Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii orodha tumeshaona mara kadhaa tumeshajadili. Nilikudai taja bidhaa (ambazo si malighafi, mazao au malighafi zilizosafishwa tu kama feleji, alumini) na hazitegemei vipuli kutoka US-EU zinazouzwa kimataifa - mfano katika "Machinery including computers: $10.7 billion (2.2%)".
Naomba mifano yako! Naweza kupata wapi Kariakoo (maana napata vitu vingi vya China, naweza kupata pia Apple, Daimler.... Korea, japani... - naweza kupata nini kutoka Urusi?)
 
Kwenye hii hoja yako na uzi kwa ujumla nilipenda kuona mchango wa MALCOM LUMUMBA ingawa sijabahatika kuona walau like yake humu.
Asante kwa input yake hii mkuu.
 
Umeulizwa swali hata AKA 47 Huijui mwanangu!?
Unajaribu kujificha? Ulitaka kunifundisha uzuri wa uzalishaji wa bidhaa urusi ukaleta picha ya ndege MC-21 ambayo hali halisi hakuna abiria anayeweza kupanda? (ukipinga nionyeshe flight plan yake! - shirika gani? kwenda wapi? saa??) Hadi sasa walishindwa kuitengeneza kitasnia, hadi sasa ni ndege chache zilizotengenezwa kwa majaribio na ukaguzi. Tena wanahitaji kutafuta injini mpya maana waliipanga kwa mota ya Pratt&Whitney. Tena walitegemea aina za plastiki/metali kwenye mabawa ambayo hawawezi kupata tena kutoka Marekani, hapa walisema juzi tu waliunda mbadala. Elektroniki yote walitegemea makampuni ya marekani kama vile Rockwell Collins, Honeywell, Thales, Elbit Systems na UTC Aerospace Systems.
Sijaona habari za mwisho lakini naona makampuni hayo hayataweza kuendelea na mikataba yao.

(halafu ukitaka kuniambia tena "Urusi inatengeneza kila kitu" - tuambie kwa nini waliagiza vitu hivi vyote Marekani???)

Kwa hiyo uzalishaji halisi utaendelea kuchelewa. Hii ni sababu kwamba waliamua kukamata ndege mia kadhaa za Airbus na Boeing ambazo ziliazimwa kutoka makampuni ya magharibi ili waweze kuendelea na usafiri ndani ya Urusi.

Hadi sasa MC-21 ni kama kifaru cha T-14 au ile Sukhoi-57 ambazo hazipo hali halisi, kuna mifano michache kwa paredi na maonyesho, lakini si kwa matumizi halisi.
 
Nimekueleza mawazo yako bado ni ya kitoto. Huijui Russia. Ngoja naendelea kukutoa tongotongo. Sisi tulioishi urusi tunajua.

Aurus Motors


 
Mzee mimi leo nataka nikuangamize kwa references.
MC-21 Nakuwekea na website


 
Mkuu umeuliza swari gani hili?
Kwa hiyo hata Ak_47 na yenyewe imetengenezwa na vipuri kutoka Marekani?


Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Silaha tumewahi kujadili juu. AK-47 ilibuniwa Urusi, ilitengenzwa huko tangu mwaka 1947, tangu miaka mingi ilitengenzwa katika nchi nyingi duniani: Albania , Armenia , Azerbaijan , Bangladesh , Bulgaria , Cambodia , China , Colombia , Croatia , Cuba , Egypt , Ethiopia , Finland , Hungary , India , Iran , Iraq , Israel , Italy , Nigeria , North Korea , Pakistan , Poland , Romania , South Africa , Sudan , Ukraine , United States , Vietnam , Venezuela , Yugoslavia na Serbia.
Faida yake ni silaha sahili sana na rahisi; kwa hiyo wanamigambo katika nchi nyingi wanaitumia, inapatikana kirahisi. Majeshi mengi wameacha kuitumia, Urusi penyewe waliacha tangu miaka zaidi ya 40.
AK-47 ni silaha ya makumbusho inayotumiwa bado katika nchi maskini. Hii mfano wako wa Russian hightech???
 
Mzee mimi leo nataka nikuangamize kwa references.
MC-21 Nakuwekea na website

View attachment 2205394
 

Kh-47M2 Kinzhal Made in Russia​

 
Ww umesema hakuna bidhaa yeyote ya Urusi isiyo tengenezwa kwa vipuri kutoka Marekani na Ulaya na mm nikakuuliza je na Ak-47 na yenyewe imtengenezwa na vipuri kutoka Marekani?

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 

RS-24 Yars MADE IN RUSIA​


Operational range
11,000 km (6,800 mi)-12,000 km (7,500 mi)
Maximum speed
over Mach 20 (24,500 km/h; 15,200 mph; 6,810 m/s)
 

RT-2PM Topol MADE IN RUSSIA​



Operationalrange
11,000 km (6,800 mi)
Maximum speed
approx. 7 kilometres per second (25,000 km/h; 16,000 mph; Mach 21)
 
Kwani wanapouza hiyo gesi Warusi, wanaiuza kwa market current price au Ile price waliyoingia nayo mkataba.

Kama wanaiuza kwa qouted price wakati wanaingia mkataba na nchi au kampuni Fulani,
Basi kupanda kwake kwa mapato (Revenue) basi huwa ni kiwango Cha bidhaa kuagizwa zaidi.

Ila kama wanauza kwa current market price basi mtoa hoja angekuwa na maana ila sio namna international trade inavyofanyika.

Mapato ya gesi ya Urusi yamepanda sio kwa sababu bei imepanda Bali kiwango Cha uagizaji kimeongezeka.
 
Ukipata nafasi andika mengi zaidi kuhusu Russia mkuu,
 
Nimekueleza mawazo yako bado ni ya kitoto. Huijui Russia. Ngoja naendelea kukutoa tongotongo. Sisi tulioishi urusi tunajua.

Aurus Motors
View attachment 2205391

wewe hakika hujui ninachojua au sijui mimi. na mengi mengine.
Kwa hiyo, tumeshaelewana mfano wako wa ndege MC-21 ni feki?
Haya sasa unaleta gari. Linapendeza. Aurus - wanatengeneza magari 150 kwa mwaka.
Nikiangalia wapi - kiwanda ni cha FORD-Urusi mjini Vsevolozhsk- ulijua? (Ford wameondoka tangu vita imeanza - tuone kama wataendelea??)
Tuone!
 

RT-2PM2 Topol-M Made in Russia​



Operational range
11,000 km (6,800 mi)
Maximum speed
7,320 metres per second (26,400 km/h; 16,400 mph; Mach 22)[
 
Wanauza kwa namna zote mbili. Kampuni inaweza kufanya mkataba tuseme kwa miaka 2 au 5. Lakini makampuni mengi hayataagiza mahitaji yote kwa kipindi hiki kwa sababu wanajua bei inacheza, kwa hiyo wanakadiria sehemu wanunue kwenye soko huru ("spot market") wakati bei zinashuka. Hasa wakiwa na nafasi ya kuhifadhi gesi au mafuta kwa muda. Kwa hiyo wakati wa mvurugo tangu vita kuanza, bei ya gesi ya kimkataba haikubadilika, lakini bei ya gesi iliyouzwa kwenye spot. - Pamoja na hayo ni dhahiri makampuni yasiyo machache yalinunua haraka akiba ya mafuta kabla ya kuja kwa vikwazo.
 
Unaumia sana. Neda kajisomee hapa nimekupatia link. Unajua kurusi lakini!?
Hujui Tanzania ilishaweka oda ya ndege hizi.
MC-21


 

RS-28 Sarmat MADE IN RUSSIA​




Operational range
18,000 kilometres (11,000 mi)
Maximum speed
Mach 20.7; 25,560 km/h (15,880 mph); 7.1 km/s (4.4 mi/s)
 

RT-2PM Topol MADE IN RUSSIA​

View attachment 2205407

Operationalrange
11,000 km (6,800 mi)
Maximum speed
approx. 7 kilometres per second (25,000 km/h; 16,000 mph; Mach 21)
Nimeshaona unapenda picha nzuri hupendi kujadili. Sema: Hii roketi inasaidia nini??
Hata leo Urusi ina uwezo kuangamiza Marekani mara kadhaa; vilevile Marekani ina uwezo kuangamiza Urusi mara kadhaa. Ilhali tunakufa mara moja tu
(isipokuwa James Bond katika filamu "You Only Live Twice "), itasaidia nini wakiongeza nafasi ya kuangamiza Marekani mara 12 badala ya 11 tu???
hapo sababu Marekani walitangaza hawaoni tishio katika roketi hii. na mimi nakubali.

Kwa hiyo acha picha zako za kitoto, jieleze kido. Ukiweza, angalau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…