Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Amana zipi mzee. Hapa tunaongelea issue ya Security. Ni NATO pamoja na Russia.Hii hoja ukiisoma kwa haraka ni kama ina nguvu.
Swali ni baada ya USSR kusambaratika madeni na amana zake zilibebwa na nani?
Ni sawa unaponunua kampuni unanunua mali na madeni pia!
USSR ilivunjika yenyewe kwa kushindwa kujisustain, siyo kwamba ilijivunja kutokana na makubaliano ya NATO. Wakati wa makubaliano hayo Waziri wa mambo ya nje alikuwa Eduardo Shervadnaze akitokea Georgia, Waziri Mkuu alikuwa Nikolai Ivanovich Ryzhkov akitokea Ukraine; hawakuingia makubaliano hayo kwa ajili ya Russia wakati wao siyo raia wa Russia bali waliingia makubaliano kwa niaba ya USSR.Agreement ya 1990 ilikuwa btn Russia and NATO ilikwamba USSR iweze kuvunjika. Ndio maana baada ya makubakiano hayo USSR ikavunjika. Soma vitu. Nitakuletea documents
Media uchwara bana.
The Russian Defense Ministry showed how Ka-52 Alligators destroy military facilities and equipment on the territory of Ukraine.
View attachment 2207129
Hivi Nyie BBC mna akili kweli??? TANZANIA gas iko wapi ???+
Ukakazia kabisa kwa kupiga makelele na Uppercase comment[emoji3]somevtussues. NDIO TERMINOLOGY GANI HII ??
mrusi sio fala aisee Putin ni kichwa sanaHapa ndo unakuja kujua Russia ilivyo na vichwa smart, yani wazungu wameshikwa pabaya mno na Russia kuliko walivyoishika wao.
Hapo anasubiri tu watikise makalio wazipige mnada reserves zake nayeye azipige mnada reserves zao.
EU bila USA anaiogopa mno Urusi na USA bila NATO anaigopa mno Urusi.
Urusi imekuja kutufunulia mambo mengi sana sisi wamakonde wa nchi za dunia ya tatu hadi leo tumejua kuwa zaidi ya 60% ya uchumi wa nchi za EU upo mikononi mwa Mrusi.
Hakika Urusi siyo Zimbabwe.
Maisha Ni Vita,Bila Vita hakuna Maisha.Hata mipaka mingi ya mataifa mengi duniani iliwekwa kutokana na Vita.Watu wafe, taifa libaki; ndivyo matokeo ya vita yalivyo
Tatizo ni hao wanaopoteza maisha, na uchungu kuamia kwenye familia; huku taifa likisonga mbele.Maisha Ni Vita,Bila Vita hakuna Maisha.Hata mipaka mingi ya mataifa mengi duniani iliwekwa kutokana na Vita.
Baada ya USSR kuvunjika, kila state ikachukua madeni na mali zilizokuwa kwenye ardhi yake. Kwa hiyo Tajikistan ikachukua deck za kurusha maroketi ya anga za juu pamoja na madeni yote yaliyotakana na madeck hayo, na hadi leo Urusi wanailipa Tajikistani wanapotaka kurusha maroketi yao, na Ukraine ikachukua mitambo yote ya Nyuklia, viwanda vyote vya kijeshi pamoja vilivyokuwa katika ardhi ile pamoja na madeni yote yaliyotakana na mambo hayo. Clinton alifanya juhudi sana za kuiaminisiha Ukraine iharibu makombora ya Nyuklia iliyokuwa imerithi na kufikia yale makubaliano ya Budapest Memorandum ambapo pamoja na mambo mengine yalikuwa yanaitaka Urusi kulinda usalama wa Ukraine, na Ukraine ikaikbaidhi Urusi makombora yale ya Nyuklia, lakini huyu Putin kakiuka makubaliano hayo, ila analilia makubaliano ya USSR ambayo yalishapitwa na wakati.Hii hoja ukiisoma kwa haraka ni kama ina nguvu.
Swali ni baada ya USSR kusambaratika madeni na amana zake zilibebwa na nani?
Ni sawa unaponunua kampuni unanunua mali na madeni pia!
show kali kumbe π ile ngoma ya Trump lazma bidden aicheze akiwa hapo hapo Washington DCWale Pro USA ndugu zenu huko wanalalamika hawaungwi mkono ndo kwanza wana msupport PUTTIN View attachment 2207493
Nakumbuka ile thred chiefNilipo waambia dunia inasubiri jambo moja mlifikiri masihara...
Duh...Kichuguu nawe bwana acha hizo aisee...You should go back to history and geo-politics studies...You are talking of evil actions?? What about evil intentions and agenda? Who are the enemies of NATO?The Agreement between NATO and USSR does not apply today since USSR is extinct. At that time USSR included countries like Latvia and Lithuania who are members of NATO today. Do not justify evil actions by using wrong information.
Hela za Russia kibau zimezuiliwa nchi za magharibi hivyo zitumiwe kuikarabati Ukraine. That's all.
Wewe Bado unamuamini Putin Pamoja na kushindwa kote huko na kinchi kidogo,ambacho kilikuwa Jimbo lake?π€Ma Ukraine na NATO wajiandae kwa kichapo mara kumi zaidi
ππππwe jamaa noma sanaInasemekana kutokana na matatizo hayo ya kiafya, shoigu alimuintroduce kwa mganga wa kienyeji ambaye huwa anamtibu kwa kumuosha kwa damu ya mnyama anaitwa "antler", japo tiba hii inasemekana kukubalika sana huko rusia.
mahusiano ya huyu shoigu na putin yawezekana (kwa mtazamo wangu) yakawa yanakaribia kufanana na yale ya bashite na mwendazake, huyu shoigu anaakili za kienyeji sana, vifalu vya urusi vilivyoshindwa kuiteka kiev inasemekana vilikuwa vimezungushiwa ma -mbao kama kinga dhidi ya mizinga, yaani style fulani hivi kama ya majimaji war. matokeo yake wote tunayajua.
Hizo ni takwimu za propaganda kwa mujibu wa Zelensyk. Tunataka ukweli na siyo propaganda.Kama Russia kwa muda huu wa uvamizi wao hadi sasa wamepoteza majenerali 9 na makanali 36 ambao ni viongozi wa ngazi za juu namna hiyo basi wanajeshi wa kawaida waliowapoteza watakuwa ni wengi sana.
Kwa muda mfupi wamepoteza maaskari wengi zaidi ya waliopoteza Afghanistan, Chechnya, Georgia na Syria. Ni pigo kubwa sana kwa kweli.