babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,949
- 6,754
Si wote tunakereka na comments zako. Wengine unatuchekesha na kutushangaza kwa ufahamu wako ulivyo mdogo.Hapa kuna button moja naomba ubonyeze ya Ignore list,fanya haraka usiwe unaona comment zangu,vinginevyo nitakukera kweli kweli,angalia usije rusha ngumi hadi kwa mke wako kisa comment zangu kuhusu Putin[emoji4]
Na uranium anazizalisha kwenye viwanda vyake[emoji28]Hizi unajua nchi kama France na UK Zaidi ya 60% ya Nishati ya umeme inatokana na Nuclear.
Unajua kuwa USA now Karibu Nusu ya Carriers zake na Subs Zinatumia Nuclear fission?
sasa hata ukisema hukubali utalipa kwa Euro ila hela inayomfikia ni rubble unakuwa umekwepa nini!?Kifupi amefanikiwa kulinda pesa yake dhidi ya unfriendly countries.
Hivyo ukiweza kufungua account kwake ukalipa kwa pesa yeyote hakuna shida.
Hii issue ya wamekubali Rubble au wamekataa haina tena mashiko.
Wengi wana fact sio mihemuko! Mrusi hana baya ila wajinga wajinga ndio wanamuona jauWanaoitetea urusi katika mzozo huu wako vizuri sana kwa hoja compared to watetezi wa NATO/Ukraine/USA.
Sissmi haya kishabiki,fatilia majaduliano utajua
Putin na mmarekani nani gaidi!?Putin anatakiwa awekwe kwenye kundi la magaidi wanaotishia usalama wa dunia kisha adhibitiwe kivovote.
Haijalishi itacost maisha ya watu kiasi gani potelea mbali,ila wakimnyenyekea atakua anafanya anachojisikia kwa nchi yeyote anayohisi anaweza kupata anachotaka.
Dunia ilipofika sio ya mtu tu akijisikia sehemu fulani iwe yake anaichukua kisa tu anajiona ana nguvu ya kufanya hivo.
Hii ni kuondoa uhuru wa taifa husika na kutoheshimu tawala za wenzie.
Nchi zenye nguvu amueni tu moja kama dunia kuisha iishe tu kuliko kufuata matakwa ya huyo limbukeni wa maisha.
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
mrusi ashushe satan 3 tu hapo ukraine kazi iishe halafu atokee kihere here mwengine wa kupambana tuone!Marekani hataki patulie ili amuumize Urusi kiuchumi, maana atapigana daily anatumia mapesa mengi sana
Maamuzi aliyofanya Putin ni sawa na Kaka wa familia kuamua kumnyoosha mdogo wake ambaye ameingia balehe na kujifanya much know😅!Sio wewe ambae una mshangaa Ukraine ambae anapigania nchi yake..!
We jambazi akija kwenye familia yako inaonekana akitaka Hilo kalio unaweza kutoa mbele ya familia.. Kama ambavyo mnataka Ukraine afanye
Huyo mnae msema ni comedy ndie mwanaume ambae hayuko tayali kuongozwa na kupangiwa.
#warusi wa buza mna akili kama za putin. Ndio maana umekimbilia kutusi
Kunazidi kuwa kutamuNi sehemu ya Maldova imejitenga inataka uhuru wake kama Luhansk na Donetsk ipo jirani na Odessa na wanaongea kirusi.... Ngoma ngumu
Bila Shaka mkuu,ni kisu balaaKwa hiyo mwamba put in ndo anamega hii keki au
nimeuliza tu wakuu....[emoji3][emoji3]
Unajua chanzo cha hii vita,au Unaandika ujinga? Hujui kwamba Urusi ndio amechokozwa?Suala siyo kuua raia au kuwabebea mabegi ..,.suala ni haki taifa fulani kulivamia taifa jingine na kujimilikisha eneo...???
Usiumize kichwa arejee report ya IMF wiki ya juzi tu ambako walisema umoja wa ulaya hata miezi mitatu haitotoshaWw jamaa acha kutufanya mazuzu humu.
Maana umekuwa ukiongea mambo kana kwamba ww pekee ndio mfuatiaji wa mambo yanavyo enda duniani.
Nimesha kwambia na ninarudia kukwambia hayo maneno ya sijui kupuguza utegemezi wa mafuta na gesi ya Urusi ni ya kisiasa tu lakini kiuchumi haliwezekani kwa haraka kama ww unavyo taka kutuaminisha.
Mpaka sasa hakuna kiwango chochote cha mafuta kwenda kwenye nchi za magharibi kilicho pungua bali kimeongezeka zaidi ya aslimia 20.
Hiyo Poland unayo isema itaanza kulazimika kununu gesi ya Urusi kupitia nchi nyingine kama Ujerumani tena kwa bei kubwa.
Marekani kapiga marufuku mafuta ya Urusi lakini marufuku hiyo imebaki kwenye makaratasi tu ila utekelezaji wake umekuwa ni mgumu bado meli za mafuta ya Urusi linaendelea kutia nanga kwenye bandari za Marekani.
% kubwa Tanzania inapata mafunzo ya kijeshi kutoka Urusi,90% ya silaha eg bunduki za JWTZ na polisi, yaani AKA 47,zinatoks urusi. Tanzania kupiga Kura ya kutokuunga mkono upande wowote sio wajingaNi kwamba hujui au umeamua kujichomoa ubongo!?
Zaidi ya gesi na mafuta vipo vingi bado vya kufata Russia
1. Vyakula - pengine bila ngano ya urusi ungekuwa ushakufa njaa hapa TZ au ungekuwa unataabika na malnutrition. Urusi ni moja ya mzalishaji mkubwa wa cereal crops i.e. wheat barley corn duniani Pia mafut
a ya alizeti
2. Silaha - % zaidi ya 50 ya silaha znazotumika kulinda nchi yako uko salama mpk unaingia jf zinatoka urusi. FYI Urusi anashika nafasi ya pili wa exportation ya silaha dunani. wanauza mpaka kwa member wa NATO ref. Turkey na Russian made s400.
3. Raw materials - hapa sasa ndio kuna utitiri wa vitu kuanzia chuma, nickel, cobalt, vanadium, platinum, aluminium, uranium, gold, manganese, copper, tungsten, zinc, lead, etc
4. Nitrogen based fertilisers kwa maendeleo ya kilimo duniani mbolea ya mrusi ni muhimu
5. Machinery and equipments (mechanical) unajua hata US wanategemea Urusi wapate mainjini ya kurushia maroketi yao
6. Etc.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Unaijua CAR, au Niger hizi nchi mbili pekee zina Uranium ya kutosha kuuzia Dunia nzima... Na tofauti ya Uranium na fossils fuels, you only need 1Gram to produce 1MegaWatts so usitarajie Russia kumtisha mtu yoyote na Uranium yakeNa uranium anazizalisha kwenye viwanda vyake[emoji28]
Bado atapiga magoti kwa Russia kupata uranium. La sivyo Russia akinuna hayo manyambizi yake yatageuka matoi. Au aje kuvamia Dodoma na Singida achimbe maana Iran hataambulia kitu.
Uzuri akija Tanzania atapata raha kwani vijana wapo tayari wanaomshabikia. Wanaweza kukidhi haja zao za mwili
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
France sehemu kubwa ya Uranium yake inatoka Africa Magharibi ndio maana France Wana Majeshi Baadhi ya NchiNa uranium anazizalisha kwenye viwanda vyake[emoji28]
Bado atapiga magoti kwa Russia kupata uranium. La sivyo Russia akinuna hayo manyambizi yake yatageuka matoi. Au aje kuvamia Dodoma na Singida achimbe maana Iran hataambulia kitu.
Uzuri akija Tanzania atapata raha kwani vijana wapo tayari wanaomshabikia. Wanaweza kukidhi haja zao za mwili
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
We ndio hauko sawa,Yaani uishabikie Simba ukiitwa mshabiki wa Simba uchukie!!!
Uko sawa kweli...!?
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Afu mfano wako ni wa kipuuzi sana Kama we mwenyewe ulivyo,Yaani uishabikie Simba ukiitwa mshabiki wa Simba uchukie!!!
Uko sawa kweli...!?
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Nafikiri ulisoma kitu kinaitwa "sovereignty" ?Maamuzi aliyofanya Putin ni sawa na Kaka wa familia kuamua kumnyoosha mdogo wake ambaye ameingia balehe na kujifanya much know[emoji28]!
Anaambiwa achana na magrupu ya kijinga komaa na shule analeta ujuaji mwisho wa siku anakula kipondo anaanza kusema we sio babaangu kwanini unipige?
Ila upuuzi anaotaka kufanya utakuja kumpa mzigo kakaake wa kumlisha akiwa mtu mzima