Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wewe wa wapi?
Unataka ulishe tu watu matangopori ukikosolewa unafura kama kifutu!
Ww unaye teseka na mitazamo ya mwenzako ndo unywe maji ya baridi ili utulie.
 
Kuikosa Israel kumefanya nikutilie mashaka kidogo..
 
Ila Russia hakutangaza hii operation itaweza kuchukua siku tatu.Bali walichoweka wazi ni malengo ya operation,na hatua ya kwanza walishafanikiwa tayari kinachofuata ni second phase ya operation.
 
Ila Russia hakutangaza hii operation itaweza kuchukua siku tatu.Bali walichoweka wazi ni malengo ya operation,na hatua ya kwanza walishafanikiwa tayari kinachofuata ni second phase ya operation.
Mmeshabadilisha haikuwa siku tatu tena?
 
nafikir lengo ni kujipatia infornation
mana wale ka wakisarenda interogation yake sio ya kitoto na mule inasemekana kuna mageneral wakubwa wale watatoa msaada kwa kutumia njia za kuulizwa maswal zilizoboreshwa nao watajibu vizuri tu bila shida.watatoa taarifa muhim na nyeti
 
Leta hoja acha panici je Marekani hategemei mafuta ya Urusi Kama unavyo sema?
Au Marekani na Uingeleza hawajapiga marufuku ya Urusi lakini bado wanazidi kuyaagiza?
 
Big brain
 
Kuna Lt Gen. Mmoja wa jeshi la Canada "ali-resign" akaenda huko Ukraine inasemekana nae amenasa huko chini kiwandani.
 
UONGO MTUPU
Mahaba yako kwa Putin hadi unatengeneza takwimu za kubumba.
Ulipata wapai taarifa asilimia 90 ya silaha za Tanzania zinatoka Urusi??
Ww nipe takwimu sahihi silaha tunanunua wapi?
Usipo nunua silaha Urusi ununue wapi?

Nchi masikini ndio waagizaji wakubwa wa silaha za Urusi maana zina gharama nafuu na ni rahisi kuzitunza na kuziendesha, china tuna nunua lakini ni mara chacha mno maana silaha zao hazina ubora na zinaharibika hovyo hovyo.

Silaha tunazo nunua kwenye nchi za magharibi ni zile ndogondogo ambazo haziitaji matengenezo ya mara kwa mara kama risasi, bunduki lakini silaha kubwa kubwa zina toka Urusi au china na kama kuna zingine za kimagharibi basi ni chache sana.
Hata kwenye sherehe za uhuru ambapo maonesho ya kijeshi huwa yana fanyika vifaru vyote na mifumo ya ulinzi yote , magari yote ni yale yaliyo tengenezwa nchi Urusi.

Silaha za kimagharibi ni gharama sana nchi kama Tz haina uwezo wa kuzinunua au kuzitunza, kenya yenyewe inayo jifanya wakala wa mabeberu E.Afrika bado silaha zake nyingi inanua Urusi.
 
⚡️Oil storage depot in Russia’s city of Bryansk catches fire.

A large fire was reported early on April 25 at an oil storage facility in Bryansk, Russian news agencies reported, citing the emergency services ministry. There are no further details at the moment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…