Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Wakati urussi ikivamia Ukraine 2014, walikua hawana mpango wa kujiunga NATO kabisa. Huo mpango uliiamshwa baada ya Crimea Invasion.Urusi kavumilia sana, hizo zilizojiunga akawa analalamika na kupeleka malalamiko yake UN ni kuonyesha uvumilivu mkubwa sana, sasa kama Ukraine ingejiunga nayo ingelikua ni kuzungukwa na maadui, pia kuna mkataba umevunjwa ndio maana kashindwa kuvumilia, akaona huu utakua ujinga
Ndio lengo letu WarusiInavyoonekana mpaka hii vita iishe uklain itabakia magof
Lakini bado itakua mbele ya Nchi yako yenye amani.Inavyoonekana mpaka hii vita iishe uklain itabakia magof
Haitowezekana uclain imeshachakazwa pamoja na misaada inayopokea lakini imeshasambaratishwaLakini bado itakua mbele ya Nchi yako yenye amani.
uclain ndio lugha gani hii hebu acheni upuuzi wa kuharibu lughaHaitowezekana uclain imeshachakazwa pamoja na misaada inayopokea lakini imeshasambaratishwa
Kuvamia 2014 ni mkwara kuwa wasithubutu kujiunga, taari ilikua anataka kujiunga ndio maana kavamiwaWakati urussi ikivamia Ukraine 2014, walikua hawana mpango wa kujiunga NATO kabisa. Huo mpango uliiamshwa baada ya Crimea Invasion.
... makomunisti mapumbavu hayo. Unapoteza muda wako.uclain ndio lugha gani hii hebu acheni upuuzi wa kuharibu lugha
Aisee nipo shallow kwenye haya mambo ila hata mm ningekua apo front ndio nawapitisha toka mgodini hao raia lazima interview ndogo/kubwa niwafanyie maana nikifanya uzembe akapita nyoka atanidonoa kisogo.Ukraine na Russia wamesema raia wote hasa wazee na watoto waliokuwa kwenye handaki Mouriopol wameondolewa. Ninachofikiria huenda kukawa na makamanda wajanja wametumia hiyo furusa WAKAJIZEESHA NA KUJIPA ULEMAVU wakapitiamo humohumo. Nakumbuka tukiwa secondary School kuna jamaa alikuwa anafinya macho na sura inakuwa kama mzee kabisa.
Kuanzia 2010 mpaka 2014 Ukraine ilikua chini ya raisi Viktor yanukovych ambae alikua kibaraka wa Putin ambaye alitupilia mbali kuiingiza Ukraine NATOKuvamia 2014 ni mkwara kuwa wasithubutu kujiunga, taari ilikua anataka kujiunga ndio maana kavamiwa
Na unasema una mtoto Urusi aseee .... Jaribu kuficha upumbavu wako kidogo ...
Wamarekani wa Upongoji,ndala na ibinzamata Hawaoni hayo eti wako wanashangilia mke wa biden kwenda kumpa pole mke wa Comedian.Ila watu wafupi ni wabishi kweli hivi huyu comedian anafikilia kutumia nini? Hivi anafikili atAweza kuishinda urusi kweli? Majengo waliyojenga miaka urusi kila siku inaangusha jengo moja moja mwishowe atajikuta nchi imebakia jangwa,watu wanakimbia ye yupo anapiga makelele kwenye media badala ayamalize na putin ili aokoe kilichobakia
Kweli wafupi ni wabishi! Je unajua Putin na Zelenski ni urefu mmoja? 170 cm!Ila watu wafupi ni wabishi kweli hivi huyu comedian anafikilia kutumia nini? Hivi anafikili atAweza kuishinda urusi kweli? Majengo waliyojenga miaka urusi kila siku inaangusha jengo moja moja mwishowe atajikuta nchi imebakia jangwa,watu wanakimbia ye yupo anapiga makelele kwenye media badala ayamalize na putin ili aokoe kilichobakia
Kaka malighafi anazo ila uwezo? (Siyo hata Tanzania kuna malighafi?).Kwa Russia sio hasara sababu malighafi zote za kuzalishia anazo na viwanda vyake angekua ananunua ndo ingekua hasara. Hizo silaha zenyew anatumia za kipind cha soviet ni kama anasafisha ghala uchafu.
Ameenda kumpa pole mke wa rais. Tena rais aliyechaguliwa na kura nyingi halisi, tofauti na mtu huyu huko Moscow.Wamarekani wa Upongoji,ndala na ibinzamata Hawaoni hayo eti wako wanashangilia mke wa biden kwenda kumpa pole mke wa Comedian.
Ajabu sana.
sio kweli mkuu , ingekuwa hivyo angewashambulia west ambao walikubaliana kutojitanua kwenda EastUrusi kavumilia sana, hizo zilizojiunga akawa analalamika na kupeleka malalamiko yake UN ni kuonyesha uvumilivu mkubwa sana, sasa kama Ukraine ingejiunga nayo ingelikua ni kuzungukwa na maadui, pia kuna mkataba umevunjwa ndio maana kashindwa kuvumilia, akaona huu utakua ujinga
ndan ya Urusi kuna minong'onoKeshasema maeneo yaliyochukuliwa hayarudi tena uklain wayasahau kabisa hiyo imetoka