Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

It is politics kaka,ni kama ambavyo Russia na USA ni maadui but bado wanauziana vitu.at the end kila Taifa linaangalia linapata nini.
 
mrusi kageuzwa mwanasesere huko Ukraine anafanyiwa mazingaombe ambayo hakuwahi kukutana nayo
Yaani nyie pro NATO mmeanzisha uzi wenu?!?!😂😂😁😁Ngoja niwaite pro Russia waje wawatembelee humu😁😁
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Hatare,

Binafsi mie ni Muslim, na naamini hasa katika Muumba, naeza kupingana na yooote ila sio uwepo wa Mwenyezi Mungu.

Na kuhusu dini ase, kwa sasa sioni kama kuna dini bali taasisi kama taasisi zingine za ku'control watu.

We gotta two major religion Islam and Christian, ila katika hizi dini mbili kuna makundi ndani yake zaidi ya 140 na kila kundi likijinasibu liko sawa mengine yamepotoka.

Ila huu mgawanyiko wa makundi tofauti sioni ajab kwasabab ndio njia rahisi ya kutawalika... divide and rule. Now hatuezi ungana ku'fight the same course, the same enermy kwasabab tunapishana Imani na Itikadi.

Dini za sasa ziko manipulated, hazioneshi uhalisia wake zaidi zimekuwa kama weapon na Instrument muhim ya kutimiza ajenda zisizoeleweka.

So kipi naeza jarib kukwambia ni kua Sizani kama huyu tunayemuita baba wa Imani, Ibrahim alikuwa Msabato ama Mkatoliki ama Msuni bali alikuwa Ibrahim aliyeamini katika Mwenyezi Mungu and that's enough.

Matendo ya hawa viongozi wa dini yasitutoe kwenye msitari... na we should not follow them kwa kila jambo eti kisa ni Viongozi wa dini... Kwasabab most katika wao are nothing special, ni Clowns kama Clowns wengine wakiwa kazini kutekeleza Ajenda za Master wao.
 
Hata mimi naamini hivi, pia sidhani kama maafisa waandamizi wa jeshi wanatamani kuzama ktk hii vita, vifo vya majenerali huko Ukraine ni tishio.
 
Ukiona hivi ujue basi ni viashilia mtu anaenda kubadilishiwa Chapter. Mazingira ya Urusi kumpelekea Full War Ukraini yamekamilika sasa. Sio muda mrefu Zelensky anaenda kuomba halftime.
 

Kweli kaka hizi Dini nimaanza kuamini zilianzishwa kwa lengo maalumu. Nilisoma article moja hivi kinachoendelea RC kweli nilikata tamaa na dini hao wakina rothchild, rockafella ndo wamejificha huko.

US ndo inaongozwa na hao watu haina saut kabisa. Pope kahalalisha ndoa za jinsi moja na watu wanacheka tu wanakenua meno, toka Pope aongee ushubwada huo niliamua niwe nasali home tu ila naamini Mungu yupo.

Kweli Dini ndo yakuruhusu huu ushetani?? [emoji119]
 
Kaskazini mwa mji wa Kharkiv vikosi vya Ukraine vimetangaza rasmi kuwaondoa Kabisa wapiganaji wa Urusi hapo majimbo ya Oleksandrivka, Fedorivka, Ukrainka, Shestakove na Peremoha. wanaendelea na mapambano kuukomboa kabisa mtaa wa Cherkas'ki Tyshky ambapo general mmoja wa Urusi bwana Shlatov Dmetry 59 amekamatwa mateka pamoja na askari 27 wa Urusi huku majibuzano kadhaa ya risasi na mabomu kidogo kidogo yakiendelea , wametelekeza zana za kupigania pamoja na vifaru 2

Na wamesogezwa mpakani Kabisa kuelekea Urusi,

Upande mwingine Urusi imeunda kamati maalumu kuchunguza Kama kuna hujuma inaendelea Au ni ajali tu za kawaida Kwa milipuko inayoendelea nchini hapa..

Asubuhi Hapa Vladivostok na Saratov, tulitangaziwa tukisikia alarm tukae tayari!





Chanzo kingine: mimi mwenyewe wakati tunatangaziwa nimesikia

Britanicca
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…