Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Mimi ni RC lakini ukweli dini yetu inatumiwa sana kwenye mpango wa NWO na wanatumia dini kama kificho kama unakumbuka papa francis aliruhusu ndoa za jinsia moja what the f*** is goin on???

Kwa kutumia kivuli cha dini watakamata watu wengi sana ndomana mimi niliaamua kuwa mpagani tu manake hzi dini ndo zimekua zinatumika na mashetani.
 
Aya sasa, mpenzi wa jinsia moja awa msemaji wa ikulu ya Washington. Tukiwambia hapa kua hawa mashoga US wana ajenda za ajabu duniani mnabisha.View attachment 2214061
Wataanzaje sasa kumzungumzia 😂😂😂

Eti hiyo couple ina mtoto 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Dunia iko speed sana... Slava Ukraine BS
 
Papa Francis awachana NATO, awaambia wao ndio wamemchokonoa Putin kwa kumbwekea mlangoni kwake...naye Pitin akawajibu kwa kuanzisha kichapo kwa kibaraka wao (Ukraine)

View attachment 2214371

Hamna kitu ni mazingaombwe hayo mkuu, anajua kila kitu sema plan zao zimefel pale Ukraine wamekutana na mwamba Putin. Na Putin kawarudisha nyuma sana aseee acha wapoteane
 
Tatizo huwa una copy na kuja ku paste vingereza toka wap cjui ndio maana hupat attention
 
putin ni mwana intelijensia na mpelelezi wa kirusi.

zelensky ni mchekeshaji / comedian

urusi ndo taifa lenye nguvu kubwa ya kijeshi chini ya putin.

warusi ndo wagunduzi wa silaha hatari duniani kama AK-47 AK- 74 AK-74M

pia wana hypersonic bombs kama avangard

ukipata muda nenda YouTube alaf search BM-21 GLAD na BM-multiple rockets uone maajabu ya warusi

nawasilisha madini hayo ya celebrities
ahsanteni

CC;msukule mzembe flani
msukule mzembe na msukule mjingamimi
 
Mmmh hii mioto mbona km imezidi sitaki kuamini Kama intellijensia ya Russia imelala kiasi hicho,isije ikawa Putin anafanya hizi false flags attacks ili apate uhalali wa kutangaza Vita dhidi ya Ukraine.
Yaani ajikaange mwenyewe? Aah thubutuuu, kwani unaishi dunia ipi wewe? Wanaume washavalia kesi ya Ukraine kwa 50%, mwezi ulopita pesa na vifaa vimemwagwa hukp Ukraine.
 
Leo wamechanganyikiwa kila uzi ni wa moto kwao,bado wanahangaika na kukanusha habari ya meli na soko kuteketea kwa moto [emoji3][emoji3]
😂🤣😂🤣Ndiyo Kwanza naingia ...duh...nyie Ndugu zetu wapendwa ni Mara ngapi mumeona Uzi ni wa Moto kwa habari zinazowakera🤣😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…