Ha ha ha ...[emoji16][emoji106]Dah Warussia wanatisha Nguchiro wa Ukraine wanavunja madaraja kuepuka kutiwa nguvuni na Wasoviet hasa baada kusikia Wachechen wanatembea na mafuta mgando sikioniView attachment 2195454
Taarifa yenu imekanushwa na mamlaka za UkraineKama wanamakende mawili walipue ndege ya Marekani.
[emoji298]️White House: US sent five planes with military aid to Ukraine, more weapon deliveries to come.
White House Press Secretary Jen Psaki said the flights arrived within the last few days and another half dozen planes carrying military equipment will arrive in the near future.
Hakuna poo .... Ni kipondo tu.Russia refused the UN Secretary General's request for a four-day Easter truce in Ukraine
“Calls for peace and a ceasefire sound very false and insincere in these conditions, which in practice mean only a desire to give Kiev nationalists and radicals a breather so that they can regroup, receive new batches of drones, ATGMs and MANPADS, and along the way arrange new inhuman provocations” , - said the representative of Russia in the UN Security Council.
View attachment 2194987
Muongo uyo,Leta picha ya hiyo ndege kama unao, hizo ni propaganda za kutokitisha tamaa wanajeshi ws Ukuraini ulio zingirwa kwenye miji mingi hawana supply route yoyote .........
Kama mlivyotaka kufanya Syria.. .Russia ingevamia Korea Kaskazini kumuondoa Dikteta Kiduku nisingepinga, Napinga Russia kuivamia nchi yenye Rais aliyechaguliwa kidemokrasia kutaka kumuondoa na kuifanya hiyo nchi koloni lake.
Hamna ndege yoyote iliyotumwa,We jamaa. Basi kama unataka hivo .....sikio lako liwe open .....alafu zikidondoshwa hizo scraper usikimbie humu utulie
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Ha ha ha...Kichapo kimekolea mkuu[emoji16]US kashikwa ndipo eeh mpaka anaomba mazungumzo
Itakua huko MAURIOPOL kuna watu wao wamaana wamedakwa maana sio kwahuku kuhangaika kwao
Ila RUSSIA anachapika sana yaani sema wanatuficha tuuuu!!!!
Mimi NATAKA watume vikosi zichapwe, waache porojo[emoji4]NATO wameshikwa pabaya tuliwaambia RUSSIA sio ZIMBABWE
ila hawawezi wakafanya huu upuuzi labda wakawaokoe kwamazungumzo hapa sawa !!!!!
Sasa nani atahangaika zaidi !!!??hii vita muri atapoteza resources nyingi sana,ila ulaya nao watahangaika sana na maisha yatakuwa magumu kwao
Mkuu siku hizi ulisha kuwa mpiga porojo badala ya factKusema wako 6000 sija maanisha ya kwamba wanapigana kwenye kundi moja na wao wamegawana kwa makundi.
Ukiiondoa Kiev sidhani sidhani kama kuna eneo lingine lenye umuhimu mkubwa wa kiuchumi kwa Ukraine kama ukanda wa Azov hauwezi kulindwa kwa wanajeshi 5000 tu hapa tutabishana mwaka mzima.
Mkuu siku hizi ulisha kuwa mpiga porojo badala ya fact na ndio maana unasema Urusi akizidiwa chini ana haribu miji sasa nimekuuliza nitajie ni vita gani ambavyo huwa haviaribu miji mpaka sasa ujanijibu.
Habar njema Sana hiziWaasi wa ukraine wakisaidia na jeshi la Urusi hatimae wamechukua udhibiti wa mpaka unaotenganisha kati ya jimbo la Luhansk na jimbo la Kharkiv(kharkova).inamaana kuanzia sasa waasi waasi watakuwa wanaishambulia kharkiv kutokea upande wa kusini
Bora yeye wewe una ushabiki wa River Plate na Boca Juniors...Hujui unachoshabikia, haya ndio matatizo ya kutazama kila jambo kama ushabiki ya Yanga na Simba.
Ashindwe mara ngapi .... Ameshashindwa ...tawaleni sasa....Hadi sasa Urusi kashindwa vita na hii vita itampa hasara kubwa