Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wewe huna maumivu yoyote,wenye maumivu ya kupoteza Manowari wapo Kremlin wanaomboleza
Hiyo manowary unayolia lia nayo humu haijaondoka hivi hivi .....imeondoka kiume imeacha PREGNANCY huku au kwa lugha cheap tunasema imeacha

LEGACY [emoji3][emoji3][emoji3]

[emoji116][emoji116][emoji116]


Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Unaona mbali sana mjomba!
Baada ya kumuuza maboya Mauripol (mtego), hivi sasa mpango ni kuirudisha Crimea na majimbo mengine ambayo Mrusi ameyachafua kwa kupeleka askari wake wachovu. Hivi umeipata na hii!? Habari za chini ya kapeti zinasema kuna CIA wamepenyezwa pale Kremlin, muda si mrefu KIBUYU kitalia.
Warusi wachovu sana!
 
Halafu hebu fuatilia dhumuni halisi la swali langu la kwanza na la pili
 
Baada ya Ukraine kusurvive zile week mbili za mwanzo,hakuna tena kinachowaogopesha.Watasimama mpaka dakika ya mwisho
Dakika hiyo ya mwisho haiko mbali..wanapigwa Sana...wanaokufa polepole...ni sawa na mtu anapokuua anaanza kwa kukata vidole baadaye viganja na unyayo halafu magoti na viwiko au masikio halafu anakuja kukata pua baadaye anatoboa jicho moja halafu akata ulimi halafu anakwenda kwenye viungo vya Siri ana halafu anakuja kukata kiuno. Na kuendelea...a very painful death indeed...ndivyo inavyofanya Russia kwa Ukraine...duh...siyo Jambo la kushabikia hili..
 
Yani nimekaa zangu huku mkuranga najiwazia tu hivi hao jamaa waliojiweka kwenye mashimo wanasubiri kugeuzwa mishkaki humo humo na mother land Russia wanajisikiaje😪😪 dah mjomba putin rusha taulo tu mana utapiga hako kakiwanda huko sijui mariupol lakini mayowe utasikia hukoo washington Dc
 

Mmarekani kanuna huko alifikiri kila mtu ana uadui na Russia.

Russia sio lesotho
 
Vijana wengi hatujui umuhimu wa kulinda uhuru na heshima la taifa letu ndio maana wengi wako sympathetic na ukraine kuwa angeweza kusurrender nakukubali matakwa ya Russia. Kunakofuka moshi kuna moto ukiona mtu kaamua kupambana ana dhamira na malengo yake yakweli. Russia anafanya aggressive kwenye nchi ya wenzie lazima watu wenye nguvu za kiume wasimame na kupambana kwelikweli
 
Nimecheka, alafu nikaogopa gafla kisha nikabaki nimeduwa. Hakika ni kifo cha kikatili sana.
 
Umemsahau poland anayehitaji special treatment baada vita kuisha
 
Ni mbinafsi sana, anajua mwisho wa siku yeye atajificha hata Washington, ila ni raia wangapi watapokelewa US? Mpaka sasa katika wakimbizi zaidi ya milion 6, wamepokea wakimbizi hawazidi 10. Huyu rais ni laana kwenye karne hiii.
Kuna shemeji ako apa, nikamwambia ila kwa hii CV aliyonayo huyu Prezda wa Ukraine hii nchi inaenda kubaya... Huezi ishi the whole carrier as comedian, tena type ya comedian anayehamasisha ushoga af ghafla bin Vuu ukaja shika nafasi nzito na kubwa kiasi hicho... Akadai mie na wivu kila mtu na bahati ake.

Bas bn nikatulia, nikamtizama weee, nikamuita jina flan akaitika. Kisha nikamuuliza. Em pata taswira uko juu ya ndege, ndege ipate itilaf kisha ianze kuyumba, wakati upo katika tafran unaambiwa Rubani anayeongoza ndege hata ile baiskeli hajawai endesha, utapata reaction gani...???

Akapiga kelele "Mama weeeee twaaaafaaa. Nikwambia kelele za nini nae si ni bahati yake au... Akajibu Bahati gani kwenye uhai wa watu, vitu vingine vinahitaji uzoefu, huezi fanya majaribio kwa kutumia uhai wa wenzio

[emoji18][emoji18][emoji18] Nikatabasam kiduchu, moyoni nikajisemea mwanamke ni mwanamke tu ka watoto vile(Hapa nikawakumbuka na baadhi maarufu wapo hapa [emoji1787]), kwao tomato ni ya kwenye chips tu ila ukimpa (tomato) nyanya halisi anaitafutia jina lingine...

Aisee...
1993-2018 Comedian
2019-Uptodate President

Hujawai hata kua katib tarafa [emoji848]
Wasaidizi na washauri wakuu ndio ka hao akina Arestovych from d same entertainment industry walio na ndoto za kuifanya Ukraine rude as Israel... Nini hatma ake, kwanini ka nchi kasigeuke kua Magofu.
 
Mie sidhanii kama Elenski atakumbana na hizo mambo ila acha tuone
Ingawaje mie nashabikia kifo chake maana kukatwa kichwa yule KENGE ndio kutakua ukombozi na unafuu kwawengineo watobakia
Ikibidi Elenski kufa acha AKUFE tena naunga mkono kwa 100 hoja yakuuwawa yuke KENGE ingawaje siamini kama jamaa anaweza akauliwa siamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…