Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nakubriana na wewe 100% Hao wengi wanaojiita Wana wa Israel siyo kweli wengi wao siyo wayaudi bali ni Watu kutoka Rusia.
 
Duuh mi napataga habari za Bavar, ma ballistic missiles basi 😂 najuaga wajuba wao ni misilaha tu
 
Inafaa Putin aende mwenyewe binafsi kuongoza mapambano huko Mariupol ili kumaliza hii operation kwa haraka.
britanicca Nyamizi Maghayo Frank Wanjiru Coco reborn Tsh Root T14 Armata
 
[emoji23][emoji23] doh,wewe unapata taabu sana kuliko hata waliopo pale Kremlin
Naskia Urusi anavyotembeza kichapo hamlali kwa maumivu[emoji23], ila usjali Urusi anafanya operations hii ili kuwaondoa magaidi mpakani mwake so usiumie sana
 

Mkuu upo sahihi lakini ukichimba sana utakuta wengi wana mahusiano na US kinafiki yote sababu ya maslahi tu.

Mataifa yenye mahusiano na US ukiangalia kwa undani utaona ni unafiki tu wengi wanaogopa vikwazo hii ndo sababu. Juzi kati hapa mfalme wa Saudia alikua anagomea simu za biden.

US anatumia sanctions kma fimbo ya kuchapia endapo utashindwa kwenda nae sawa, itafika muda vikwazo haitakua fimbo tena kwa US mfano mzr tumeona Russia mpaka Zimbabwe anataka kwenda Russia kuchukua somo[emoji28].

Russia atakomboa nchi nyingi ambazo zipo kwenye pressure ya US kwa uoga wa vikwazo Russia mpaka sasa kaonyesha njia, tulichojifunza mpaka sasa mataifa yameanza tumia pesa zao kwenye mauzo ya bidhaa zao mfano tumeona Russia kaswitch ruble, Saudia ameingia mkataba na china wa kutumia yuan, India nae tumeona anatumia Ruppee.

Marekani hana ushawishi Asia wanamuunga mkono kinafiki kabisaaa kwa ajili ya maslahi ya uchumi wao. Kuna article moja niliisoma online inasema US yuko kwenye mpango wa muda mrefu kuipeleka dunia kwenye NWO na anatumia sanctions kwa mataifa ambayo hayakubalian nae au vita kabisa ili kutimiza lengo lake tumeona Libya, Iran, nchi nyingi zinapewa vikwazo bila sababu mfano turkey sahv Russia.

Tunakoenda sanctions haitakua fimbo tena hapa mpaka Africa tutaivimbia US.
 
Kadiri mnavyobinuka makalio kwa kufurahia hii vita fanyeni hivo hivo EWURA anapokuaja na bei mpya za mafuta.
Haya mjukuu wa Lenin kutoka kasulu tuambie, hizo silaha wanaziteka kwa kutumia manati au kombeo? Maana umesema hawa supplies Na silaha ni mojawapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…