Taarifa zinasema kuwa Urusi imeahirisha kulishambulia na kuliteketeza eneo la kiviwanda ambako wanajeshi wa Ukraine wamejificha baada ya kugundulika ya kwamba kuna raia zaidi ya 1,000 walio jificha kwenye eneo hilo.
Sasa Urusi itatumia kikosi maalumu kwa ajili ya kulivamia eneo hilo ili kuepusha maafa dhidi ya raia waliojificha humo.
Raia hawajajificha, wamechukuliwa mateka.Taarifa zinasema kuwa Urusi imeahirisha kulishambulia na kuliteketeza eneo la kiviwanda ambako wanajeshi wa Ukraine wamejificha baada ya kugundulika ya kwamba kuna raia zaidi ya 1,000 walio jificha kwenye eneo hilo.
Sasa Urusi itatumia kikosi maalumu kwa ajili ya kulivamia eneo hilo ili kuepusha maafa dhidi ya raia waliojificha humo.
Nyie si mnasema sio Operation ni Vita,na toka day 1 mnaitambua kama Vita-kama ndivyo hakuna VIta inayochagua sasa unacholalamika ni nini?.Tulia mkipate mnachokitafuta-mmchagua mapambano ndio pambaneni kama unaona uwezi surrender.Putin ana rusha roketi zake hovyo kwa makazi wa watu raia.
Hakuna msingi kwa madai eti "Warusi wanaenda polepole iliwasiumize watu raia"
Wanarusha hovyo kwa shabaha ya kutisha, jinsi walivyofanya Chechnya, na Syria-Aleppo.
Walidai kwamba walitaka kuwaokoa Warusi katika Ukraine, sasa wameharibu makazi ya Mariupol (ilikuwa mji wa 70% Waukraine Warusi) na sasa Kharkiv (angalau 30-40% Waukraine Warusi)
CNN leo>
Kharkiv mayor Igor Terekhov has told CNN that there has been "non-stop bombardment of civilian districts" in the city since Sunday.
Before then, Terekhov said Russian shelling and bombardments had been focused on the outskirts of Kharkiv, Ukraine’s second biggest city located in the east of the country near the Russian border.
Kharkiv has been targeted by Russian strikes since the invasion of Ukraine was launched nearly two months ago.
"In the last few days, [Russian shelling] has been in the center and it’s targeting peaceful civilians," Terekhov told CNN "New Day" Tuesday.
"The enemy is targeting civilians, many people are wounded and some unfortunately dead. In the past day and a half, we’ve had 15 people killed and more than 50 wounded. Those 15 killed was just in one attack."
Terekhov also said that Ukraine would fight for every bit of land and would not agree to territorial concessions while Russian attacks continue.
Patamu hapo.German businesses, unions oppose boycott of Russian oil and natural gas
Usimsahau Frank wanjiru.Kuna Wale kimbele kimbele akina Coco reborn ,Nyamizi , sasa hivi wako kimyaaaa,wanachungulia vile Shoga wa Kiev anavyopigwa "miti" na Putin.
Mkuu tunazunguka na chopa Kwanza kuhamasisha anuani ya makazi tukimaliza tutakuja kushughulikia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Urusi anasema ni SPECIAL MILITARY OPERATION, Ukraine na Dunia inasema ni WAR.
Ukraine yuko karibu kuingia EU. Pengine washirika wa EU wakaingia kumkingia kifua Ukraine na vita ikapamba moto zaidi.
Just in case dunia inaingia kwenye vita kubwa zaidi,pengine ya tatu, Je Tanzania inajiqndaa kwa namna yoyote dhidi ya vita hii na athari zake?
Kujiandaa namaanisha;
1- Kuwekeza/kutunza chakula.
2-Kuwekeza/Kutunza mafuta,gesi,umeme.
3-Kununua/Kuhifadhi madawa ya binadamu,mifugo na mazao.
4-Kuwaelimisha watu juu ya matumizi na utunzaji rasilimali. Mfano Vyanzo vya maji,mimea.
5-Ibada kwa wale waamini.
6-Kupunguza matumizi yasiyo lazima na kuwekeza zaidi kwa tahadhari.
Hayo ni baadhi na maandalizi machache tu.
Je kuna haja ya kuenenda kwa tahadhari,kujiandaa kwa kesho tusiyoijua!?
Semper Fi.
Wamewashikilia raia kama Human shield urusi anasema huo ni ugadi wanaoufanyaWamepewa nafasi ya pili na ya mwisho wa kujisalimisha.
Binafs sijaelewa hebu nijuzeUmeelewa kilichotokea hapo?
Hahahhh mim mwenye ananishangaza sana, yaani yeye kila kitu "inasikitisha sana" vitu vingine inabidi ucheke tuHuyu ROBOT aliesetiwa humu ..mwenye usemi wake unaosema ......
INASIKITISHA KWAAKWELI / SANA
mi nawashauri tu mumvumilie maana ndo MEDULA kaiseti hivo au kwa lugha ingine anamtindio wa ubongo .....tuvumiliane humu kila mtu anaakili zake .......
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Hawajajificha wamechukuliwa kama Human shieldTaarifa zinasema kuwa Urusi imeahirisha kulishambulia na kuliteketeza eneo la kiviwanda ambako wanajeshi wa Ukraine wamejificha baada ya kugundulika ya kwamba kuna raia zaidi ya 1,000 walio jificha kwenye eneo hilo.
Sasa Urusi itatumia kikosi maalumu kwa ajili ya kulivamia eneo hilo ili kuepusha maafa dhidi ya raia waliojificha humo.
Kudadek nimeona makande sijui dengu lilee na mkate mgumuu kama wa jiwe la kusagia
Prison for captured Ukrainian soldiers
Sasa hizi zitasaidia nini ikiwa urusi kabadili anatumia ndege zinazopita anga la juu Sana