Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hahaha wanawapa scraper zinapigiwa boda
 
Kaka unahangaika Kuna watu nilikuwa nawaheshimu sana ..ila nimewavua vyeo akiwemo na huyu ... Hata kwenye huu Uzi wamebaki WAPUMBAVU WACHACHE....
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inasikitisha sana, kama muda wote huu unabishana humu hujui mambo madogo kama haya!
Nilikuwa nakutafuta kenge wewe na umeingia mzima mbuzi wewe ....[emoji34][emoji34][emoji34].......tuliza tuckel chini nyumbu

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya igizo la Corona kubuma, wazee wameamua kuja na igizo jipya la vita.

The so called SUPER POWER (Russia) imeshindwa kudhibiti kanchi kaduchu kama Ukraine ndani ya miezi miwili!

Mara tunaambiwa wanajeshi wamerudi nyuma (sijui hata nyuma ya wapi?), mara sijui wanajeshi hawana maji wana kiu. POROJO.

Katika maigizo haya yote mawili, kuna jambo linatafutwa ambalo limefichwa machoni pa ulimwengu kwa wakati huu!

Ukweli wa haya maigizo utajulikana kitambo kifupi kijacho!

Dhamira zilizojificha nyuma ya haya maigizo zitafunuliwa!
 

Ngoja waje pedophile’s wakupinge hapa.
 
Putin kaanza kupambana na wapinzani wa ndani wa namna hii tokea kitambo sanaa hawa ma oligarch...toka enz za akina Boris Berezovsky, akina Gusinsky and the likes....wafanya biashara hawa wao wanaangalia manufaa yao binafsi tu kwanza na endapo yataathiriwa na hali ya vita usitegemee wakakaa kimya...watapiga kelele tu..ila wanajua kilichowakuta
 
Basi hata hao madikteta wana haki ya kuwashughulikia wale wanao jiita wana demokrasia wanao waona ni hatari kwao kwa hiyo tuliza makalio yako.
 
why israel ? mbon kam haielewk mana israele ndio uan mwa ameriaka vip wasalit kambi?
 
Hii imekaaje ase [emoji848][emoji1787] View attachment 2195227[emoji298]Russia and Vietnam have agreed to host joint military exercises.
Wazee wa KAZI wavietnam,
Hawa jamaa USA hatawasahau maishani mwao.

Na wangekua wavietnam was miaka ile, bila shaka marekani angeitangazia Dunia kwamba wavietnam Ni magaidi.

Ukiskia jihadi,
Basi ndo ile Vita ya USA na Vietnam miaka iyo.

Unapiga vijitu haviishi,
vinazidi TU kuja mfulurizo utadhan mchwa wametoroka kwenye chuguu[emoji4]
 




Yaani hawa mawaziri wote wa Uingereza wamezungumza kauli moja nyakati tofauti.

Tukumbuke Churchill alizungumza hii kauli baada ya kuona hakuna namna zaidi ya kuingia vitani na Hitler, Je huyu Boris anamaanisha nini kuzungumza hivi?

Hizi kauli mbona zinaogopesha? au ni ishara WWIII inakuja?

Kule Azovstal kutakua na askari wengi wa UK, kuna jambo halipo sawa hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…