Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Umekua mrembo tena.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyo putin mchumba tu kama ww kwenye hiyo avatar yako. Vitisho vingi afu malalamiko mlima alipue na hzo nuclear zake.
kwa ukraine anatest silaha zake ila zile zenyewe ni kwa ajili ya vita
 
Sikujua hata siku moja Mashabiki USA watafurahia matendo ya kigaidi.
Au Marekani inafurahia Urusi kushambuliwa kigaidi?
ila ww wanachofanya Urusi ndan ya ardhi ya Ukraine unafuraia ? au Urusi ina haki zaid kuliko serikali nyingine ?
 
kwan kati ya west na Urusi , nan alianza kuivania Ukraine ? pili nani amejitambulisha rasmi kuwepo Ukraine ili kuipindua serikali ya Ukraine
 
Pro NATO wanaka thread kao huwa wanapeana moyo huko.[emoji28][emoji28]
Na ninyi Pro Russia kinachowapa nguvu na kiburi ni fact TU.
Kama mgekua hamna fact Leo hii ma NATO wangetawala jukwaa.

Ma NATO hawana fact na ni kwa sababu hawafanyi research.
Kwani no research no right to speak..

Hii vita watu wengi wako upande wa Urusi,na ni kwa sababu watu wengi wanajua ghilba za USA na west wenzake.
USA imeonea nchi nyingi sana.
Watu wanajua fitna zake juu ya Urusi.
Urusi ana haki ya kujilinda.
Kama USA alivyoomba USSR isiweke zana zake Cuba.
 
Ubavu huo hana ndio maana miaka sasa imebaki mikwara tuu, US wametest silaha nyingi na zimefeli kwenye uwanja wa vita huko Ukraine tena zina pigwa na vyuma chakavu vya mrusi 😂😂😂
John Mungo umekuja kwa nguvu sana kwenye mada hii.
Nakusihi punguza mwendo utarogwa na Wachawi wa Ukraine waliomroga Putin.
 
Huu ndo ukweli wenyewe huu.
Huyu Kanali kaona ukweli na kaongea fact tupu.
Ukweli Huwa hauijifichi ndugu zangu.
Yaani Hadi wao wanajua kuwa western media safari hii zimeficha ukweli.
 
kuna maswali yangu hadi sasa hawayajibu nimejaribu kuwatag ila holla kimya. Tena utakuwepo kabsa wanareply wakiona hayo maswali ni kimya kimya. Ila wanakuambia wenyew wanasimamia fact , wamekomaa na fact yao ya "tunapinga uvamizi, tunapenda amani" mda huo huo wanamsupport marekani kwa kupeleka silaha. Na ukiwaita mashoga wanakasirika wakati uhalisia wanaona kabsa.
 
Bunge la Ulaya lalalamikia 'Uonevu' wa Russia kwa jumuia ya Ulaya...Lasema Russia imeathiri vibaya sekta ya Usafiri na Utalii ya Jumuia ya Ulaya baada ya kutaifisha ndege 400 za nchi za EU zenye jumla ya thamani takriban USD bilioni 10

Bunge la Ulaya limeiomba Russia iache uonevu huo na kurejesha ndege hizo 400, kwani ni kinyume na sheria za kimataifa (wamesahau kuwa wao EU+US ndio walianza kuzuia mali za Russia, pengine walidhani wao wapo juu ya sheria na hakuna wa kuwafanya lolote...walisahau kuwa Russia sio Zimbabwe)

Aisee kweli kila mbabe na mbabe wake...hivi hizi nchi zoote za EU pamoja na wingi wake ni za kulialia kuwa zaonewa na nchi moja tu ya Russia?!

Kweli EU/NATO ni umoja wa madhaifu
========

 
Mia nne nyingi sana. Wangetupatia sisi japo 5 tu
 
Wasijali atawalipa Mmarekani
 
Huyu jamaa hajaigiza kwenye movie ya Salt?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…