Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Umefikiri vyema
Kuhusiana na hao wa AZAM niwakuwapuuza hawana wanalolijua kenge hao
 
Hapa ndo unakuja kuona jinsi gani hao wazungu walivyo wajinga kwenye mambo ya uchumi.

Hao hao wanaamini kuendelea kupeleka silaha Ukraine (kurefusha vita) kutaidhofisha urusi kiuchumi na kijeshi, bado hao hao wanaipatia urusi mabilion ya dollar kila siku kupitia nishati pekee tena kwa ruble.

Sasa ndugu zangu hebu tujaribu tu kujiuliza swali dogo, katika kipindi hiki cha hii operation ninani katia ya Urusi na Ukraine anaepokea mpunga mrefu kutoka kwa nchi za EU na USA?

Yani mtu unamuingizia faida ya zaidi ya Tsh100trillions/month kwenye nishati pekee halafu bado unaamini atakata pumzi kweli?

At the same time Ukraine unampa msaada wa $800M tena kwa mafungu mafungu ili amshinde unaempatia zaidi ya $47b / month kweli!?

Ama kweli wazungu wenye akili walikuwa kina isac Newton, Albert Einstein na n.k na siyo hawa wazungu wajinga wajinga wasio jua hata wanachokifanya.

My take; USA na EU wakitaka Urus ikate upepo kwenye hii operation wakubali kutonunua chochote kutoka Urusi ikiwemo gesi na mafuta ili wagande kwa baridi na njaa iwapige mpaka wanyoke ndo na putini akate upepo kwa kukosa pesa za kuendeshea operation yake otherwise anaweza endesha hii operation hata kwa miaka 10 bila kugusa hela yake zaidi ya faida anayoipata kwa hao wazungu ukoko wa EU na USA.

Uhalisia; Russia kwa EU ni sawa na maji ukiyakwepa kuyaoga, utayanywa.

#Urusi siyo visiwa vya Comoros.
 
Brother naona unaongea vitu usivyovijua kabisa.makampuni ya magari yaliyondoka Urusi yalikuwa yanatengeneza magari ndani ya Urusi na kuuza urusi kwa sababu ni biashara ya kimataifa inataka ivyo wala sio kwamba Urusi hakuna kampuni za kirusi za kutengeneza magari.

Kwa iyo kuondoka kwao kunawapa faida kampuni za nyumbani kuuza kwa asilimia 100 wakati labda mwanzo walikuwa wanauza asilimia 50.na Uzuri wa izi kampuni za kirusi kila kitu kinatoka urusi wala hakuna hata spare inayotoka magharibi
 
Sasa unanileta mchoro hauna hata heading. Source ya data hizo ni wapi!? Nani kazitunga!?

Russia hawajabadili price za bidhaa zao. Nyie na USA ndio mnahangaika.
Nikweli nilikata chanzo. Basi: Crude oil prices weekly 2022 | Statista
menginevyo tafadhali fungua macho usome: Hii bei inayoonyeshwa ni "OPEC-basket". kama hujasikia, tafadhali utumie google kupata jibu. Ni aina ya bei ya wastani. OPEC inatoa data hizo kila wiki.
Urusi unabadilisha bei ya mafuta na gesi muda wote, ambayo ni kawaida. maana kuna yale yanayouzwa katika mikataba ya miaka au miezi fulani; hapa hawawezi kubadilisha bei.
Lakini sehemu nyingine inauzwa kwa "spot" yaani bei ya siku, inayotegemea na mwendo wa soko.
 
Hachav kuotav.
 
Unaijua CAR, au Niger hizi nchi mbili pekee zina Uranium ya kutosha kuuzia Dunia nzima... Na tofauti ya Uranium na fossils fuels, you only need 1Gram to produce 1MegaWatts so usitarajie Russia kumtisha mtu yoyote na Uranium yake
CAR ni ally wa Urusi, mpaka kufikia lugha ya kirusi kuanza kufundishwa kwenye mitaala ya elimu huko.

Wagner group Ina mizizi kwenye masuala ya ulinzi wa raisi wa Taifa hilo, mpaka kupambana na vikosi vya waasi kwenye Taifa hilo.

Hata hio Niger ipo under Russian influence,

Serikari za Afrika huwa hazitabiriki lakini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbona mwamba unaumia sana na mkutukana mweusi mwenzio wazazi wake kwani kasema wewe ndio Ni shoga.

Kwani hao watu wamagharibi sio mashoga mbona wao wamekubali na kuuweka kabisa makanisani na watu wanafungishwa ndoa na wanataka kuamasisha dunia nzima. Je jamaa kakosea kuwaita mashoga. ProNato mbona mnaumia tunavyosema mabaya ya mabwana zenu.

Yaani nato wamefanya hayo yote

Halocaust
Colonialism
Nagasaki and heroshima
Racism and Racial segregation
Invasion of other countries
Homosexual
Neo colonialism

Nasibitisha yakua Nato ni kizazi Cha watu wahovyohovyo na kinatumiwa Sana na shetani kwa sasa. Na hawa proNato Ni watu wanaoshadadia mambo ya hovyohovyo na soon watukuwa watu wa hovyohovyo
 
Ngoja nikusaidie kwa kukuweka kwa hiyo list,wasalimie Kremlin[emoji5]
 
Imeisha hio mkuu.
 
Mwana unaniletea Statistics za OPEC huku ukiongelea Urusi!? Kweli mwanangu.
Urusi hayumo kwenye ushirika huo wa OPEC mwanangu.
Nimekuambia kwamba Urusi hajabadili bei ya mafuta lakini mapato yake yameongezeka.

Nimekuuliza kwanini mapato yameongezeka!?
 
Na kwa taarifa tu hakuna kifaa chochote kwenye dunia hii ambacho Urusi atengenezi.kama kipo nitajie.mashine yoyote unayoijua wewe basi Urusi anatengeneza
 
Watz bana yaani unakuja na Uzi mwepesi kabisa, tatizo mmezoea kusikiliza udaku, hakuna nchi inayotaka silaha zake ziteketezwe ni harasa kubwa na molali ya askari inashuka
 
Ndio maana yule jamaa alikua akisema sisi Ni Donor country majamaa yanamshangaa saaaana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…