Sana tu... Kuna sehem anasema ”Even before I finished high school, I wanted to work in intelligence. Granted, soon after, I decided I wanted to be a sailor, but then I wanted to do intelligence again. In the very beginning, I wanted to be a pilot,”
Kabla hajamaliza High School alienda KGB directorate kuuliza namna gani anaweza kua Intelligence Officer, There, he was told that first, he would have to either serve in the army or complete college, preferably with a degree in law.
"And from that moment, I began preparing myself to enter the law department at Leningrad State University,” anaeleza Putin.
Baada ya Masomo yake hayo ndani ya miaka 1970s huko ambapo 90% ya wachangia huu uzi hawajazaliwa Putin alikuwa anafanya kazi KGB kama Jasusi... "Intelligence Officer", hapo ukumbuke akiwa na degre ya sheria na mpiganaji mzuri wa Judo.
Miaka ya 1990s huko from baada ya kurejea kutoka Germany, akawa Assistant to the Rector of Leningrad State University in charge of International relations. Na ni ndani ya miaka hii ya 90+ alipoanza kukwea katika ngazi za juu.
[emoji298]1991y Chairman of the Committee for International Relations at the St Petersburg City Hall
[emoji298]1994y Deputy Chairman of the St Petersburg City Government
[emoji298]1996y Deputy Chief of the Presidential Property Management Directorate
[emoji298]1997y Deputy Chief of Staff of the Presidential Executive Office and Chief of Main Control Directorate.
Hapa utaona Career yake ilivokuwaina rise so sharply ajab zaidi busy working na bado alikuwa anaendelea thesis yake ya PhD ya Uchumi kutoka St. Petersburg State Mining Institute.
[emoji298]1998y Akawa appointed kua Director of the Federal Security Service.
[emoji298]From March 1999y, he also held the position of Secretary of the Security Council of the Russian Federation.
[emoji298]Hiyo hiyo 1999y Mwezi August akawa appointed kua Prime Minister wa Russia Government, hii post alipewa na aliyekuwa Rais wakati huo Marehem Boris Yeltsin
Haikuchukua mda ndani ya mwaka huo huo wa 1999y Boris Yeltsin akajiuzuru na akamkabidhi Putin Urais, wakati huo akawa kama Acting President... Putin aliwah kunukuliwa akisema “Two or three weeks before New Year, Mr Yeltsin called me to his office and said that he had decided to step down. This meant I would have to become Acting President,”
Akasema zaidi kua "I had my own thoughts, my own reasoning, but at the same time, there was another logic I had to consider too. Fate was offering me the chance to work for the country at the very highest level and it would have been foolish to say, no, I’m going to go and sell sunflower seeds instead, or go into private legal practice. I could do all those other things later after all, and so I decided that this had to come first, and everything else later,”
Huh na mwaka ulofata 2000 March 26 akachaguliwa rasm kua Prezdaa wa Russia federation na ndio huyu twamshuhudia leo... Eti wasomi wa kibongo wanakwambia Putin kichaa hajui akifanyacho sheenzi kbs
Nenda pale Ukraine omba CV ya Rais wao...
1993-2018 Comedian
2019 Up to date President af huyu ndio yule aitwa Smart na shujaa... WTF MFs
🤣🤣🤣NATO hawana tofauti na JFVikao viiiiingi bado maamuzi yale yale [emoji241] [emoji241] [emoji241]
[emoji845]Scholz after talks with Biden and Western leaders: The West adheres to the position that NATO should not participate in hostilities in Ukraine[emoji845]
Wakati huo huo Germany kafikia ukomo wa kutoa silaha, [emoji848][emoji847][emoji2958]
[emoji845]We have reached the limit in what we can supply to Ukraine from our own reserves of the German Armed Forces — German Chancellor Scholz[emoji845]
NATO slogan be like No Action Talk Only Msemo wa wadau wa JF
Heheheheee.... !!!Hakika, sijawahi kumuona Mrusi mweusi!
Tupe update za mnayoita vita ....Ushauri:
1. umwandikie barua Papa Fransiko, Puti apelekwe kwenye orodha wa watakatifu!
2. Kuhusu Zelenski: unyoshe kidogo wimbo lako la "comedian"
a) tafuta Kiswahili, ni aibu kurudi kwenye lugha ya wakoloni!
b) usisahau ana digrii ya sheria. Sijui wewe unazo digrii ngapi, lakini nikilinganisha na kiwango cha wastani cha jukwaa hiyo, naona si vibaya.
c) alifanya kazi ya mchekeshaji, si vibaya kusahau kutaja kwamba aliweza kuwasiliana na wananchi wake ili wamchague na kumpa kura nyingi sana, tena kura halisi ambazo Putin anaota ndoto tu.
d) si vibaya kutaja kwamba alipoamua kutoingia kazi ya kisheria baada ya kuhitimu (sijui una ushuhuda Putin alihitimu??) alikuwa mjasiriamali akaunda kampuni yake, akaajiri watu na kulipa mishahara (kwa pesa yake, si kwa pesa ya walipa kodi - sijui Putin aliweza kupata senti nje ya ofisi za serikali??)
e) si vibaya kutaja kampuni ya Selensky ilikuwa mtoaji wa maudhui mbalimbali kwenye media ya Ukraine - na hata Urusi. Maudhui ambayo so vichekesho pekee.
Si lazima kuni shukuru kwa ushauri bora!
?? Unaelewa unachojadili? Ni vizuri sana NATO hawaingii moja kwa moja kwa sababu kuna hatari ya vita kuwa. Hata kama washamba wengine hapa hawaelewi, vita kubwa ingekuwa hatari pia Afrika ya Mashariki. Kw hiyo ni vema wakitumia busara na kutuma silaha tu - ili mkorofi asishinde kirahisi- lakini hawaingii moja kwa moja.🤣🤣🤣NATO hawana tofauti na JF
WoteIla nasikia jamaa (Russians) ni wabaguzi sana kwa watu weusi.
Hichi wanachokisema ndicho wanachokifanya? Kama ingekuwa ndivyo hii OP ingeshakwisha na Urusi isingetoa onyo kwa USA kuhusu silaha.🤣🤣🤣NATO hawana tofauti na JF
Safi sanaSana tu... Kuna sehem anasema ”Even before I finished high school, I wanted to work in intelligence. Granted, soon after, I decided I wanted to be a sailor, but then I wanted to do intelligence again. In the very beginning, I wanted to be a pilot,”
Kabla hajamaliza High School alienda KGB directorate kuuliza namna gani anaweza kua Intelligence Officer, There, he was told that first, he would have to either serve in the army or complete college, preferably with a degree in law.
"And from that moment, I began preparing myself to enter the law department at Leningrad State University,” anaeleza Putin.
Baada ya Masomo yake hayo ndani ya miaka 1970s huko ambapo 90% ya wachangia huu uzi hawajazaliwa Putin alikuwa anafanya kazi KGB kama Jasusi... "Intelligence Officer", hapo ukumbuke akiwa na degre ya sheria na mpiganaji mzuri wa Judo.
Miaka ya 1990s huko from baada ya kurejea kutoka Germany, akawa Assistant to the Rector of Leningrad State University in charge of International relations. Na ni ndani ya miaka hii ya 90+ alipoanza kukwea katika ngazi za juu.
[emoji298]1991y Chairman of the Committee for International Relations at the St Petersburg City Hall
[emoji298]1994y Deputy Chairman of the St Petersburg City Government
[emoji298]1996y Deputy Chief of the Presidential Property Management Directorate
[emoji298]1997y Deputy Chief of Staff of the Presidential Executive Office and Chief of Main Control Directorate.
Hapa utaona Career yake ilivokuwaina rise so sharply ajab zaidi busy working na bado alikuwa anaendelea thesis yake ya PhD ya Uchumi kutoka St. Petersburg State Mining Institute.
[emoji298]1998y Akawa appointed kua Director of the Federal Security Service.
[emoji298]From March 1999y, he also held the position of Secretary of the Security Council of the Russian Federation.
[emoji298]Hiyo hiyo 1999y Mwezi August akawa appointed kua Prime Minister wa Russia Government, hii post alipewa na aliyekuwa Rais wakati huo Marehem Boris Yeltsin
Haikuchukua mda ndani ya mwaka huo huo wa 1999y Boris Yeltsin akajiuzuru na akamkabidhi Putin Urais, wakati huo akawa kama Acting President... Putin aliwah kunukuliwa akisema “Two or three weeks before New Year, Mr Yeltsin called me to his office and said that he had decided to step down. This meant I would have to become Acting President,”
Akasema zaidi kua "I had my own thoughts, my own reasoning, but at the same time, there was another logic I had to consider too. Fate was offering me the chance to work for the country at the very highest level and it would have been foolish to say, no, I’m going to go and sell sunflower seeds instead, or go into private legal practice. I could do all those other things later after all, and so I decided that this had to come first, and everything else later,”
Huh na mwaka ulofata 2000 March 26 akachaguliwa rasm kua Prezdaa wa Russia federation na ndio huyu twamshuhudia leo... Eti wasomi wa kibongo wanakwambia Putin kichaa hajui akifanyacho sheenzi kbs
Nenda pale Ukraine omba CV ya Rais wao...
1993-2018 Comedian
2019 Up to date President af huyu ndio yule aitwa Smart na shujaa... WTF MFs
Binadamu wote ni ndugu, hapo chanzo cha matatizo!Wazungu wote ndugu,hata wachina
Wote
Unaamini kweli bilioni na nusu Wachina ni Wazungu? Usiwaambie, wanaweza kukasirika. Nisingependa kupigwa na bilioni na nusu.Wazungu wote ndugu,hata wachina Wote
Ushauri:
1. umwandikie barua Papa Fransiko, Puti apelekwe kwenye orodha wa watakatifu!
2. Kuhusu Zelenski: unyoshe kidogo wimbo lako la "comedian"
a) tafuta Kiswahili, ni aibu kurudi kwenye lugha ya wakoloni!
b) usisahau ana digrii ya sheria. Sijui wewe unazo digrii ngapi, lakini nikilinganisha na kiwango cha wastani cha jukwaa hiyo, naona si vibaya.
c) alifanya kazi ya mchekeshaji, si vibaya kusahau kutaja kwamba aliweza kuwasiliana na wananchi wake ili wamchague na kumpa kura nyingi sana, tena kura halisi ambazo Putin anaota ndoto tu.
d) si vibaya kutaja kwamba alipoamua kutoingia kazi ya kisheria baada ya kuhitimu (sijui una ushuhuda Putin alihitimu??) alikuwa mjasiriamali akaunda kampuni yake, akaajiri watu na kulipa mishahara (kwa pesa yake, si kwa pesa ya walipa kodi - sijui Putin aliweza kupata senti nje ya ofisi za serikali??)
e) si vibaya kutaja kampuni ya Selensky ilikuwa mtoaji wa maudhui mbalimbali kwenye media ya Ukraine - na hata Urusi. Maudhui ambayo so vichekesho pekee.
Si lazima kuni shukuru kwa ushauri bora!
Waturuki si Wazungu??Uturuki alikataliwa kwa sababu ya kidini kama,walisema ni waislamu,wazungu wakings Sana
Inabidi tumereport anakimbiza Sana page pia imakera kwa kweliiiUnarudi unakuta thread imesogea kama page 4 hivi ..unasema yes ntakutana na madini mbalimbali unakutana na Mzee wa "inasikitisha sana Kwa kweli " page mbili au tatu kabisa ...daaah ndio tumeumbwa Kwa mfano wa Mungu na yeye ni mfano wa Mungu. Tumvumilie tu ukikuta unapita tu.
Naona Putin sahizi kawaamuliaYaani Nchi 30+ Dhidi ya Jemedali Moja Russia hahaha
Kipande cha Ukrein ndio kinaenda Hivyo
Kwani hao mamluki wanachaguliwa na nchi zao au wanajiendea tu?Uchawi upo mkuu,
Na Kuna Watu Kweli wamerogwa
Ni kweli,umeshasema. Mchekeshi huyu Reagan alifaulu kupeleka Warusi kupiga magoti. Tuone. LAbda Warusi hawana kinga asilia dhidi comedians??Sio vibaya ukimwambia pia Ronald Reagan Rais wa 40 wa Marekani aliyechangia pakubwa kuanguka kwa evil empire ya USSR alikuwa mchambuzi wa michezo kwenye redio na muigizaji filamu.
Si wote, lakini wengi. Mshairi Pushkin wanaomwona kama mtakatifu alikuwa robo MWafrika lakini hawataki kujua.Wazungu wote ndugu,hata wachina
Wote