Kaazi kweli kweli,Shughuli imepata vijora [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wanajiuliza Kama wanania njema kwanini wasiwape mpya[emoji4]Hahaha wanawapa scraper zinapigiwa boda
Kua specific ueleweke chief,Baada ya igizo la Corona kubuma, wazee wameamua kuja na igizo jipya la vita.
The so called SUPER POWER (Russia) imeshindwa kudhibiti kanchi kaduchu kama Ukraine ndani ya miezi miwili!
Mara tunaambiwa wanajeshi wamerudi nyuma (sijui hata nyuma ya wapi?), mara sijui wanajeshi hawana maji wana kiu. POROJO.
Katika maigizo haya yote mawili, kuna jambo linatafutwa ambalo limefichwa machoni pa ulimwengu kwa wakati huu!
Ukweli wa haya maigizo utajulikana kitambo kifupi kijacho!
Dhamira zilizojificha nyuma ya haya maigizo zitafunuliwa!
Wataukimbia Uzi huu.... Wameanzisha viuzi vyao vya kigaka .... haviendi... Wakija huku wanagongeshwa vya kutosha ...wamebaki wanatembea kama Kaa.... Kulia kushoto . . shenzyLeo Hadi "kyiv independent" pro Ukraine media wanasema ukweli kwamba Hali sio shwari
Kwenye Geopolitics, Interests za taifa kwanza hayo mengine baadae... walo na "genyezi" zakukaa kwenye sinking Ship wamebaki EU pekee.why israel ? mbon kam haielewk mana israele ndio uan mwa ameriaka vip wasalit kambi?
Ngoja Nika wachachafye kidogo🤣🤣🤣Wapo huku nauzi wao
Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi
Salaam Wakuu, Hii ni Special thread ya Video na Picha kutoka Uwanja wa Mapambano Ukraine kwa Wanajeshi Waliopo Msitari wa Mbele. Hii thread inawahusu timu Ukraine. Picha zinahusu mafanikio ya Ukraine. Mwanajeshi wa Ukriane akiwa na PG-7VM rockets Hiki ni kipigo cha kwanza walichokipata...www.jamiiforums.com
Mwarobaini wa Bikra NATO pori...Kaazi kweli kweli,
Kulia CHINA,
Kushoto VIETNAM,
Chini North Korea,
Kaskazini yupo INDIA,
AFU KWENYE DIMBA yumo mzee baba PUTIN
Aisee Hii formation sijui tuiiteje[emoji4]
Unataka zikaharibiwe wadhalilike kua silaha zao mbovu [emoji847][emoji847][emoji847] aaaa hawawezi mweeh [emoji3]Watu wanajiuliza Kama wanania njema kwanini wasiwape mpya[emoji4]
Ha ha ha....Unataka zikaharibiwe wadhalilike kua silaha zao mbovu [emoji847][emoji847][emoji847] aaaa hawawezi mweeh [emoji3]
Wito: Kichapo kiendelea[emoji16]Mwarobaini wa Bikra NATO pori...
Hiki kikundi mpk wafilimbwe ndio kitapata akili.
Hizo kauli za uingereza zisikutishe hao ni waoga kama nini, tena uingereza ya Churchill ilisha ondoka tena haiwezi kurudi tena hi ya Johnson haina lolote hata haiwezi kuanzisha vita peke yake bila US, uwezo wake au size yake ni nchi kama Zimbabwe, Russia is in other world in military arsenal.View attachment 2195345
View attachment 2195339
Yaani hawa mawaziri wote wa Uingereza wamezungumza kauli moja nyakati tofauti.
Tukumbuke Churchill alizungumza hii kauli baada ya kuona hakuna namna zaidi ya kuingia vitani na Hitler, Je huyu Boris anamaanisha nini kuzungumza hivi?
Hizi kauli mbona zinaogopesha? au ni ishara WWIII inakuja?
Kule Azovstal kutakua na askari wengi wa UK, kuna jambo halipo sawa hapa.
Mnagongwa au hamgongwi... Hata isipokuwa na rada... Mnagongeshwa au mmashinda !!?? Hata panya hana ujinga wa kufuata siagi KIZEMBE kama mnlivyo maNATO.Jeshi gani la superpower eti flagship ya fleet ina radar zinaengage upande mmoja tu. Hicho kichekesho hata Sweden huwezi kikuta na zile corvette zao za tani 5,000. Russia meli ya tani 12,000 inakuwa na radar zinaona upande mmoja, meli haijafanyiwa modifications kwenye defense wao wanaiburuza vitani
Na nyie SI mlipue .... Bana TakoPutin amegeukia tabia za Kiduku sasa, kulipua makombora kila siku ili kutishia nyau watu wazima.
Nilishakwambia achana na Petty issues.... Ila Kwa kuwa ni mtu wa kupuuzia nakuweka kundi la WAPUMBAVU wakomavu.Tinkov ameanza kumiss bata za Paris na Las Vegas
Hizo nchi zinakwenda kuunda ushirika wa kijeshi kama ule wa NATO. Zitaungana na Russia, Bialorus, .... yale majimbo matatu yaliyojitenga kutoka Ukraine. Kuna uwezekano wa nchi za BRICS na Latin America kujiunga.Kaazi kweli kweli,
Kulia CHINA,
Kushoto VIETNAM,
Chini North Korea,
Kaskazini yupo INDIA,
AFU KWENYE DIMBA yumo mzee baba PUTIN
Aisee Hii formation sijui tuiiteje[emoji4]
Ok shukrani mkuu nimekupata.......Uwa wanapiga mahesabu ili likangukie baharini.kwa faida yako na wengine hili sio kombola la nuclear bali hili ni kombola lenye uwezo wa kubeba vichwa vya nuclear.kwa iyo lazima ujue kuna vitu 2 tofauti,
Kwa iyo uwa kuna test ya vichwa vya nuclaer na pia kuna test ya kombola la kubebea vichwa vya nuclear.vichwa vya nuclear uwa kuna sehem maalum ya kutest ili kukwepa radiation(miyonzi) kusambaa ovyo.kuna sehem kule kazakhstan ndo uwa wanatestia vichwa vya nuclear.
Kwa iyo ilo kombola hata likianguka kwenye ardhi yetu basi madhara yake inakuwa ni sawa na kubeba kichwa cha treni juu alafu kukiachia kishuke chini.madhara yatakuwa tu lile eneo lilipofikia ila hakutakuwa na mlipuko wowote kwa sababu vilipuzi hamna ndani yake.
Hujui geopolitics kijana la sivyo usingeweka Nchi zenye active military conflicts Katika defense pact. Huyo India juzi wanajeshi wake wameuliwa na wa China katika mpaka wa Himalayas. Huyo China ana ugomvi na urussi wa mipaka. Naona nianze kuitisha karo sasaKaazi kweli kweli,
Kulia CHINA,
Kushoto VIETNAM,
Chini North Korea,
Kaskazini yupo INDIA,
AFU KWENYE DIMBA yumo mzee baba PUTIN
Aisee Hii formation sijui tuiiteje[emoji4]