Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unaweza ukawa upo sahihi MKUU lakini baadhi ya picha zilionesha kabisa maeneo yakiraia kunakua na vifaa vita ilikua lazima vishambuliwe
Maana majeshi hayawezi yakaona kuna bomu zinatokea kwenye kanisa kuwashambulia halaf wao waziangalie kwakigezo chakwamba eti ninyumba za ibada hii hapana
Hili la cluster cjui ndio nn hili pia nililiona juu ya hili no koment
Huko kwengine RUSSIA kajitahid sana sana sanaa kuepusha vifo na hasara kwa RAIA ila kama ujuavyo lazima ilikua wengine wafe maana huwezi ukasema usiue RAIA halaf usiue hata mmoja eidha kwabahati mbaya ama kwamazingira yaliopo wakati wakushambulia
 
Upo sahihi kabisa,hili balaa kajitengenezea mwenyewe na hatokaa atulie kamwe.Watamsumbua sana,Putin anakuja kuwaachia matatizo watakaofuatia baada yake kutawala Russia.
Imeanza ramli,matatizo yatakuwepo ndani ya Ukraine maana upinzani utaongezeka mara dufu-na hivyo amisha anza kuwaweka ndani viongozi wa upinzani ndio anachochea moto
 
Brother bila kufanya double standard Russia pia ni aggressive nation. Angalia kwa mizani sawia Ukraine pia ana haki ya kujilinda kama taifa lenye heshima na uhuru wake. Stalin alichowafanya kama hawawezi kusahau vifo vya watu million nne kwa njaa sio mchezo. Kumbuka Russia alishawahi kuivamia Poland akishikiana na Germany. Russia with its military supremacy aliivamia afighanistan kilichotokea wote ni mashahidi. Tunapaswa kuwa neatral coz ili kujifunza geopolitics vizuri
 
Hakuna haja ya kubishana,nimesema believe what you want to believe.Tusubiri,usiwe na haraka,baada ya muda itakuwa wazi who really fired the missile which sank the Moskva and whether the missile contains nuclear material or not.
 
The chance to give up arms for Azov nazis holed up in Azovstal has expired and the corridors were closed a few hours ago. Russian Air Force, including the nuclear capable Tu-22M3 have started bombing the Azovstal this afternoonView attachment 2190862
Dadadek unaambiwa mtu katambaa kama mtoto au ndo miondoko ya kivita hiyoo😂😂 Putin ongeza kidoogo
 
Kuzamishwa kwa meli ni petty issue? Wewe huwezi jua maumivu ya Putin katika hili
Ni petty issue kwasababu mnakomaa sana kuliko hata aliyepata hasara!Ukijiuliza thamani ya hiyo meli na thamani aliyopoteza Russia kutokana na sunctions Bado utaona Meli sio msiba mkubwa kama pro NATO mnavyoshupaza shingo!
 
Hakuna haja ya kubishana,nimesema believe what you want to believe.Tusubiri,usiwe na haraka,baada ya muda itakuwa wazi who really fired the missile which sank the Moskva and whether the missile contains nuclear material or not.
Bila shaka, ila huwezi kuonyesha wapi ulichota madai yako? Naona si tabia nzuri kuleta vitu na kuficha chanzo.
 
Heheeee
Mtaongea lugha zote ila muhimu lengo la RUSSIA linaenda kufikiwa nshakuna kitakachotokea wakati jojia anapelekewa faya yalisemwa zaidi ya haya ila malengo yalifikiwa namaisha yanaendelea
RUSSIA sio ZIMBABWE
Wameongea kikolosai, kikorinto, Kilawi.. Watamaliza lugha za biblia zote watakuja kuongea mpaka kindamba kenge Hawa...
 
Point, kwanza naomba radhi kuna sehemu nilikujibu shombo am sorry. Vita bila kupika propaganda nzuri ina matokeo mabaya sana na yakuhuzunisha. Nakupa mfano, wakati jwtz wamevifurusha vikosi vya amini jeshi lilipewa majukumu mapya ya kuingia Uganda na kumn'goa idd Amini, baada vikosi kushumbulia na ketaka mji wa mbalala walilipa kisasi najua hapa umenielewa. Bro vifo vingine vya raia vya raia vinaweza kutokana na visasi, kwa mazingira yanavyoonekana jeshi na Raia wote wako vitani kulinda nchi hapo vikosi vya russia vinapata changamoto kusonga mbele, Kuna baadhi ya convoy zilikuwa zinazuiwa na raia. Kama wewe ni mwanajeshi umetumwa kwenye hii vita kudead ni njenje tu, na unaweza kupata tatizo la kisaikolojia maana unaweza kupewa order kushambulia raia. Kuna sauti za
makamanda wa Russia wanatoa oder ( kill them for the *** sake).
 
Bila shaka, ila huwezi kuonyesha wapi ulichota madai yako? Naona si tabia nzuri kuleta vitu na kuficha chanzo.
Chanzo kipo,siwezi kupika taarifa kama hiyo,ila because of your uncouth behaviour sikupi.Najua hata nikileta utasema chanzo hakiaminiki.Najua watetezi wa psycopaths wa the West walivyo.Dialogue closed.
 
Footage from Mariupol: soldiers of the DNR battalion "Somalia" went to the sea.

Together with the Russian military, they continue to liberate the city from the nationalists. The battalion raised its flag over the building of the main department of the local police.
Your browser is not able to display this video.
 
Mwanzoni nilikua nalizungumzia sana hili, kwanini upigane vita ambavyo unajua kabisa hauwezi kushinda?
 
At a meeting with Russian Ambassador Alexander Botan-Kharchenko, the Serbian President thanked for the congratulations on his victory in the elections and noted that Belgrade would continue to maintain friendly relations with Moscow.
 
In Serbia, they called it an unfriendly step in the supply of weapons by the UK to the Kosovo Albanians.

“You cannot arm terrorists and hope for peace. I am very worried, ”RIA Novosti quotes the head of the Serbian Ministry of Internal Affairs Alexander Vulin.

He stressed that the only goal of Kosovo's rapprochement and integration into NATO is "to provoke Serbia."

Earlier, Večernje Novosti reported that London had donated 50 Javelin ATGMs and NLAW ATGMs to Pristina. According to the publication, it is also planned to train Kosovo fighters to manage these systems.
Galip Sr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…