Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ninachokiona kuhusu wanajeshi waliozingirwa huko kwenye kiwanda Moriupoh. Tujiulize ni kwanini hawataki kujisalimisha.
Kama wanavyowaza wengine hata Mimi ninafikiria huenda kuna wanajeshi wengi wa NATO/USA ndio maana kumekuwa na ukakasi huo. Pili kwavyovyote wamepewa maelekezo kuwa wasijisalimishe.

Cha kujiuliza sasa ni je ni kwanini wakomae kutokujisalimisha, na nini matarajio yao??

Japo sijawahi kusikia RAID zilizowahi kufanywa na nchi za NATO/USA zikaweka historia vizazi hadi vizazi kama ile ya Wayahudi walipowaikoa wenzao kule Uganda kipindi cha Idi Amin ( 19 Min in Entebbe). Lakini huenda hawa jamaa wa NATO/US wanaangalia namna ya kuwaokoa hao jamaa kwa kufanya Raid iwapo njia zote zitashindikana na iwapo hao jamaa wakiangukia mikononi mwa Russia kutahatarisha maslahi yao Kiusalama.

Mwisho kabisa ninachokiona nadhani hao NATO/US ikishindikana njia zote za kuwaokoa basi WAPO RADHI WAFE TU KULIKO KUANGUKIA MIKONONI MWA RUSSIA
 
Happy waliobet sio ajabu wakamuua ili mkeka uticki[emoji1787]
 
Putin aagiza usitishwaji wa kuingia walipojificha Azov ndani ya Azov steel plant...

Je Nuke zinaenda tumika?
Wapige Lile bomu la Moshi mweupe la kukera Koo na mapafu,
Likikupata unapata kikohozi kikali na kikavu zaidi ya kile Cha mgonjwa wa TB

Nmesahau linaitwaje,ila mwanzon mwa Hii Vita Russia alilipiga kule kherson US na NATO wakapiga Sana kelele

Russia wakajibu mbona USA kayatumia Sana kule Afghanistan kuwafukua mataleban uko mapangoni mwao
 
Umewaza mbali Sana, Bravo[emoji106]
 
Kuna yule bingwa wa kuleta maiti za wanajeshi upande wa Russia humu ndani.

Alitakiwa kama pro-ukraine atuonyeshe maiti ya chechens hata mmoja tujue Kama Wana uwezo wa kuwapiga au Ni porojo tu[emoji4]
 
Happy waliobet sio ajabu wakamuua ili mkeka uticki[emoji1787]
Hawawezi kumuua... Hapo hiyo nahisi ipo ka Collection of Public Opinionsjuu ya kile walioko nyuma ya Pazia wanachotaka kukifanya... Tutaona mengi mwaka huu.

Sawa na TZ, Sportpesa, MBET, Premier Mkeka na makampuni mengineo huko waruhusu kupokea bet za Kifo cha Mama af Jeshi na serikali ikae kimya isizungumze kitu. CDM wapande dau na baadhi ya wana CCM nao vile vile wapande dau kiasi...

Unategemea nini hapo...[emoji848]

Zaidi atasikika DeepPond akidai system imemkataa huyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi mshajiuliza kwanini hiki kipindi cha huu mgogoro hizi mambi za ushoga zinapigiwa promo kwa speed ya 5G...

Hawa Apple nao wanaendeleza kampeni ile ile View attachment 2195163
Netflix nao hawako nyuma kwenye kampeni ile ile... Na hizi ndizo kampuni zilizo jitangaza mapema kujiondoa Russia baada ya Operation kuanza...
 
Anaweza kuwa, 1) Depressant 2)Hypnosis au 3) Hallucinogenic .... Muonee huruma tu.
 
Tunaichukua yote hiyo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…