Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

🇷🇺🇷🇺 huyu kijeshi unataka awe namba moja ?. Huyu anaepigana na jirani yake pua na mdomo ameshindwa kummaliza !?😂😂😂 .
Hebu kuwa serious kidogo pro🇷🇺🇷🇺 . tunajua unawapenda sana warusi .
 
Samahani una sababu gani kumwamini Putin??
Maana kwanza alitangaza mengi kabla ya mashambulio ambayo hayakuwa kweli (eti ni majaribio tu akileta jeshi Belarus na kukutanisha jeshi mpakani), alivunja mikataba mengi, Sababu alizotoa kuhusu serikali ya Kinazi, Kudai hakuna vita, .........
Pili mafunzo yake ni mjasusi, ambako alijifunza kutum,ia udanganyifu na uwongo (kama majasusi jote duniani kwa lazima) ?
 
Nina Swali Logical nataka lijibiwe kwa Akili na hoja...

Pro Russia wanasema Zelensky ni Puppet wa Western countries je wale Waasi wachache wa Donbas ni Akina nani wa Russia?
 
Kuzamishwa kwa meli ni petty issue? Wewe huwezi jua maumivu ya Putin katika hili
Ila wewe wa huko mbagala rangi 3 maeneo ya kimbangulile .....unajua maumivu ya putini kuliko putin mwenyewe na cabinet yake kuwa kuna meli imezama ....etii[emoji41][emoji41][emoji41]

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Si ajabu. Kipro inajaa watalii kutoka Urusi, si watalii pekee pia maoligarch walioweza kuiba mali ya taifa kwao wakipendelea kushi mazingira pasipo na baridi kali kama nyumbani...
 
Zelensky said that Biden and Macron should come to Ukraine to make sure that "not just a war is going on, but a genocide of the Ukrainian people."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…