mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,269
Jamaa kalibeba li AK47 KARASHNIKOV LIrefuuuuu ....daaaaadek. [emoji23][emoji23]Начался новый этап наступления с «мясником Сирии» вместе с безумными чеченцами КадыровымView attachment 2192919
mkuu hii video umewahi kuiona, saudia arabia wanamdhihaki biden[emoji16][emoji16][emoji16] Sawa kabisa mkuu
Yaani unakimbiza kinoma ...Huu uzi unatembea ule wa kula kimasihara ukasome
Kumbe mpoki [emoji3]Tunamtakia kila la heri mchekeshaji
Tena weishiwa silaha,wakasaidiwa na marekaniHuu ni uongo, Russia ni Taifa maskini mnooooo hata wanajeshi wake waliishiwa chakula vitani sasa huo uwezo wa kupiga mabomu watautoa wapi?
Mnawasingizia tu Russia.
Tena akiwa amewekewa vikwazo na mataifa zaidi ya 40Walijua Russia Ni Zimbambwe
Mbabe anapigana na Mataifa 30+
Kazia Hapo hapo Mrusi
Apekeke moto haswaaMoto umeanza tena Ukraine hali si shwari mida hii urusi anatembeza mkong'oto
Nyie hebu acheni mambo yenu bana,ndo kwanza kwarezima imeisha Jana na bado ramadhani inaendelea.Nimefunga ila hawa watoto wakali
Ujumbe huu umfikie Frank wanjiru,muumini wa Juvelin🙏Pro NATO Mnakumbuka JAVELINI blaah blaah blaah ....ushuzi mtupu hovyo kabisa akili zenu
[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2192910 asa hivi hamzipigiii debe kabisaa mmekaa kimya kama kuku wa mdondo .....[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
😁😁😁 Majuzi niliiona huko mitandaoni,kweli mpk KSA wameichoka US kiasi hiki 😁😁😁mkuu hii video umewahi kuiona, saudia arabia wanamdhihaki biden
[emoji23][emoji23][emoji23] na limeungwa na nazi ...na parachichi pembeni alafu kuna kunguni zinasema russia ni maskini ....Warusi Ni waungwana Sana,
Yaani Wafungwa wa adui yao wanapewa Hadi vijiko na kande lao linaungwa na linawekewa kachumbali kabisa[emoji3]
Umeshapiga wanzuki mchana huu jua kali ikifika jioni si ndo utavua nguo kabisa .....uwe kichaa .....Russia wanachezea kichapo cha mbwa mwizi. hii vita putin anatafuta pakutokea apahoni yupo njia panda.
akigeuka kulia kichapo kushoto kichapo Russia inaenda kupata aibu ya karine.
na hii vita ikimshinda soko Lake la uzaji wa siraha lazima liyumbe na icho ndio kinampa mawazo yule super power wa mchongo
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
chief spy wa nchi anajigonga namna hii, halafu mercenaries wa buza wanamwendea putin na kanga moja.
acha awafyeke.
jamaa anatisha
Ila PUTIN mmbabe aisee ukimcheki hivi alivo unatamani ndo angekuwa raisi wa TZ ila basi tu hakuna namna aiseechief spy wa nchi anajigonga namna hii, halafu mercenaries wa buza wanamwendea putin na kanga moja.
acha awafyeke.
jamaa anatisha
Tufanye mpango mama Samia ahamie urusi, watuletee Putin[emoji4]Ila PUTIN mmbabe aisee ukimcheki hivi alivo unatamani ndo angekuwa raisi wa TZ ila basi tu hakuna namna aisee
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Mabingwa wale wa Urban Warfare.Afu wanajeshi wake sijui anawatrain na Nini,
Ni Mara chache Sana kukutana na maiti za chenchens.
Majamaa hayana presha, yanapigana yameshika camera utadhan yanacheza video game.[emoji4]
Ukraine wangekua na kikosi Kama Cha chenchens Nadhan Hali ya kivita ingekua tofauti sana