Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

⚡The US wants to settle the S-400 matter with Turkey and Ankara is waiting for a new proposal from Washington on the Patriot air defence system, Turkey's Foreign Minister Cavusoglu says
 
The Prime Minister of Slovakia said that the country will pay for the May payment for gas received from Russia in euros: "this is our plan"
 
Vyombo vya habari vya magharibi vimeporomoka mno heshima na hadhi yake duniani kote...yaani Vita hivi vya Ukraine na Russia vimetoa funzo kubwa kuhusu weledi wa vyombo vya habari vya magharibi....HAKUNA KABISA WELEDI
Binafs siioni tofauti yao na Joti TV kule YouTube, Ukitaka kuzipima mbavu zako ka ziko sawa unaingia kujifurahisha...

Zaidi kingine nilichokiona ni kua kwa wale waliokuwa toka awali wakizitambua hizi media zilivyo, hao ndio walio nusurika kwenye hili janga la kua Mis-informed...

Ila wale waliokuwa wakiziamini kindaki ndaki, kiasi cha kila uchao wakiamka na BBC mapema tu asbh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi leo wanaamini Russia kachapika ovyoooooo...

Wanaamini kabisa Russia hana chakula, wanajesh wa Russia hawataki pigana, wanajesh wa Russia wanauza vifaru vyao kwa jeshi la Ukraine... Na wanaamini kabisa kua Zele ndio SHUJAA wao...

Kwenye dunia etu hii ya sasa bora ukose ela ila sio akili, na mara mia unyimwe elimu ila usinyimwe maarifa. Kwasabab elim bila maarifa ni "special type" of stupidity...
 
Alfabeti A mpaka Z ni uvumbuzi wa Phoenecians wa mashariki ya kati na Wagiriki.
Warusi wana alphabet zao ambazo wafuasi wake hamjui hata mojawapo.
 
Aljazeera sio TV ya west, ni mali ya serikali ya Qatar.
Baada ya kuona NATO ya humu haionekani nikaamua kuangalia ma TV yao na yenyewe yako bize na mambo mengine, yaani Aljazeera ndo mda wa kutuonyesha sisi wanyama wakati kuna vita Ukraine?, Tuonyesheni basi hata vifaru vya Urusi vinavyopigwa
 
GDP ya Russia ni $T1.7, GDP ya Texas ni $T1.9, ya California ni $T3.4
Fanya hesabu za kujumlisha na kutoa kama unazifahamu.
 
Wa wapi sasa maana Kyiv na miji mingine walikimbia baada ya kuona msafara wao unamong'onyelwa taratibu wakaelekea Mashariki kuficha aibu.
Yule mkulima mwizi wa vifaru vya urusi saiv kashachukua cha ngapi
 
Wapambe huwa wana kawaida hiyo, ndivyo walivyokuwa Sabaya, Bashite na Hapi.
Sema medvedev anakauli zakishujaa sana huyu mwamba
Ukimfatilia huyu hata PUT IN anangojea mbali sanaa
Kwasasa RUSSIA yenye vikwazo zaidi ya 7000+ RAIA wake wanaishi kwausalama na amani zaidi ya US na EU wote
 
Kwa iyo kwa mtazamo wako una amini ilo.yani nchi ya Urusi uchumi wake mdogo kuliko california
GDP ya Russia ni $T1.7, GDP ya Texas ni $T1.9, ya California ni $T3.4
Fanya hesabu za kujumlisha na kutoa kama unazifahamu.
 
Urusi hataki Dola, madeni anayodaiwa kwa Dola atalipa na nini??
 
Wa wapi sasa maana Kyiv na miji mingine walikimbia baada ya kuona msafara wao unamong'onyelwa taratibu wakaelekea Mashariki kuficha aibu.
Ila umesikia habari ya ivi punde.baada ya Urusi kushambulia maficho ya silaha mpya zilizoingia kwenye mji wa Odessa. Zelensk aomba akutanishwe na Putin kwa ajili ya Amani
 
Unapenda hesabu ila hujui namba,
Majeshi ya NATO yaliyoivamia Iraq maelfu ya Kilometa kutoka nchini mwao yalikwa na jumla ya wanajeshi 160,000, Majeshi ya Urusi yaliyoivamia Ukraine Km 0 kutoka nchini mwake yalikuwa na wanajeshi 150,000.
Iraq ilivamiwa na mataifa zaidi ya 20 wakati yy akiwa peke yake bila msaada wowote kutoka nje.
Ukraine imevamiwa na taifa moja wakati yy anasaidiwa na mataifa 30.
Sasa hapo uoni utofati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…