Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Cry Pro russia Cry Putin Cry Moreeeee 😂😂😂😂😂
 
Kwako Puli ni sawa na kufirimbwa ...duuuh pole sana utakuwa na uzoefu sana wa kuzamishiwa nyama ...mpaka ulinganishe Puli na kuzamishiwa dyudyu.
 
Braza wewe unataka ubadili Gia angani tujadili vita coz ndo iliyotuleta hapa umeona moto wanavyopelekewa umeanza kuchambua mafuta Kwanza kwenye nishati mafuta unaonekana upo mweupe unahisi mafuta ni petrol na diesel kama tunayouziwa sisi end product wenyewe wanauziwa crude oil na kuyachakata kwa matumizi mbalimbali umekazana wataachana na mafuta wataachana na mafuta pambafu Kwanza kwa taarifa yako brand zote za supercars wanatengeneza gar zenye kunywa mafuta mengi Bugatti,Ferrari,Lamborghini,Aston Martin and etc and the owners of car are very proud of fuel consumption itz not easy for anyone to afford especially shi##t hole Country unaposema wanasitisha haraka unadhani ile ngoma ya kumcheza mwali akiingia kwa mumewe mnatoa maturubai kwa hiyo ndege zao zitakunywa mtori na nmeanza kuhisi ukisikia urusi anawauzia gas ulaya unadhani kama zile tunazouziwa sisi za mihan na taifa gas zipo kwenye mitungi make Kwanza hapo ncheke kule zimefungwa kama Maji majumbani na viwandani matumizi ya natural gas wew utakufa utayaacha yanapiga kazi makaa ya mawe yameacha kutumika Sana kwasababu ya gas unajua yamerun kwa karne ngapi na sio kwamba yameachwa yamepunguza matumizi ila Kuna viwanda vinayatumia na bahati mbaya ni kwamba Urusi vyote anavyo kwahiyo braza #msalimie semeji yako hapo nyumbani kwake
 
Sina hakika pia kama wewe
Ila huyo jamaa napitia tu michango yake kwafaida halaf namjibu kupitia watu wengine
Western wanasema wana uhuru wakutoa maoni wakati huo huo ukitoa maoni kuhusiana na kupinga kwa mauaji ya ISRAEL yalofanywa na HITLER ukitilia mashaka basi unatiwa ndani halaf wanasema kuna uhuru wakutoa maoni kama hawaelewi maoni yanatakiwa yaheshimiwe hata kama hayakupendi ndio maana Hebdow anachora kikatuni cha SAW wanasema anauhuru wakutoa maoni ila mauaji ya wayahudi ukipinga huna uhuru naunakwenda ndan
Demokrasia yakimagharibi niunafiq mtupu UMBWA wale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…