Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
😂😂😂 sasa umeorodhesha vyanzo si chini ya 8 vya umeme harafu unasema Europe wakiachana na mafuta na gesi watatumia chanzo gani kingine cha nishati.Huo umeme unatokana na nini!? Au wazjngu wanaweza kufua umeme kutoka kwenye umeme wenyewe!?
Ili upate umeme ni either utatumia
Maji, Upepo, mafuta, gesi, biogas, solar, geothermal, nuclear nyingine utaongezea wewe.
Unafkiri EU wakizihama mafuta na gesi watahamia kwenye nn
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Umekasirika ...kunya nanasi..... Hatumuuui ... Mtuite warusi halafu mtupangie na vya kuongea ..punguza kupelekewa moto mtoto wa kiume wewe ....Bado unatumia lugha hii "hatumuuui" ? Wewe humwui yeyote, jemadari wa kitandani!
Ulivyo kiazi hujaona hapo nilipoandika "mafuta Mara nyingi"? . hebu mfano mdogo tu hapa Tanzania mafuta yakipanda bei. Nini huwa kinafuata kama sio sekta ya usafiri ?.Unajifanya unajua vitu, ila upo mtupu sana.. mafuta yanatoa products nyingi zaidi ujuavyo, na si kulenga kuendeshea mitambo tu
acha upumbavu, kwa kujiona upo na wise kuliko wotee, kaangalie comment yangu ya kwanza, then kaangalie ulichojibu ndio utajiona mavi matupuUlivyo kiazi hujaona hapo nilipoandika "mafuta Mara nyingi"? . hebu mfano mdogo tu hapa Tanzania mafuta yakipanda bei. Nini huwa kinafuata kama sio sekta ya usafiri ?.
EU wanachapa kazi kuongeza vyanzo va nishati endelevu kama vile upepo. nguvumaji, jotoardhi, kuni (pellets) na sola.Huo umeme unatokana na nini!? Au wazjngu wanaweza kufua umeme kutoka kwenye umeme wenyewe!?
Ili upate umeme ni either utatumia
Maji, Upepo, mafuta, gesi, biogas, solar, geothermal, nuclear nyingine utaongezea wewe.
Unafkiri EU wakizihama mafuta na gesi watahamia kwenye nn
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Angalau katika nchi penye uhuru wa media si rahisi kuficha (tofauti na Urusi na Ukraine). Kwa hiyo idadi za vita hizo upande wa Marekani kimsingi zinajulikana.Hizo takwimu Zina walakini!Nways kuhusu kupoteza askari,kila vita Inapoteza askari!Ungempa ushauri Huo na Marekani kutovamia Iraq,Afghan na kwingineko alikopoteza askari wengi tu!
Kwa maoni yako Russia ni autocratic sawa. Kwa maoni yangu na ya wengi Russia ni democratic.Hata Marekani kuna vyama vya kijamaa.
Pia Democracy sio Upebari hata kwenye ujamaa kunaweza Kuwa na Democracy mfano ni Mataifa ya Ulaya mojawapo ni Spain, Chama kinachounda Serikali ni Socialist party, Israel ni taifa la Kisocalist lakini, kuna democracy na Uhuru
Jambo baya ni Autocracy, Russia ni kosa wananchi kuongelea maoni tofauti na Serikali na chama tawala, mfano mdogo tu vita ya sasa ukitoa taarifa tofauti na vyombo vya serikali unakula mvua ya miaka 15
Wanapigwa kisha jamaa wanafanya show Off angani [emoji847]Marekani yasema usiku wa kuamkia leo haukuwa mzuri kwa mikoa mingi ya Ukraine
Marekani yasema Majeshi ya Russia yamefanya mashambulizi mengi na makubwa zaidi kuwahifanyika ndani ya usiku mmoja nchini Ukraine. Majeshi hayo ya Russia yaliyohusika ni jeshi la anga la Russia, majeshi ya wanamakombora, majeshi ya wanamizinga na mifumo ya ulinzi wa anga. Mashambulizi hayo yamefanywa kwenye mamia ya tageti za kijeshi za Ukraine.
Mashambulizi ya ndegevita yameangamiza miundombinu 16 ya jeshi la Ukraine ikiwemo vituo vitano vya kutoa kamandi za kijeshi, ghala la mafuta na bohari/ghala tatu za silaha.
Mashambulizi hayo yamefanywa kwenye mikoa ya Kharkiv, Donetsk, Zaporhizhzhia na Dnepropetrovsk pamoja na bandari ya Mykolaiv. Pia Russia imefanya mashambulizi kwenye sehemu 108 ambapo zilikuwa na wanajeshi wengi wa Ukraine na magari vita yao.
Kwenye maeneo mengine, majeshi ya Ukraine yamedungua na kuteketeza drones 12 za Ukraine na vifaru. Pia makombora ya Iskandar-M yametumika kushambulia na kuteketeza bohari 4 za silaha na vifaa vya kijeshi kwenye mikoa ya Luhansk, Vinnytsia na Donetsk.
Asante sana Putin...US mwenyewe anaelewa somo lako.
View attachment 2191751View attachment 2191754View attachment 2191753
Nafkiri Zelensky atakuwa Rais wa dunia., anajiamini, anatekeleza, anapambana, hachoki, ni jasiri na tunaona na kuthibitisha haya leo ni siku ya 60 almost bado Mrusi wa mchongo yuko Donbas., Kyiv ipo well intact, tuko pamoja naye wengi walimkebehi na kusema ni mchekeshaji lakini ni strong kuliko kiongozi yoyote niliyewahi kumsikia.Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelens amesema kuwa Urusi inajaribu kuliharibu kabisa Jimbo la Mashariki la Donbas lakini ameahidi kwamba atalilinda.
Akizungumza kupitia ujumbe wake wa video wa Jumapili jioni Zelensky amesema vikosi vya Urusi vinajitayarisha kwa oparesheni kubwa Mashariki mwa nchi hiyo ambayo itaharibu kila kitu kwenye Jimbo la Donbas.
Hayo yameelezwa wakati Ukraine ikiapa kupambana hadi dakika ya mwisho katika mji uliozingirwa wa Mariupol baada ya kumalizika kwa muda uliowekwa na Urusi wa kuwataka wapiganaji wake kuweka chini silaha na kujisalimisha.
Waziri Mkuu wa Ukraine, Denys Shmyhal amesema saa kadhaa tayari zimepita tangu kumalizika kwa muda wa mwisho uliowekwa na Urusi na hadi sasa vikosi vya Ukraine havijasimu amri na vitaendelea kupambana.
Akizungumza na televisheni ya ABC Shmyhal amesema Mji wa Mariupol bado "haujaanguka" na vikosi vilivyozingirwa na jeshi la Urusi vitapigana hadi risasi ya mwisho.
Zelenskyy atishia kuvunja mazungumzo ya amani na Moscow
Mapema siku ya Jumapili rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine alisema mazungumzo ya amani kati ya nchi yake na Urusi yatasitishwa iwapo Moscow itawaua wanajeshi waliosalia kwenye mji wa Mariupol.
Jeshi la Urusi ambalo sasa limehamishia nguvu zake kwenye kuchukua udhbiti wa jimbo la Donbas limesema kuna wapiganaji wachache wa Ukraine waliobakia ndani ya mji wa Mariupol na jana iliwataka kujisalimisha kwa ahadi ya kutowashambulia.
Stori: DW
SourceHapana sola si kipipi. Eurostat (mamlaka ya takwimu ya EU) inasema:
"Solar power accounted for 14% of Europe's gross electricity consumption in 2020, as part of a 34% renewables share across the continent to which wind power contributed the biggest proportion". (Linganisha: Nishati ya nyuklia ilikuwa 24.6 % mwaka 2020).
Sola ni chanzo cha nishati kinachoendelea kuongezeka haraka zaidi pale Ulaya.
Maana EU kwa jumla tayari kidogo juu ya 1/3 ilikuwa nishati endelevu ya sola, upepo, maji na jotoardhi. Mipango ni kuendelea haraka kuongeza vyanzo hivyo na kumaliza matumizi ya mafuta. Mipango hiyo ilipanuliwa si kwa sababu ya Urusi bali shauri ya kupambana na mabadiliko ya tabianchi na kupanda kwa joto.
Vita ya Putin inaweza kuharakisha harakati hiyo. Wimbo la nguvu kubwa ya Urusi shauri la mafuta na gesi ni wimbo linalozidi kufifia pia bila mazoezi ya Putin.
Anzia mwanzo kusoma hautauliza swali. Yote yamo kwenye uzi huu.uhalali wao kwenye vitahii wachechen ni upi ? na uhusiano wao na Russia ni upi ndugu zangu ?
Ingelikuwa hii vita wanapigana wabongo na Russia tayari mungekwisha peleka mattako yenu urusi zamani, wabongo ni watu waoga sana, Saivi Ukreane washamsoma Urusi tokea siku aliyoanza kuvamia aliingia na gia ya kuwataka majeshi ya ukraine ku-sarrenda lakini Ukrean wamekuwa wakikataa na hakuna chochote alichofanya Putin zaidi ya kutoa majeshi yake Kyiv na kurud Donbas baada ya maafa ya wanajeshi wake wingi sana zaidi ya 16,000Tayari wamefunikwa na vifusi.
Kawafukueni muwazike kwa heshima.
Walipewa muda wakauchezea
Hahah labda hukuelewa kwa sababu sikukuwekea data.[emoji23][emoji23][emoji23] sasa umeorodhesha vyanzo si chini ya 8 vya umeme harafu unasema Europe wakiachana na mafuta na gesi watatumia chanzo gani kingine cha nishati.
Na Mimi nakujibu hivi palipo na nia pana njia. [emoji635][emoji635] anauwezo wa kufunga gesi yake na mafuta kwa hao jamaa. But nakuhakikishia hapa watateteleka mwanzoni but end of the day they will rise strong.
[emoji1787]Kwa maoni yako Russia ni autocratic sawa. Kwa maoni yangu na ya wengi Russia ni democratic.
Tatizo ni pale mtu anapotaka dunia ifuate definition yake ya demokrasia.
Huo mfano wako ni wa uongo. Sio kutoa taarifa kinyume na serikali bali ni kutoa taarifa za uongo kuhusu vita. Sasa mnapata wapi legitimacy ya kukosoa sheria za watu wengine!?
Yaani Urusi wakisema let say kutoa taarifa za uongo kuhusu vita inayoendelea ni kosa na adhabu yake ni hii anaitwa anaminya uhuru
US akisema ushoga sio kosa anaambiwa anatetea uhuru.
Mwenye mamlaka ya kuamua huyu kakosea na hyu kapatia ni nani ikiwa kila mmoja na nchi yake na uhuru wa kutunga sheria zake!?
Alaf Unasema urusi ni autoctratic nataka unipe na ushahidi ni wapi Putin amewahi kufanya jambo ambalo linahitaji ruhusa ya bunge bila jambo ilo kupitishwa na bunge! Ni nguzo gani za democrasia ambazo zimevunjwa na urusi
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Tangu miaka zaidi ya 100 ni fesheni kila dikteta (au kiongozi anayeelekea) anatumia kitukinchoitwa "bunge" au parliament penye watu wanakutana kuitikia yale wanayoambiwa. Tofauti na bunge halisi ni uhuru wa uchaguzi, kama upo au la.Kwa maoni yako Russia ni autocratic sawa. Kwa maoni yangu na ya wengi Russia ni democratic.
Tatizo ni pale mtu anapotaka dunia ifuate definition yake ya demokrasia.
Huo mfano wako ni wa uongo. Sio kutoa taarifa kinyume na serikali bali ni kutoa taarifa za uongo kuhusu vita. Sasa mnapata wapi legitimacy ya kukosoa sheria za watu wengine!?
Yaani Urusi wakisema let say kutoa taarifa za uongo kuhusu vita inayoendelea ni kosa na adhabu yake ni hii anaitwa anaminya uhuru
US akisema ushoga sio kosa anaambiwa anatetea uhuru.
Mwenye mamlaka ya kuamua huyu kakosea na hyu kapatia ni nani ikiwa kila mmoja na nchi yake na uhuru wa kutunga sheria zake!?
Alaf Unasema urusi ni autoctratic nataka unipe na ushahidi ni wapi Putin amewahi kufanya jambo ambalo linahitaji ruhusa ya bunge bila jambo ilo kupitishwa na bunge! Ni nguzo gani za democrasia ambazo zimevunjwa na urusi
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app