Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Nato nima shogaHow is phase 2 going?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ndio unawaza hivyo, kwakuwa unahisi yeye hawezi kupigwaMmmh hii mioto mbona km imezidi sitaki kuamini Kama intellijensia ya Russia imelala kiasi hicho,isije ikawa Putin anafanya hizi false flags attacks ili apate uhalali wa kutangaza Vita dhidi ya Ukraine.
Na wataumia sana mwisho wa hii vita[emoji16]Warusi kindakindaki wa JF wanaziruka tu nyuzi zako kimya kimya!endelea kutu-update mkuu!
Ulinifundisha kutag mkuuInafaa Putin aende mwenyewe binafsi kuongoza mapambano huko Mariupol ili kumaliza hii operation kwa haraka.
britanicca Nyamizi Maghayo Frank Wanjiru Coco reborn Tsh Root T14 Armata
Naona mashoga wanafarijianaNaona masheikh ndio wanaondoka msikitini ngoja wavae makobazi waje, utapata majibu kamili ya upande wa Russia.
West wanafanya juhudi zote kuhakikisha hii vita inakuwa prolonged kumdhoufisha mrusi kiuchumi at the same time wanawashawishi kimya kimya baadhi ya mageneras wa Kremlin kutomuunga mkono rais Putin juu ya hii operation. Kuna kitu kikubwa kitatolea siku za mbele ndani ya UrusiPutin ni kikwazo cha NWO
Sio kila kambi ya jeshi ina silaha za kutosha hasa kambi za mpakani huwa hazina silaha nyingiHawa jamaa huenda ikawa wanazuga hawana silaha wakati hill eneo lilikua ndio kambi yao ,
Kwanini ziungue kipindi hiki cha vita?Mnashangaa nn kuungua kwa masoko nchini Urusi, mbona sisi shule za sekondari zilikua zinaungua sana na hatukushangaa?[emoji28]
Imekuuma? Chomoa....Sikujua hata siku moja Mashabiki USA watafurahia matendo ya kigaidi.
Au Marekani inafurahia Urusi kushambuliwa kigaidi?
100% true.The stupid and loons however watakuja hapa na kukuambia these are conspiracy theories,yes nasema watakuja,very stupid indeed.Ni watu walioshikiwa akili zao na Shetani,so they cannot see things properly and clearly,they live in an illusion,mind controlled and completely brainwashed.Leo niwape kipya katika kuoneshana kipi wengi wetu hapa huwa tunakishabikia either tukiwa tunakijua kwa kua miongoni mwao au hatukijui tukiki'praise blind folded...
Kuna jamaa mmoja sijui kama atakuwa anafahamika kwa wengi anaitwa Dkt Fauci.
Ajab the same man aliyekuwa involved kwenye HIV/AIDS ni the same Man kwenye janga hili la hapa nyuma kwenye Covid-19
View attachment 2214271
Na huyu Jamaa ni pete kidole na Bill Gate anayetaka dunia sasa ihameie kwenye nyama bandia "Synthetic meat"... Haiishii hapo yadaiwa ni mtoto wa Mama Mmoja maarufu na kuna Pro-NATO w kike mmoja humu kamueka kwenye Profile... Anafahamika kama Mother Terressa. Hapa wakatoliki tusameheane kidogo.
View attachment 2214282
View attachment 2214287
Na yasemekana huyu Mother Teressa ni Mama wa huyu Fauci
View attachment 2214280
Na hii team yote inayofanya madudu haya ipo nyuma ya UKRAINE...
Hayatoshi kuzimua bongo zetu jamani? Tusiishie hapo kuna njemba nyingine inaitwa Soros, huyu aliwahi kukiri wazi kuhusu kufungua Foundation hapo Ukraine... Mskilizeni kwenye video chini na huyu yeye na team yake ndio wapo nyuma ya mizozo mingi sana duniani...
View attachment 2214294
Haya yote hayatoshi kuzimua akili zetu kwa yanayoendelea hapa duniani?
Have a look again, this is black eye Club, all of them wako nyuka ya Ukraine...
View attachment 2214316
Media are lying, History are lying, everything is messed... bado watu wanakaza wapo wanashabikia mashudu.
Eti Magaidi ya Nazi[emoji23][emoji16][emoji16]cha kusikitisha baada ya Urusi kujua kuwa mama na watoto wote tumeshawaokoa magaidi ya Nazi huko wanapigwa kitu kinaitwa Carpet bm yaani inasbaratisha mtaa mzima hatoki mtu, jana wamepigwa hio kitu 630 magaidi ya kinazist yamefekewa mbali, halafu leo humu kuna mgojwa wa stress anakuja na propaganda zake
Makombora ya Russia yageuza mkoa wa Ukraine kuwa ziwa la moto...
View attachment 2214324View attachment 2214325View attachment 2214326
Ama Kwa Kifo Au kupinduliwaKuna uwezekano hii ndio ikawa term ya mwisho ya uongozi wa rais Putin nchini Russia.
Lesbian/msagaji maana ni wakikeNasikia msemaji mkuu wa ikulu yenu pendwa nyeupe kwa sasa hivi ni shoga mbona hamtuambii asee?
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app