Hilo nalo lawezekana, maana kidunia chetu hiki kimejaa illusions za kutosha. Kuhusu Dini naeza sema Russia pako safe. Russia nahisi ndio taifa pekee duniani ambalo limejaa kila aina ya dini chini ya jua. Na wanaheshimiana kila kundi na imani yao huwakuti wakibaguana.
Ukija kenye ethnicity pia hivo hivo.
Ila kuna kitu naweza kupishana na wewe kidooogo. Kujenga misikiti sio sababu ya hapo middle east kumuunga mkono. Kwasabab kwa mtazam wangu Middle east hapo kumejaa corrupted leaders na vibaraka wa jua linakozamia...
Eneo lile sehem kubwa linatawaliwa kifalme, so mbio za viongozi ndani ya familia ni mtifuano mtupu.
Nikikwambia CIA wana mkono mrefu hadi hapo kwenye hizo Royal Family sina hakika kama tutakubaliana ingawa ndio uhalisia. Sabab zipo nyingi tu za wao kumpa kisogo US na kundi lake kisha kubaki neutral...
Hivi vikundi vya waasi wanavitrain na kuvi-arm hawa hawa Pentagon kwenye kila taifa watakapotaka kusimamisha uongozi wanaoutaka au kunapokuwa na interest zao zingine.
Ndiyo maana nasema una elements za fanaticism....Mtu mzima unaamua kutuma au kusambaza picha za watu waliokufa...watu wa psychology wanaweza kuelezea vizuri ni Mtu wa Aina gani anayeonekana kufurahia kusambaza picha za waliokufa kwa kurudia na kurudia...yaani it appears ni hobby..siyo Jambo la kawaida kwa tabia ya Aina hiyo...
Medvedev akiwa telegram anauliza mbona mkataba wa geneva kuhusu katazo la mamluki wa kimataifa mbona kama hauwahusu mamluki wa UKRAINE wanaozidi kwenda kupigania dhidi ya RUSSIA?
View attachment 2194801
Hili dude unaambiwa linaeza ku-destroy enermy strategic targets popote pale duniani with kinetic impact energy pekee pasipo kutumia nuclear warhead...
Sasa likipachikwa nuclear war head itakuaje kama just K.I.E inaeza fanya maajab hayo.
Hiyo quote ya Aljazeera umeielewa?Mtu akiona hii essay anawezasema umeandika vitu vya maana kumbe upupu mtupu.
"however, say despite their reputation as fierce fighters, Chechen forces sent to Ukraine have not played a significant role on the battlefield. Their presence has been perceived as a public relations exercise"
~ Aljazeera wakimnukuu mtaalam mmoja wa maswala haya ya kimapgano.
"...despite their reputation as fierce fighters...," alaf ww hapa unasema jamaa si wapiganaj wzuri
"that they are among the world's most effective and deadly guerrilla forces."
~ Washington post, 'Chechen deadly swagger'
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sasa Azovstal iko wapi kama sio Mariupol? Uongo uko wapi hapo?Uongo!!!
Mariupol wakraine waliobaki wamenasa kwenye kiwanda cha Azovstal. mariupol iliyobakia ishakuwa liberated. Taja eneo moja ambalo bado linakaliwa na wanajesh wa Zelensky
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
mkiwakataza warusi kuja kucheza fikirien mara mbili, na hivyo missile wameshatest tayari
Wimbledon to feel the pain if Russian tennis players are barred, vows Kremlin
Jeshi gani la superpower eti flagship ya fleet ina radar zinaengage upande mmoja tu. Hicho kichekesho hata Sweden huwezi kikuta na zile corvette zao za tani 5,000. Russia meli ya tani 12,000 inakuwa na radar zinaona upande mmoja, meli haijafanyiwa modifications kwenye defense wao wanaiburuza vitaniHata Israel navy imeiacha mbali hii Russian navy kwenye uwezo na technology, labda kwenye man power ndio Russia kampiku Israel.
Putin katest kombora la nyuklia lenye uwezo wa kurusha vichwa 12 vya silaha za nyuklia kwa wakati mmoja.
Kombora linatwanga popote pale duniani...laenda kwa jina la 'Satan II'
View attachment 2194573
Hili bomu likipigwa si linaangamiza Dunia nzima[emoji848]
Duhh so ndo linalipukia huko ...ok mi nkajua lina zunguka somewhere afu lina u turn sehemu yake ok ....
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Mrusi tajiri Oleg Tinkov aliandika kwenye akaunti yake ya Twita:
“I don’t see a SINGLE beneficiary of this mad war!” wrote the outspoken businessman Oleg Tinkov in a statement on Tuesday. “Innocent people and soldiers are being killed. Generals have woken up from their hangover to understand they have a shit army. And why would the army be good, if everything else in the country is shit and rife with nepotism, lackyism, and servility?
“Dear ‘collective west’, please give Mr Putin a clear exit to save his face and stop this massacre.”
Russia’s latest military failures polarise society even more
War critics grow increasingly vocal while state media fuels hatred for the westwww.theguardian.com
Kwa mpira gani uliopo Russia mpaka waangaike? Ni sawa na Tanzania kufungiwa kushiriki kombe la duniaWamepigwa marufuku FIFA na UEFA na hakuna kitu chochote wameweza fanya.
WMkuu unataka kuzidisha ujuaji na uongo yaani jiji muhimu kwa Uchumi wa Ukraine kama Maliopol lilindwe na wanajeshi 5000 uko siliasi kweli ww?
Unaambiwa Maliopol ni kati ya eneo lililokuwa limejizatiti na likiwa na wapiganaji wazoefu na wenye mbinu za hali ya juu.
Kundi la Azov lilikuwa na wapiganaji zaidi ya 6000 ambao wengi wameuawa na bado hujakewa wanajeshi wa Ukraine na bado hujaweka mamruki kutoka nchi mbali mbali walio kuwa wanapigana sambamba na jeshi la Ukraine, sasa ww hiyo idadi ya 5000 umeitoa wapi?
Urusi ina wanajeshi 7000 ambao walikuwa wanapigana kwa kujigawa vikosi 7 kila kikosi kikiwa na wanajeshi 1,000.
Mji wa maliopol na mwambao wote wa Azov ni muhimu mno kwa Uchumi wa Ukraine kuliko hata Odesa na Karkiv.
Bora zao hao wakitesti yanatiki, kuna huyu hapa 'Marekani' yeye kila akitesti yanafeli...Putin amegeukia tabia za Kiduku sasa, kulipua makombora kila siku ili kutishia nyau watu wazima.
Mkuu hiki ulichoongea unajua chanzo chake?
Sasa Mimi nakuambia hili ulilosema chanzo ninmarekani na nchi za ulaya, kivipi ni hivi
Katika vuguvugu la kudai Uhuru kwenye miaka ya 1950, bara la afrika lilikuwa na vijana wachache wenye elimu ambao wengi wao ndiyo walikuwa wanaendesha harakati za kudai Uhuru
Sasa baada nchi hizo kupata Uhuru marekani na nchi za magharibi Kwa makusudi walianzisha mpango kabambe wa kuhakikisha kwenye kila nchi wale vinara ambao walikuwa mstari wa mbele kuwaamsha waafrika kujitambua, watu hao wanaangamizwa
Kwenye nyaraka za CIA walizozitoa Kwa public zinasema wazi kuwa waliohusika na kifo cha Patrice Lumumba wa zaire ya zamani, kuna wengi waliuliwa kipindi hicho wakina augustino Neto, Samira Machel, augustino Neto, kwame nkurumha na wengineo na kuhakikisha inchi hizo zinatawaliwa na wajinga wajinga ambao hawajielewi ili hata wanapoiba basi hawataaumbuka Ila watapewa msaada na vibaraka walio madarakani, mfano mzuri Mobutu seseko baada ya kumuua Lumumba wakampa nchi, angalia unafiki wa watu wa magharibi suala la demokrasia halikuwepo tena maana Mobutu alitawala vipindi vingi na wala suala la demokrasia halikuwepo
Matokeo yake afrika imekuwa masikini baada ya kuwekewa viongozi wabovu na mataifa ya magharibi, ndiyo viongozi waliokubali kutoa madini ya nchi Kwa mrahaba wa 3%, unategemea unaweza kuwapa wananchi maendeleo Kwa kiasi hicho cha malipo ya madini????
Sasa hivi mkoloni Hana haja ya kuja afrika kuweka viongozi Ila alichofanya kwenye serikali nyingi za kiafrika kwenye nafasi za decision makers wamekaa wapumbavu halafu anachokifanya ni kuwaaambia hao wapumbavu kuwa wakijichanganya wanakosa madaraka na hawatakaa warudi, sasa hawa decision makers wanafanya kila Aina ya uovu ili wabaki madarakani, hawa wapumbavu ndiyo chanzo cha umasikini afrika
Kilichopo sasa hivi wenye uzalendo na weredi hawana madaraka, wapumbavu na wajinga ndiyo wanamadaraka
Sidhani, asingeandika hivyo kama angekaa Urusi. Nahisi yuko nje.Tinkov ameanza kumiss bata za Paris na Las Vegas
Hii ina maanisha nini?. Ni saikolojia torture. Sasa tukianza kurusha taarifa kama hizi nasi itakuwa ni sarcastic
Warusi siwaamini kabisa kwenye uwanja wa vita.Majigambo tu yasiyo na maana yeyote🤔Hizo ndege zote zitakuwa chakula cha S-400