Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
NATO wanaweza[emoji23][emoji23][emoji23]Putin anatakiwa awekwe kwenye kundi la magaidi wanaotishia usalama wa dunia kisha adhibitiwe kivovote.
Haijalishi itacost maisha ya watu kiasi gani potelea mbali,ila wakimnyenyekea atakua anafanya anachojisikia kwa nchi yeyote anayohisi anaweza kupata anachotaka.
Dunia ilipofika sio ya mtu tu akijisikia sehemu fulani iwe yake anaichukua kisa tu anajiona ana nguvu ya kufanya hivo.
Hii ni kuondoa uhuru wa taifa husika na kutoheshimu tawala za wenzie.
Nchi zenye nguvu amueni tu moja kama dunia kuisha iishe tu kuliko kufuata matakwa ya huyo limbukeni wa maisha.
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Kipigo[emoji4][emoji4][emoji4]Mabeberu yabaini kuwa kuzidi kupeleka silaha Ukraine kunazidi kuiharibu na kuiangamiza Ukraine yenyewe, maana kichapo ndio kinaendelea zaidi na zaidi kila kukicha
View attachment 2202811
Nitakubali,Mke wako au demu wako akilala na kisu pembeni utakubali ??
USITOKEKutokana na matusi na ujinga uliojaa humu, nimeamua kujiondoa kutoka kwa huu Uzi.
Inasikitisha saana kwa kwel
Upo sawaIla hiyo picha ukiiangalia vizuri huyo mtu so Putin Ni Kama afanana nae tu
Umejuaje ?Lengo la Ukraine ni kulipua mabomba yapelekayo mafuta Ulaya
Good move
Mzee wa inasikitisha sanaInasikitisha saana kwa kwel
Nitakubali,
[emoji1787][emoji16]Nilifikiri aliyeanza kutumia internet kuanzia miaka ya 2000 hadi 2010 anakuwa mjanja wa fikra kumbe hali ni tofauti. Angalia anachokiandika nyamizi na member anayeitwa UPOPO. Huyo popo bawa nimeshamuweka kwenye ignore list kwa kushindwa kwake kuthibitisha madai yake ya kwamba putin alipanga kuiteka kiev kwa siku 3.