia ni nyingi sana!Usione kila siku Zalensky anaomba kuongezewa silaha ukawa huelewi kwanini!
Kila siku Russia anapiga makombora sehemu nyeti!Ila habari hizo huwezi kuona unaletewa na vyombo vya west!Vyombo vya west vitakuonesha tu makazi ya watu yaliyokumbwa na mabomu!
 
Sasa kama unaowataja wanamzidi kwa nini usiwashauri waingize jeshi ukraine
 
Fanya kujaribu kutoa scenario ambapo flagship ya USN flagship itapigwa na kombora la kizembe kama Neptune ambalo Warusi wenyewe walisisitiza haliwezi fanya lolote
Mkuu kuna meli ya Marekani ilisha wahi kupingwa kombora na magaidi ikiwa pwani ya Yemen sema wao haikuwazama waliwahi kuzima moto ila iliharibiwa vibaya sana unazungumziaje hilo?

Haya mameli ya Marekani unayo yasifu kila siku drone za Iran huwa zinapaa juu ya hayo mameli na hayaoni chochote wana shutuka video inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikiyaonesha hayo mameli yananyo fanya kazi mpaka Marekani ilirazimika kuipiga mkwara Iran ili iache hiyo tabia.
 
Ushahidi wa Hilo uko wapi?Russia anasema ni ajali ya moto na akatoa na video inayoonesha hakuna missile strike yoyote kabla ya meli kulipuka!
Ukraine anasema yeye ndiye kaishambulia,Sasa wewe umeamua kuchagua kuamini kinachosemwa na Ukraine!
Mpaka Sasa vyombo vyote,BBC,Aljazeera,France 24 vinareport habari bila kusema kuwa meli imelipuliwa au ilipata ajali ya moto na kulipuka!
Sasa wewe ni nani mpaka uwe na uhakika na unachokisema?Umeverify habari Yako kupitia wapi?Tupe na sisi link ya Ili nasi tuwe na uthibitisho wa Hilo usemalo!
 
Russia has declared 18 employees of the EU Delegation in Moscow persona non grata, the Foreign Ministry said.

The EU Ambassador was summoned to the Russian Ministry of Foreign Affairs, where he was protested because of the unjustified expulsion of 19 diplomats from the Russian Permanent Mission to the European Union.
Galip S-22
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…