Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kumbuka hiyo meli ilozamishwa ilikuwa na mfumo wa s300 ndani mwake. Russia hana mashine bora ya kivita yenye uwezo mkubwa kuishinda hii meli ilozamishwa apa juzi.
 
Yaani ninyi mnafikiriaga CIA ndio kila kitu na wao tu wenye nguvu hapa duniani.
 
yeah, ndio maana nkasema russia inajiweka kwe wakat mgumu dhidi ya jiran zake wale wa central asia, ile kauli ilimaanisha kuwa wanajua kuwa uaminifu haupo tena...hii ndio image alioicreate yy mwnyw, lavrov alifny ziara kadhaa kule wakati uvamizi umeanza but haitosaidia sana watu wanaona matendo,
 
SI tulikubaliana mazungumzo yamevunjika Joti anataka mazungumzo Ili apate muda wa kupata msaada haipo hiyo ...sasa ni kipondo mwaaa mwiiii..
 
The chance to give up arms for Azov nazis holed up in Azovstal has expired and the corridors were closed a few hours ago. Russian Air Force, including the nuclear capable Tu-22M3 have started bombing the Azovstal this afternoon
Your browser is not able to display this video.
 
Uzalendo wafanye wanaokula mema ya nchi kwanza. Taifa letu sote ila wanaolifaidi wachache.

Huyo Zelensky na viongozi wote wa nchi ya ukr watoto wao na familia zao hazipati shida na wala hawako front line. Mkishaikomboa nchi wanarudi kuja kuendeleza ulaji na nyie mnarudi kuwa tabaka la chini

Ujinga

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Soma hiki kisa MOVE (Philadelphia organization) - Wikipedia
 
Mimi nimeleta ushahidi wa maandishi.Wewe ulitaka ushahidi gani,nikupeleke Romania,nikuonyeshe AEGIS missile system ilipo,na tukae uone hiyo system ikirusha hizo missile ambazo zina nuclear warheads!Sina uwezo huo,hutaki kuamini acha,sikulazimishi,amini unachotaka kuamini.
 
sijajua kwann inakua tatizo kwa waukraine kupigania taifa lao? ht wapalestina dhaifu kabisa huwa wanapigana na israel kwann iwe dhambi kwa waukraine? mkuu hebu toa ufafanuzi kdg hapo
 
Then bado utakuta vitoto vinavoishi kwa shemeji zao zinashabikia hawa viumbe... Hawa viumbe hawajai kuwa na mapenzi kwa mtu mweusi zaidi ya kumletea ARV na chandarua kisha anasepa na madini kwenda kujenga nchi yake... Haya hawa hapo sasa wanaanza kuwaandaa kisaikolojia taratiiibu...

Baadae tutapigwa mkwara wa Global warming 😏, mifugo ipunguzwe kulinda mazingira kisha mnaletewa hadi nyama za kutengeneza maabara... Huu ndio ulimwengu tunaoishi, unachaguliwa cha kusikia, unachaguliwa cha kuona, unapangiwa hadi the way uwaze, lakin mimtu haikomi inaendelea kushangilia hizi 🐖

Mara 1000 bora adui ajae na Panga mkononi, kuliko yule akuijiae na maji aloyatilia sumu kukupa ukiwa na kiu.
 
Ila raia wa ukraine nao ni wangese, hivi kweli hapa kwetu joti anaweza kugombea uraisi???
 
Wasovieti wana tabia za kujifanya wanaondoka kwenye uwanja wa vita kumbe ndio kwanza wanawazunguka adui.
Tricks za namna hiyo zilitumiwa na Comred Joseph Stalin enzi zile za WWII dhidi ya Nazi chini ya Adolph Hitrer ingawa kwa kiasi fulani alisaidiwa na Nchi washirika adui ya Ujerumani wakati huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…