Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

In short Mungu anawapigania Ukraine kinyume ya Putin kama alivyofanya kwa waisraeli wakati wakivuka bahari ya shamu kinyume ya jeshi la farao.
kutoka 14: 9---- .

sorry kuna watanzania baadhi watambishia hata Mungu maana wanapenda kusikia Putin ameua maelfu ya Ukrainians hapo ndo wanapata raha perhaps watakuwa wachawi na mawakala wa shetani
 
My problem is which God of zelensky.
 
Urusi watafurushwa kote warudi kwao, kazi kubwa kwa Ukraine hadi sasa ni kuendelea kuokoa watu walionasa maeneo maeneo wakiisha hao watu na ndio mwisho wa uvamizi putin hadi Cremea itamtoka

Watu saivi wanapanga kuijenga Ukrean mpya
 
Mmmh hii mioto mbona km imezidi sitaki kuamini Kama intellijensia ya Russia imelala kiasi hicho,isije ikawa Putin anafanya hizi false flags attacks ili apate uhalali wa kutangaza Vita dhidi ya Ukraine.
Hata akitangaza vita kwa mfano anampiga Nani huko Ukraine?....huko Ukraine kavuliwa nguo anatafuta namna ya kujiokoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…