Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Hivi mkuu bado unahangaika na huyo au humjui hao ndo vibwengo wenyewe 😂😂😂Ndugu yangu you are misinformed ...Ni kweli wapo Warusi ambao ni Waukraine na ambao wako upande wa Zelensky..lakini siyo wengi...eneo Hilo la majimbo mawili ya Donetsk na Luhansk ambalo ndilo la Warusi ndani ya Ukraine lilikuwa linanyanyaswa na wale Azov waliopiga kambi huko for almost eight years...Na tayari Zelensky alishaamua kuwa kuwa maeneo yaliyokuwa yanashikiliwa na 'wapigania uhuru' wa majimbo hayo Ni lazima 'yakombolewe' na kuwateketeza 'wapigania uhuru' hao na kuendeleza mapambano na 'kuikomboa' Crimea...lakini kabla ya mpango huo kutekelezwa Russia ikawawahi...
Suala la Ukraine ni complex, siyo rahisi kulielewa kwa 'macho' ya kawaida na huku Western media zikipiga tarumbeta zao...
Na ukumbuke pia watu wengi wa majimbo hayo wamehamishiwa Russia kuwaepusha na kipondo kinachoelekezwa kwa majeshi ya Ukraine...baada ya Vita miji hiyo itaengwa Tena na Russia...yaani kutakuwa na Reconstruction kama USA and its allies walivyofanya huko Iraq baada ya Vita..
Wacha weeAu huenda ikawa "Price for sale" ya Eastern Ukraine ambayo katu haitorudi kwao.
Donbass cities swiftly change to Russian telecommunications, so hivi sasa no longer +380 tena bali +7... Huu upande wa East ndio ambao Oil na resources za Ukraine zimesheheni, without it, Huo upande wa Western Ukraine will be slaves to the west for the next century...
Kuna mdau mmoja alipost hapa Value ya Idadi ya assets zilizopo Russia zao hao Western, ziko worth more than half a Trillion dollar. Na ambazo Russia walisema watazichukua as retaliation endapo Western side wataamua kutorudisha hizo assets za nje za Russia walizochukua.
Sasa piga kwa hesab za kujumlisha na kutoa bado unarudi pale pale Western are LOOSING. Na Ukraine is totally destroyed. Na hapo katika hizo mali wanazodai wanataka kuzi'transfer kwenda Kyiv tusiwasahau wapigaji... Wazee wa katika 10 anakupa 3 zile 7 anaficha kibindoni.
Ila hapo kuna kitu kimenifurahisha kidogo... Assets alizonazo Sweden za Russia ni kidogo mno ukilinganisha na total foreign seized assets za Russia. Aliye na assets nyingi ni US ambazo ni more than $300B...
Sasa kama yuko serious na huo utopolo kwanini asipeleke yeye mwenye kingi kinyume chake anatoa command kwa mwenye kichache tena jiran wa Pua na mdomo na Russia??? Anatafuta nn [emoji23][emoji41]
Huwa nashangaa sana wanaojitia upofu kuuona huu unafiki na uchoko ***** wa Mmarekani [emoji52]
Yanaanguka kama maembe tu bila kuleta madharsVifaa vya matapeli wa UK
View attachment 2216226View attachment 2216227View attachment 2216228
[emoji636][emoji1255] The latest British Brimstone rocket fell before even reaching it's target
Pic from Zaporozhye region
je si ajabu? Wataalamu wa nchi 30 + ni wajinga, ongeza wajinga wa Finland na Sweden wanaotaka kujiunga nao - na mtu 1 pekee anaonyesha hekima na utu na upole?Kwamba USA, EU na think tank wao woote wameamua kupoteza uchumi wa mataifa yao sababu ya jeuri, hii ndio hitimisho la kwann hawaachi iwapo mtego wa vikwazo na msaada kwa Ukraine umeback fire?
...😀😁heri ujifunze Warusi wa Ukraine ni Waukraine hawana hamu ya kuwa raia wa Rossiya (Россия - Urusi wa Putin). Walithibitisha hiyo katika kila uchaguzi. tena kura za Ukraine ni huru.
Warusi wa Ukraine ni wengi zaidi katika mashariki, ona jinsi walivyompigia kura Zelensky mwaka 2019! (na Zelenski mwenyewe ni "Mrusi" wa Ukraine - kirusi ni lugha yake ya kwanza).
Uchaguzi wa rais Ukraine 2019: Kijani - Zelensky, dhambarau: Poroshenko
View attachment 2217015
Kumbuka: tofauti na uchaguzi huko katika Rossiya ya Putin, hapa Ukraine ni huru.
Mkuu, wakati mwingine unasema ngoja niachane na kidogo ninachojua na niachane na kutumia logic ili nielekezwe, sasa unaanza kuuliza maswali, majibu unayopata sasa.je si ajabu? Wataalamu wa nchi 30 + ni wajinga, ongeza wajinga wa Finland na Sweden wanaotaka kujiunga nao - na mtu 1 pekee anaonyesha hekima na utu na upole?
Ajabu Kweli!!! (ukiamini wanachosema hapa marafiki wa Putin..)
Umedhihirisha upumbavu wako uliporopoka kuwa nguvu inayoongezeka ni kidogo. Thibitisha porojo yako hiyo kwa kutumia hesabu kuwa nguvu (momentum) inayoongezeka ni kidogo.Ukubwa wa mdomo wako unapita mara nyingi uelewa wako. Je katika nishati ya mlipuko wa 2 KT tunajadili bomu ya uzito gani?? Ndiyo nguvu yake unaongezeka kidogo wakati wa kugonga kitu kwa kasi kubwa, lakini nishati hii haina maana ukilinganisha na nishati ya mlipuko wa 2 KT.
Ukiwa na ingine, acha maneno, lete chanzo. na lete tarakimu.
Urusi kavumilia sana, hizo zilizojiunga akawa analalamika na kupeleka malalamiko yake UN ni kuonyesha uvumilivu mkubwa sana, sasa kama Ukraine ingejiunga nayo ingelikua ni kuzungukwa na maadui, pia kuna mkataba umevunjwa ndio maana kashindwa kuvumilia, akaona huu utakua ujingaAhlan wa sahlan,
Ukiwauliza wenyewe humu watakwambia urussi imeivamia Ukraine kwa sababu ya kutaka kujiunga na NATO, sio kweli kabisa.
Ingekua kweli Urussi ingeanza kuivamia Estonia, Latvia na Lithuania waliojiunga na NATO mwaka 2004
Vipi tena jomba 😌Dah!wee jamaa wewe!
Hujaelewa bado KT si masi?? KT ni kifupi cha kiloton kwa maana: mlipuko wa bomu la nyuklia unalingana na mlipuko wa tani 1,000 za baruti kali ya TNT. Kwa hiyo ni kizio cha nishati ya 4.184 terajoules. Si masi !!!Umedhihirisha upumbavu wako uliropoka kuwa nguvu inayoongezeka ni kidogo. Thibitisha porojo yako hiyo kwa kutumia hesabu kuwa nguvu (momentum) inayoongezeka ni kidogo.
Mie nakuonesha kuwa momentum (nguvu) inayoongezeka ni kubwa zaidi kwa kutumia mfano wako wa bomu la 2 KT
View attachment 2217090
Pia mie nilikuonesha chanzo toka kwa watengenezaji wa bomu hilo la hypersonic kuwa lina nguvu zaidi ya uharibifu kutokana na spidi yake kuwa kubwa zaidi. Wewe waleta maneno ya kwenye kahawa yasiyo na sapoti yoyote.
Baada ya kufanya assignment ya kwanza hapo juu, lete chanzo kuthibitisha madai yako.
Unalifahamu Jukebox!?Hujaelewa bado KT si masi?? KT ni kifupi cha kiloton kwa maana: mlipuko wa bomu la nyuklia unalingana na mlipuko wa tani 1,000 za baruti kali ya TNT. Kwa hiyo ni kizio cha nishati ya 4.184 terajoules. Si masi !!!
Wewe ndio hujamwelewa jamaa uliye m qoute. Hilo neno hiypesonic ndio mnaahindwa kuelewana. Ila mimi nimemwelewa.Waonekana hujui lolote wewe, wanaotengeneza bomu wenyewe wanasema lina uwezo mkubwa zaidi wa kupenya na pia uwezo mkubwa zaidi wa kusababisha uharibifu ukilinganisha na bomu mfano wake ktk uzito ila spidi tofauti...
Yaonekana hufahamu hata effect ya Mass*Velocity, ndio tatizo la kujadiliana maswala ya silaha na watu waliosoma ungwini (HGL)
Kwa hiyo tuache maelezo ya watengeneza silaha tuchukue porojo zako wewe?!
Akili zingine bwana!