Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί mambo yamekuwa magumu haamini anachokishuhudia πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦.
Funzo: usipende kumkadilia mtu hata kama kwa mwonekano wa nje anaonekana ni mdogo.
🀣🀣🀣Pole Sana mkuu hebu kalale kesho unaweza kuwa umepata nafuu
 
kuwa na rafiki kama πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί ni tabu tu . Muda wote unakuwa kwenye tension, yaani umemeza moyo. Ni kama urafiki wa simba na swala .πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hivi kama [emoji635][emoji635] anatawala kwa Siku 5 na [emoji1255][emoji1255] Siku 1. Hebu tueleze nn kimekwamisha hii vita hadi kupelekea ichukue muda mrefu .
changamsha MEDULA mzee sio kila kitu mpaka utafuniwee na umezeshwe mbona haya yameshajadiliwa huko juu we unafikiri russia alienda kucheza kombolela huko ....

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
kuwa na rafiki kama πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί ni tabu tu . Muda wote unakuwa kwenye tension, yaani umemeza moyo. Ni kama urafiki wa simba na swala .πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Xi anaona huyu jamaa ameanza kuwa liability
 
Wananchi baadhi wapo pia ambao hawampendi, ukraine imegawanyika hata kabla Urusi hawajaingia. Huyo raisi ana damu nyingi sana mikononi mwake.
Papa mwenyewe hapendwi na waumini wote, sembuse kiongozi wa kisiasa?!!ni kiongozi gani duniani ambaye anapendwa na watu wote?!sasa hiyo mikoa miwili iliyojitenga ulitegemea nini, yaani watu wanajitenga tu kutokana na ushawishi wa nje, na wewe kama kiongozi unaangalia tu!!nakwambia huyu ndio rais aliyoko mioyoni mwa wananchi wengi wa ukraine, na yeye anayosimmamia ni matakwa yao ya katiba waliyoyapitisha hata kabla hajawa rais wao, mfano nia ya kujiunga NATO, na EU.
 
We kweli kilaza.unajua maana ya kukomboa?
 
kuwa na rafiki kama [emoji635][emoji635] ni tabu tu . Muda wote unakuwa kwenye tension, yaani umemeza moyo. Ni kama urafiki wa simba na swala .[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata Marekani mnaweza kuwa marafiki lakini ukithubutu kukengeuka cha moto unakumbana nacho.
 
Kwaakweli [emoji23][emoji23][emoji23] jamaa usingizi umemkaba akalale tuu

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
mlipiga hadi kombola La hypersonic. Mkasema hadi πŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ‡ΊπŸ‡Έ na NATO hawajawahi kuliona hilo dude. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ lakini hadi Leo tunaiona πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦ akiendelea Ku survive. Mna lipi jipya .?
Hata mrushe Bomu la nyuklia . hamwezi ichukua πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦
😁😁
 
Hata Marekani mnaweza kuwa marafiki lakini ukithubutu kukengeuka cha moto unakumbana nacho.
si bora πŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ‡ΊπŸ‡Έ yeye hadi UKENGEUKE? . Ila πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί yeye unaishi naye huku anakupigia mahesabu yake kichwani .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…