NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Wameshindwa kuelewa kujumlisha Kwa njia fupi ..watajifunza Kwa njia ndefu .. na tutawafundisha watajua kuwa Urusi ndio KIGAWIO KIKUBWA CHA SHIRIKA K.K.S...Ndege iliyokuwa imebeba shehena ya silaha za kivita toka nchi za Marekani na washirika wake imeteketezwa na majeshi ya Russia nchini Ukraine...
Asante sana Putin kwa kutekeleza ahadi unazotupa.
View attachment 2190596View attachment 2190597View attachment 2190598
Mkuu hii itakuwa tamu pale Putin atakapoichukua Ukraine, hali ya Amani imerejea na uchumi wa Russia kuimarika hapo ndipo utaona hasira za raia WA magharibi, watawauliza viongozi wao wanateseka Kwa sababu gani maana mlengwa hajadhurikaSaana na ajab mbali na kutuma hizo silaha...
Wameanza measure za kujiumiza wao wenyewe kupigana na Russia...
[emoji95] Kwamba waanze kufanyia kazi majumbani kusave energy kwa transit,
[emoji95] Leo hii hata mtoto mdogo anajua Europe baridi kali lakini wanaambiwa no Hot water during bath tumkomeshe Putin,
[emoji95] Huge inflation, cost kubwa za uzalishaji zinepelekea viwanda vinafungwa watu wanapoteza ajira ila kote uko ni katika kuhakikisha wanamkomesha Putin,
Na upuuzi mwingine mwingi tu, wajiuliza kama wanashinda the way wanavotuambia inakuaje wanawatesa Raia wao kwa mwanvuli wa kumkomesha Putin?
Ukiachalia mbali Gas, EU wanatoa zaidi ya 20% ya madini ya URANIUM kutoka Russia. Hata kama wakiamia katika Nuclear energy bado haepukiki... Hivi nae akiamua afight back kwenye vita ya kiuchumi jino kwa jino wataponea wapi, ilhal katulia na bado wanasota kiasi hicho?
Sasa wewe unashangaa urusi kurushiwa mabomu na jeshi la nchi kama Ukraine(japo Ukraine wenyewe hathibitishi hilo) badala ya kushangaa Marekani ilivyoshambuliwa kwa mabomu na gaidi mmoja aliesadikika kwa jina la OSAMA.Kama Ukraine anaweza kuishambulia miji ya Russia nabkuzamisha meli kubwa kabisa ya kivita basi Urusi uwezo wake wa kivita unakuzwa tu hana lolote.
Usalama wake wa anga ni mdogo sana na hapo NATO ndo wanazidi kumchora ili akijichanganya tu kurusha hivyo viji nyuklia vyake basi atasambaratishwa na ndo mwisho wa udikteta wake.
Kuna yule mwamba alinyanyuka apige filimbi kualert wenzake akipigwa risasi ya koromeo ....Ukiiangalia movie ya WE WERE SOLDIERS unabaki kusema tu STOP THE WAR
Cz ni men in suits & tie sitting in their offices engineering others who dies on front line !
And even when u win the war /battle but u can never heal the loss ! No winner in any war ! Even the winner
Ajabu wanapeleka more weapons badala ya ku enforces peace talks !
Means they are adding More fuel to fire instead
Nyiye hata mkiulizwa mafanikio ya Russia katika hii vita mnaishia kutuonyesha majengo yaliyoharibiwa,tukikuulizeni lengo hasa la Putin kuvamia Ukraine lilikuwa ni hilo la kuharibu majengo? Kama ni hilo basi amefanikiwa lakini kama malengo yake yalikuwa ni mengine,basi bado anacheza ngoma ya lizombeDakika hiyo ya mwisho haiko mbali..wanapigwa Sana...wanaokufa polepole...ni sawa na mtu anapokuua anaanza kwa kukata vidole baadaye viganja na unyayo halafu magoti na viwiko au masikio halafu anakuja kukata pua baadaye anatoboa jicho moja halafu akata ulimi halafu anakwenda kwenye viungo vya Siri ana halafu anakuja kukata kiuno. Na kuendelea...a very painful death indeed...ndivyo inavyofanya Russia kwa Ukraine...duh...siyo Jambo la kushabikia hili..
Usiwe mwoga vile. Unakimbiakimbia.Huu uhuru ni wa nadharia tu. Halafu haujasoma kisa chote we
Movie ya Troy "Achilles" ... Japo katika historia inawataja ...walikuwapo na Achilles origin yake ni Hapo Ukraine... Alikuwa tu kama Mercinery hakuwa total royalty Kwa Utawala wowote...alikuwa na jeshi la kukodi.Mkuu haijalishi sababu, huenda alidanganywa na USA na washirika wake kuwa watamlinda, huenda anafahamu kuwa Pittin nia yake ni kuiunganisha Urusi na nchi jirani kwa gharama yoyote na kwamba kupiga magoti ni kuikabidhi nchi kwa Puttin haraka haraka bila vita, huenda alifanya ujinga tu ambao haukutakiwa kufanywa na kiongozi.
Jibu lolote lile halina maana kwa hapa alipofika, hapa alipofika anatakiwa asimamie msimamo wake mpaka mwanajeshi mtiifu kwake wa mwisho atakapofariki au yeye kukamatwa au kufariki.
Mkuu ngoja nikuambie kitu kimoja, kuna hadithi moja ya Trojan ukiisoma(sijajua usahihi wake katika uhalisia) inahusu nchi mbili ziliingia vitani sababu kijana mmoja wa mfalme aliamua kuiba mke wa mfalme wa nchi nyingine alipotumwa kwenda kuimarisha mahusiano baada ya muda mrefu wa kutupiana maneno yanayoashiria kutokuelewana.
Yaani unamtuma mwanao aende kuimarisha mahusiano na jirani yako mliyekuwa hamna mahusiano mazuri halafu yeye anapita na mke wake.
Wakati vita vinaanza mfalme aliambiwa na mshauri wake, si warudishe mke na kulipa fidia? Mfalme akasema unadhani hawa wameleta silaha nchini kwetu na kutumia nguvu kubwa kufika hapa ili kufata mwanamke wao tu?.
Mfalme alijua kabisa kwa pale walipofika kujaribu kuwaomba Adui wamchukue mke wao na kulipa fidia ni kuwarahisishia ushindi tu maadui na kusababisha wakawa watumwa maana nia ya Adui si mke tena bali ni rasilimali za nchi yao. Mke ni sababu tu iliyotoa uhalali wa kuivamia na akiomba kurudisha mke kutawafanya wanajeshi wake waone kuwa hawastahili kwenda vitani kwa sababu ya kijinga vile, na Adui atatumia hiyo kama silaha kurahisisha vita na kushinda kiwepesi.
Mfalme Akawaambia wanajeshi wake Adui yupo hapa sababu ya rasilimali zetu, hayo mengine ni uongo uongo na kisingizio tu cha kuwepo hapa. Tuzilinde rasilimali kwa maisha yetu. Nchi ikaingia vitani.
umenena. Propaganda zimeanza kukanwa.Kwani wanajeshi wa Russia si tuliambiwa hawana chakula?Njaa inawaua?
Mtoa mada Ni mwongo, Russia haina uwezo wa kushambulia kiev.