Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Inasikitisha sana
 
Hatuachani nayo, hatutaki kuwa kama Taifa la Kiduku au la Putin la watu kuuwawa na kupotea kiholela kisa wana mawazo tofauti na watawala.
Kama demokrasia hamuiwezi si muachane nayo
Mnatakiwa musaidiane wenyewe AFRIKA na VIONGOZI wenu kutegemea misada ndio maana mnalia lia kila leo
Acheni kulia lia nakupenda misaada ya watu
 
Na wengine wanaangalia kikapu cha NBA, wanwajua Michael Jordan, Kobe, LeBron James n.k kuliko hata wajomba wao!
Umu wengi wamejaa unafiki alfu ukiwakuta mabandani wanavyo tumbua macho kuangaria league za England ambazo waziponda utasema sio wao

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Linakula dray ration Beef na Biskuti
 
UONGO.

Taja silaha wanazotengeneza Ukraine.

Mwaka jana waliuza silaha zenye thamani ya kiasi gani na kwenye nchi zipi?
 
Alafu ni vitu 2 tofauti kufananisha ukraine na Iraq.iraq ilikuwa inaongozwa kwa mkono wa chuma wenye ukabila na udini ndani yake.
Saddam watu kutoka kabila lake na dhehebu lake aliwapa sana kipaumbele kuliko mtu yoyote yule,kwa iyo mpaka vita inaanza Iraq ilikuwa imegawika.

Kuna baadhi ya maeneo majeshi ya Muungano ayakupigana kabisa kwa sababu ya kuweka makubaliano na wakuu wa maeneo na makamanda wa vikosi
Unapenda hesabu ila hujui namba,
Majeshi ya NATO yaliyoivamia Iraq maelfu ya Kilometa kutoka nchini mwao yalikwa na jumla ya wanajeshi 160,000, Majeshi ya Urusi yaliyoivamia Ukraine Km 0 kutoka nchini mwake yalikuwa na wanajeshi 150,000.
Q
 
Unafanya nini Uingereza?
 
Kwa nini Russia anapendwa sana Duniani?
Hembu Thibitisha hilo.
 
Kama vita vya wazi tu na Ukaraine vimemtoa jasho hivyo mpaka akabaki kulipua miji na magazine ya raia unafikiri Guerillas wa DRC ambao msituni ndio nyumbani kwao atasogea hata hatua moja?!

Kwanza watapukutika na Malaria wote waokotwe kama kuku wenye kideri.
Yah nashangaa sana kongo wanajifanya awaoni kama warusi wapo kwa kazi izo.Wagner group wanatakiwa waje kongo kupiga kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…