Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Basi sawa waache kulalama sindano zinavopenya waendelee kuvumilia maana ndo fungu walilochagua ..

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Ni mbinafsi sana, anajua mwisho wa siku yeye atajificha hata Washington, ila ni raia wangapi watapokelewa US? Mpaka sasa katika wakimbizi zaidi ya milion 6, wamepokea wakimbizi hawazidi 10. Huyu rais ni laana kwenye karne hiii.
 
Hao ni askari binafsi waliojitolea kwenda huko kuisaidia Ukraine, hivyo hawapigani chini ya mwavuli wa NATO.
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Na haujui karibu wote wakidakwa huko wanadai wao Ni wapishi tu na sio wapiganaji.
 
Jiji limependeza Sana kwa kweli,na hiki Ni kiashiria UKRAINE vita hii tunaishinda.

SLAVA UKRAINI SLAVA UKRAINI πŸ˜„
 
Russia ni sawa na debe tupu makelele meeengiii uwezo hakuna. Anasumbuliwa na kanchi kama Ukraine halafu eti apimane ubavu na NATO. Ridiculous...
Ni kweli kabisa mkuu,hivi Kuna ambae amebisha kwny hicho unachokisema?
 
Ndugu mbona na wewe unaanza kuwa na cheap mind kiasi hichi au NYAMIZI keshakuingizia zile AKILI ZAKE FINYU

. ....kwqni we wana siasa ni wageni kwako
asa kama zellensky aliweza kuwashawishi raia wake au watu wake washike silaha kwenda vitani au kifoni atashindwaje kuwaambia watulie na kuweka silaha chini ....waendelee na maisha .....ivi japani ingesema iendelee kukomaa hata baabda ya kugongwa na chuma kizito miaka hiyo ingekuwa hapa ilipo leo ?? au ingekuwa na nafasi ya kutengeneza haya ma land cruiser magari yake tunayotumia leo ....

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Ulisikia wapi Ukraine kugawanyika kabla ya vita hii na wakati wa vita?

Kule mashariki ni Russia analazimisha tu kuimega Luhansk na Donetsk lakini bado hajafanikiwa.
Na hawezi kufanikiwa mkuu,mpk Sasa Russia anapiga propaganda huko mariupol lkn ukweli Ni Kwamba Ukraine inashinda Vita huko na wanajeshi wa Russia wametekwa kwa maelfu.

SLAVA UKRAINI SLAVA UKRAINI
 
Unaona mbali Sana mkuu,hakika Russia atapigwa mno yaani mno.Chakula chenyewe Cha kuwalisha wanajeshi wake hana,sijui hio Vita ataipiganaje Sasa huyo Russia.
 
Mpendwa, hapa tuko watu wazima. Mchezo uanojaribu tumeshaona mara nyingi.
Huna jibu au hutaki kujibu hivyo unajaribu kukimbia kwa kuleta maswali tofauti kuliko jibu. Kweli tumeshaona mara nyingi, mbini ambao huwezi kumwamsha yeyote.
Tafadhali jibu maswali usikimbie:
wewe mwenyeji wa nchi gani ambako kila raia yuko huru kumshtaki raisi wa taifa (na amiri jeshi mkuu)?
Yuko huru kupeleka mahakamani kila taasisi ya serikali ya ngazi yoyote akiona ina vunja sheria au haki zake?
Yuko huru kushtaki maafisa wa polisi waliomtendea vibaya kinyume ya sheria?
 
Hao ni askari binafsi waliojitolea kwenda huko kuisaidia Ukraine, hivyo hawapigani chini ya mwavuli wa NATO.
Na hao askari binafsi kumbe walikuja na silaha zao etii na hata kama wamepewa na zellensky hizo silaha kumbe zellensky anatengenezea chumbani kwake ....NATO hawajawahi kumpa silaha aina yoyote ..........

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Pro NATO mmebaki na petty issues!Kila siku Imekuwa meli meli meli!Jamani au wakulima wameacha kukamata vifaru vya Russia?
Ukraine inabidi ijikakamue ipige tukio la maana Ili mpate habari ya kuruka nayo humu jamvin wiki nzima!
Kuzamishwa kwa meli ni petty issue? Wewe huwezi jua maumivu ya Putin katika hili
 
Nani aliyefanikiwa huko marekani juu ya hili unalolishadadia hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…